Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Unapoligawa taifa upande wa walioonewa wote unaungana na adui.

Labda nikuulize CCM mmeshinda 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kidhuluma.

Dunia nzima inajua kwa namna Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania na CCM inavyochukiwa tz hamuwezi kushinda 99.9% Leo hii ikianza Vita mnadhani wale mliowaonea wata side upande gani?
 
Swali rahisi kwa vyombo vya usalama Tanzania msimtafute mchawi Wala kigogo kigogo yupo chamwino chato na magogoni.kifupi CCM ( chamwino chato magogoni) huyo ndio kigogo 2O14
 
Ukute kenyatta kauza vijiji vya mpakani kwa ethiopia ili wapate mahindi ya njano
 
Jamaa wenyewe hata chakula hawana halafu bado mnawauaua mnapata sana dhambi waethiopia
Hivi kati ya Kenya na Ethiopia ni wapi watu takriban milioni moja walikufa kwa sababu ya njaa mwaka wa 1984? Usiwahi taja Kenya na Ethiopia katika sentensi moja. Ile nchi ni shithole kweli. Wana Gdp ndogo kutushinda na wana watu mara dufu ya Kenya. Sie bado baba yenu hapa EA.
 
Ahsante. Cc Geza Ulole
 
Mtu anaeisema kdf vibaya anaisema Kenya ambayo ndio the bigest Democratic country in East Africa kitu ambacho hakipo kwenye war arena nchi ya kidicteta kuishinda nchi ya kidemocrasia msidanganywe na Vietnam war !
Vita ni nguvu na nguvu lazima uwe unapata chakula, Kenya ni njaa kila kona watapata wapi nguvu za kupigana?, kumbuka hakuna komandoo wa njaa, " Adui muombee njaa, atakua mnyonge ata awe shujaa".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni historia, walishajirekebisha, waligundua makosa yao sasa hawapewi tena msaada wa chakula. Tatizo la Kenya hamjifunzi kutokana na makosa ya nyuma, matatizo yenu ni yale Yale kila mwaka na yanaongezeka ukubwa wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi na China ni among top three of the most powerful countries in the World, huyo hajitambui. Tanzania tukipigana na Kenya, tutakalofanya ni kuhakikisha hakuna meli zinatoingia bandari ya Mombasa, na Uganda haingizi chakula Kenya, ndani ya kipindi cha mwezi mmoja lazima Kenya ita- surrender tu kwa sababu ya njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaelwa ya kwamba walivuka mpaka wakauwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, kwahiyo majeshi ya nchi jirani kuvuka mpaka na kuingia nchini kwenu kufanya ndio uwanja wa mapigano na kufikia hatua ya raia wenu kuuliwa hilo ni sawa kwa akili zenu?.

Joseph Konyi aliposhindwa na majeshi ya Uganda alikimbilia kujificha DRC, wapiganaji wa ADF na wale wa Ntarahamwe toka Rwanda walikwenda DRC, huko ndio uwanja wa mapambano wa majeshi toka nchi jirani kwasababu jeshi la DRC ni dhahifu Sana kulinda mipaka ya nchi yao kama ilivyo KDF, ndio sababu wanavuka mpaka kuingia Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha hapa umeongea kama kilaza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha hapa umeongea kama mama muuza acha nikwambie kitu Tanzania sio nchi tu ila ni taifa pia Nyerere alisuka misingi imara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimafikira????

Una zingua... Andika kikamba au kijaruo... Hachana na kiswahili sio size yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…