Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Russia walitandikwa na Taliban wakati Osama alikuwa bado kijana barobaro hadi Urusi wakatoroka Afghanistan kwa kilio kikubwa. Walipoteza wanajeshi wengi na mali nyingi. Wanahistoria wanasema kuwa vita hio ilichangia pakubwa kuvunjika kwa Soviet Union.
Soviet ilivunjwa kwa vita ya Russia na Georgia wala Taliban haihusiki.
Hiyo Taliban yako ilitaka kuingia Russia kwa kupenyezwa kupitia border ya Georgia na Russia ila uliza kilichowakuta.
Walirudi mafichoni mammaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda hawana border na Somalia kwa hivyo wanaweza winda Shabab na kuwazaba makonde na Shabab kukosa jinsi ya kulipiza kisasi. Sisi kwa bahati mbaya tuna border na Somalia ya zaidi ya kilomita mia tano na border hio haina fence wala ukuta wowote na KDF haiko katika kila eneo la border. Hapo ndio Kenya inastahili kujirekebisha na kujenga ukuta wa mawe wa mita tano na kuweza ulinzi wa kutosha hata kutumia drone. Lakini hapa Afrika mawazo chanya kama haya hayapewi uzito.
Poor you.Kula yenu ni tabu mpaka msaada wa warabu ndio mwende chooni.Je huo ukuta mtauweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran inapigana na Isis huko Syria ila Isis kwa sasa haina nguvu na pia Iran inalinda border yake kwa ujasiri sana. Hata Kenya ikilinda border yake mashambulizi yataisha lakini ugaidi Somalia hautaisha. Pia Iran imepigwa mabomu na magaidi mara kadhaa ila wamedhibiti ulinzi vizuri ndani ya border. Urusi pia wamepigwa na magaidi ila wameweza kuwadhibiti ndani ya mipaka ya nchi ila hizi nchi haziwezi kumaliza ugaidi nje ya mipaka yao.
ISIS inaelekea kumalizwa ndan ya Syria.
Umebakia mji wa Idlib kukombolewa.
Na mind you hakuna bomb lililowahi kupigwa ndan ya mpk wa Iran na likapenya toka dunia iumbwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soviet ilivunjwa kwa vita ya Russia na Georgia wala Taliban haihusiki.
Hiyo Taliban yako ilitaka kuingia Russia kwa kupenyezwa kupitia border ya Georgia na Russia ila uliza kilichowakuta.
Walirudi mafichoni mammaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kasome vita baina ya Urusi na Taliban iliyotokea ndani ya nchi ya Afghanistan mwaka wa 1980s. Pengine ulikuwa hujazaliwa kwa hivyo hukumbuki kilichowakuta Soviet Union.
 
Tanzania na Kenya Ni ndugu acha kuwasema vibaya kdf Hilo ni jeshi rafiki na Mara nyingi tunafanya luteka ya pamoja ya kijeshi bravo kdf bravo jwtz
Kweli Wakenya ni Ndugu Zetu wa Damu.
Hatutaki kugombanishwa.
Hao Waethipia wanao kufanya Askali na kuua raia wa Kenya huenda ni majambazi tu au Waasi wanaovaa sare za Jeshi la Ethiopia.
Fanyeni Uchunguzi Kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nao pia Russia wanaogopa kukanyaga Afghanistan. Wanaelewa kilichowakuta huko.
Khaaa vita ya Afghanistan haimuhusu.
Yeye alikua ana kaz ya kumuondoa Taliban basi na sasa Taliban wako zao Afghanistan huko ya Afghanistan hayawahusu.
Ila mind u mrusi apewe tender aisafishe Taliban ni mwez au miez kadhaa tu Taliban inasahaulika.
Na Osama alikua Alqaeda sio Taliban.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna vita na Ethiopia
Soma taarifa yako ambayo nilijibu kwa hiyo "statement", don't be so cheap?. Wewe umezungumzia kuhusu Uganda kutoshambuliwa na Alshabaab kwasababu haijapakana na Somalia. Vipi kuhusu Ethiopia iliyopakana na Somalia, kwanini haishambuliwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ISIS inaelekea kumalizwa ndan ya Syria.
Umebakia mji wa Idlib kukombolewa.
Na mind you hakuna bomb lililowahi kupigwa ndan ya mpk wa Iran na likapenya toka dunia iumbwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran Suicide Bombing Kills 27 Revolutionary Guards
Image
A photograph released by the state-run Fars News Agency was said to show a Revolutionary Guards Corps bus that had been blown up in a suicide attack in southeastern Iran.

A photograph released by the state-run Fars News Agency was said to show a Revolutionary Guards Corps bus that had been blown up in a suicide attack in southeastern Iran.Credit...Fars News Agency, via Agence France-Presse — Getty Images
By Thomas Erdbrink

  • Feb. 13, 2019
TEHRAN — A suicide bomber killed at least 27 members of the Islamic Revolutionary Guards Corps and wounded 13 on a bus in a restive region of southeast Iran on Wednesday, Iranian media reported. It was among the deadliest attacks in Iran in years.

The Revolutionary Guards, an elite Iranian paramilitary force, quickly blamed the United States for the assault, which came during the week that Iran’s leaders have been celebrating the 40th anniversary of the Islamic Revolution, which overthrew the American-backed shah in 1979.

The Revolutionary Guards did not explain precisely how the Americans could have been involved in the attack. But Iranian officials suggested it was more than coincidental that it happened as the Trump administration was hosting an anti-Iran-themed meeting in Poland that included delegations from Iran’s regional adversaries, Israel and Saudi Arabia.

Dispatches by the official Islamic Republic News Agency and the Fars News Agency said the victims had been traveling between the cities of Zahedan and Khash near the Pakistan border, a haven for militant separatist groups and drug smugglers.

Khaaa vita ya Afghanistan haimuhusu.
Yeye alikua ana kaz ya kumuondoa Taliban basi na sasa Taliban wako zao Afghanistan huko ya Afghanistan hayawahusu.
Ila mind u mrusi apewe tender aisafishe Taliban ni mwez au miez kadhaa tu Taliban inasahaulika.
Na Osama alikua Alqaeda sio Taliban.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taliban ndio ilizaa Al qaeda. Jifunze historia dogo.
 
Nenda kasome vita baina ya Urusi na Taliban iliyotokea ndani ya nchi ya Afghanistan mwaka wa 1980s. Pengine ulikuwa hujazaliwa kwa hivyo hukumbuki kilichowakuta Soviet Union.
Dah asee umenidharau sana.
Mwaka huo mm nisizaliwe???
Kilichochangia Soviet kuvunjika kwa asilimia kubwa ni vita ya Georgia na Russia tena Georgia ilishinda kwa kusaidizwa na US ndipo ikajihengua Soviet na nchi zingine zikafuata mdogo mdogo ikiwemo Serbia n.k n.k .
Naweza kukubali Taliban waliwasumbua Russia ndan ya Afghanistan ila Taliban walipigika shaba waliposogelea mipaka ya wasoviet.
Na ww unaizungumzia Russia ya miaka ya 1980s ila itizame Russia ya sasa ambaye anapotia mguu sehem watu hutetema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu mbona ni rahisi sana mkuu.Sisi na nyinyi ni nani anayeomba msaada wa chakula.Kipi bora tajiri ombaomba ama maskini anayejitegemea (means anakula anashiba)

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali tajiri anayeomba kwani pesa yake anaitumia kwa mahitaji mengine. Tofauti na masikini anayekula pesa yake yote na kubaki kuwa masikini wa kutupwa.
 
Taliban ndio ilizaa Al qaeda. Jifunze historia dogo.
Eeheee kijana usinigeuze mtoto.
Taliban na Alqaeda hazihusiani kabbisa.
Taliban iliundwa ikiwa na dhumuni lake na Alqaeda iliundwa na Osama ikiwa na dhumuni lake tofauti na Alqaeda.
Nimeisoma vema sana historian ya kuundwa Alqaeda toka Osama anatoka Saudi na kwenda Afghanistan kuanzisha hilo kundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwa ndugu zetu kenya chapati ni mlo wa kitajiri..Njooni nchi ya maziwa,matunda na asali mjionee...Hapo morogoro tunakula nanasi kubwa na lenye afya kwa miatano.Embe kubwa lile dodo lenye harufu nzuri na ladha murua kuanzia 200 mpaka wakati mwingine bure.Nenda pale soko la mawenzi mpaka vichaa wana afya njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma taarifa yako ambayo nilijibu kwa hiyo "statement", don't be so cheap?. Wewe umezungumzia kuhusu Uganda kutoshambuliwa na Alshabaab kwasababu haijapakana na Somalia. Vipi kuhusu Ethiopia iliyopakana na Somalia, kwanini haishambuliwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshawahi kuenda Ethiopia mwaka wa 2017. Ulinzi uliopo ndani ya nchi hio ni ya maajabu. Nilitumia basi kusafiri kutoka Moyale hadi Addis kwa siku mbili. Tulisimamishwa na polisi kila baada ya kilomita kama thelathini na kuagizwa kushuka ili bag zetu zifanywe search. Hamna Alshabab anayeweza kubeba bomb au bunduki kupitia basi au hata gari huko. Kenya na Tanzania sote tufuate mkondo huo. Pia wana nyumba kumi. Security yao iko sawa. Natumai umepata jibu.
 
Afadhali tajiri anayeomba kwani pesa yake anaitumia kwa mahitaji mengine. Tofauti na masikini anayekula pesa yake yote na kubaki kuwa masikini wa kutupwa.
Sioni sababu ya kuendelea kubishana na wewe.Unaezekana uko na mwili mkubwa na Elimu kubwa .Lakini nasikitika kusema uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana brother.Tuishie hapo.

Debe tupu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah asee umenidharau sana.
Mwaka huo mm nisizaliwe???
Kilichochangia Soviet kuvunjika kwa asilimia kubwa ni vita ya Georgia na Russia tena Georgia ilishinda kwa kusaidizwa na US ndipo ikajihengua Soviet na nchi zingine zikafuata mdogo mdogo ikiwemo Serbia n.k n.k .
Naweza kukubali Taliban waliwasumbua Russia ndan ya Afghanistan ila Taliban walipigika shaba waliposogelea mipaka ya wasoviet.
Na ww unaizungumzia Russia ya miaka ya 1980s ila itizame Russia ya sasa ambaye anapotia mguu sehem watu hutetema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia ya sasa japo ni hatari na moto wa kuotea mbali lakini pia wanaeza chezea kichapo wakija na kifua. Gaidi hapendi watu wa vifua. Gaidi unamshinda tu kwa kutumia inteligensia sio silaha pekee. Ndiposa marekani wameanza kutumia inteligensia kuua Al Baghdadi na gaidi wengine wakuu. Huu mchezo hautaki kukingiana kifua inataka careful planning and execution.
 
Back
Top Bottom