Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Iran inapigana na Isis huko Syria ila Isis kwa sasa haina nguvu na pia Iran inalinda border yake kwa ujasiri sana. Hata Kenya ikilinda border yake mashambulizi yataisha lakini ugaidi Somalia hautaisha. Pia Iran imepigwa mabomu na magaidi mara kadhaa ila wamedhibiti ulinzi vizuri ndani ya border. Urusi pia wamepigwa na magaidi ila wameweza kuwadhibiti ndani ya mipaka ya nchi ila hizi nchi haziwezi kumaliza ugaidi nje ya mipaka yao.
kazi ya KDF ni kulinda mipaka ya nchi, sasa kama wanashindwa kulinda mipaka si ndio udhaifu wenyewe
 
Kwani bomu ya muhanga sio bomu? Kwani hiyo ni kucheza densi?
Kuna utofauti wa kupigwa kombora la Masafa marefu au ya kati na kufa kwa Bomu la muhanga.
Mm nazungumzia kuhusu ufyatuliwaji wa makombora sizungumzii kuhusu mabomu ya muhanga mm.
Sijui unaelewa nachokilenga???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba ya Osama ambaye pia aliitwa bin Laden ndiye alikuwa mmiliki wa kampuni kubwa zaidi ya ujenzi huko Saudia. Haya ni mambo unayoweza kuyasoma hata kwenye Wikipedia. Sio lazima upinge kila kitu.
Bob Saudi Arabia baba ake Osama alienda kuanzisha ama kuendeleza maisha baada ya kutoka Afghanistan.
Ila si mwarabu ni MuAfghanistan.
Bin maana yake mtoto wa flan,kwahyo bin laden maanake mtoto wa Laden. ukoo wa Osama unaitwa Laden.
Asa umesikia WAP mwarab akiitwa Laden?
Hilo jina la kihajami kabbisa.
Na km ulikua hujui mama yake Osama ni bibi mdogo maana mzee Laden alikwishaoa kabla ya kuja Saudi Arabia na kumuoa mamaye Osama.
Hata ww waweza enda USA ukaanzisha maisha na ukachukua uraia kule ila kiasili ww ni luhya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeulizwa ni mission gani KDF iliyifanikisha?, unajua maana ya "Mission completed??". Lengo la KDF lilikua ni lipi, je limekamilika au " it is on going exercise, which might end up to either competed, abandoned or failure?. KDF ilishindwa South Sudan na ikajitoa kwa aibu kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuiteka kismayu tu tayari ni zaidi ya zile mission zenu za jwtz kw wale wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bob Saudi Arabia baba ake Osama alienda kuanzisha ama kuendeleza maisha baada ya kutoka Afghanistan.
Ila si mwarabu ni MuAfghanistan.
Bin maana yake mtoto wa flan,kwahyo bin laden maanake mtoto wa Laden. ukoo wa Osama unaitwa Laden.
Asa umesikia WAP mwarab akiitwa Laden?
Hilo jina la kihajami kabbisa.
Na km ulikua hujui mama yake Osama ni bibi mdogo maana mzee Laden alikwishaoa kabla ya kuja Saudi Arabia na kumuoa mamaye Osama.
Hata ww waweza enda USA ukaanzisha maisha na ukachukua uraia kule ila kiasili ww ni luhya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi. Osama sio muarabu kamili. Lakini umekosea mahali. Babake alitokea Yemen. Nimesoma kwenye Wikipedia
 
Kuiteka kismayu tu tayari ni zaidi ya zile mission zenu za jwtz kw wale wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
EMzJPg6WkAELqfN.jpeg

Hahaa
 
Kweli Wakenya ni Ndugu Zetu wa Damu.
Hatutaki kugombanishwa.
Hao Waethipia wanao kufanya Askali na kuua raia wa Kenya huenda ni majambazi tu au Waasi wanaovaa sare za Jeshi la Ethiopia.
Fanyeni Uchunguzi Kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anaeisema kdf vibaya anaisema Kenya ambayo ndio the bigest Democratic country in East Africa kitu ambacho hakipo kwenye war arena nchi ya kidicteta kuishinda nchi ya kidemocrasia msidanganywe na Vietnam war !
 
Mimi ni mtanzania wa damu Ila bet Leo hii tz ikipigana na Kenya Mimi Nitakuwa upande gani!?

Askari wa Tanzania ambao watakuwakuwa polisi waliochanganywa kwenye jw wote tukiwaona tutawalengesha kea adui kdf kwasababu huku tz polisi Wanauwa wananchi kwahiyo cc wenyewe watz tutaasi mission za jeshi letu mpk polisi waache kutuua na kututeka ndani ya taifa letu Tanzania.
 
Idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wenyewe hata chakula hawana halafu bado mnawauaua mnapata sana dhambi waethiopia
Wajinga nyie mmeligawa taifa Leo hii Tanzania na Kenya wakiingia vitani tutapigwa kirahisi kwasababu zifuatazo.

1. Itakuwa ni Vita ya lisu vs magu.

2.chadema vs CCM

3.walioonewa na wanaoonewa ndani ya tz vs waoneaji.

4.Watekaji vs watekwaji.

5.Watumishi wa umma Tanzania wote wata side na jeshi la Kenya kuuondoa utawala wa CCM

Kimsingi mnaweza kuiona Kenya dhaifu kitu ambacho sio kweli ila mkitaka kuona uhalisia anzeni Vita na Kenya ndio mtajua CCM inachukiwa kiasi gani.
 
Na ukweli wa wazi jeshi lolote East Africa likitaka kuichapa jw in a second liungane na watumishi wa umma basi màana hili kundi magu halipendi .

Vita itakuwa magu madaraja reli na ndege polisi vs watumishi wa umma Tanzania na kdf upande mwingine !!!!

Bet Nani anaeshinda!
 
Back
Top Bottom