Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Kwa hamas ulisema hivi hivi.Hao unaowaita mazayuni wanawanyoa hizbullah kwa chupa.Kituo kinachofuata ni Tehran.Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.
Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.
Ujanja umewaishia.
Waambie magaidi wasitumie wanawake na watoto kama kingaHiyi si
Si tunaita mfa maji haishi kutapatapa.
Anaonea wanawake na wslatoto vijijini huko.
Mbona kagwaya kwa Muiran?
Kwa hiki kipindi Hezbollah uwezo wake ni duni kidogo si kama ilivyozoeleka.Hezbollah hawajakosa mawasiliano, sema mazayuni na media za mabwana zao zinaleta habari za upande mmoja tu.
Hezbollah hawajabadili mbinu zao hata kidogo, miaka ypte ndiyo hizo hizo.Kwa hiki kipindi Hezbollah uwezo wake ni duni kidogo si kama ilivyozoeleka.
IDF 2006 walichukulia like suala kwa uzito mno, ilikuwa ni aibu kuu, na Hezbollah walikuwa tishio si kidogo.
Muda wote huo Israel wametumia intel zao, wamewekeza pesa na kutumia gharama kuhakikisha wanaikabili Hezbollah, haikuwa suala la jana na leo.
Hezbollah walijisahau. 2006 vita ilichukua mwezi.
Lakini ni vyema pia ili wajipange na kufahamu walipokosea, ni uamsho.
Ndio vita ilivyo, kurusha missile kuipiga Tel Aviv sio kushinda, hata Hezbollah apige kambi za jeshi zigeuke vifusi sio kwamba ni ushindi, katika vita hasara lazima iwepo, ndio maana hao Israel licha ya hasara wanazopata bado wanapambana.Hezbollah hawajabadili mbiniu zao hata kidogo, miala ypte ndiyo hizo hizo.
Tena sasa hivi wanaibamiza mpaka Tel Aviv:
View: https://www.youtube.com/live/qKt3Seu13Xk?si=c-uxT1bTHhfkWtv-
Hezbolla ni kikundi cha mgambo tu. Siyo nchi yenye jeshi lake.Ndio vita ilivyo, kurusha missile kuipiga Tel Aviv sio kushinda, hata Hezbollah apige kambi za jeshi zigeuke vifusi sio kwamba ni ushindi, katika vita hasara lazima iwepo, ndio maana hao Israel licha ya hasara wanazopata bado wanapambana.
Ushindi vitani ni mmoja akubali, au arudi nyuma na kukimbia au akubali masharti yaliyopo mezani.
Hezbollah bado hawajatoa mashambulizi makali kuelekea Israel, lakini Israel hadi sasa amemaliza viongozi wengi na askari wake kukanyaga ardhi ya Lebanon sambamba na kuua mamia ya raia wa Lebanon.
Aisee watoto wanateketea jaman...bila huruma ☹️Hiyi si
Si tunaita mfa maji haishi kutapatapa.
Anaonea wanawake na wslatoto vijijini huko.
Mbona kagwaya kwa Muiran?
Hezbollah intel yake imekuwa dhaifu hadi Nasrallah anauawa, wanajitahidi kukabiliana lakini sidhani kama wataweza kuhimili mapigo.Hezbolla ni kikundi cha mgambo tu. Siyo nchi yenye jeshi lake.
Usisahau hilo, vita vyao wanapigana tofauti na unavyofikiria wewe, ki hollywood.
Hizbullah wenyewe wametangaza maeneo ambayo wazayuni wanatakiwa kuhamaWadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel laagiza kuwa wakazi wa vijiji 22 vilivyoko kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao mara moja na kamwe wasithubutu kurejea huko kwa Usalama wao
Kazi ya kuwashughulikia magaidi wa Hezbollah kwenye maeneo hayo ya vijiji kusini mwa Lebanon inaendelea
Mungu ibariki Israel
========
October 12, 2024
IDF tells 22 south Lebanon villages to evacuate, warns not to return amid fighting
By Agencies
Today, 12:19 pm
The Israeli military has ordered residents of 22 more southern Lebanese villages to evacuate to areas north of the Awali River, according to a statement.
It also warns residents of south Lebanon “not to return” to their homes as troops continue fighting Hezbollah in the area.
Israeli forces continue to “target Hezbollah posts in or near your villages,” military spokesman Avichay Adraee says on X. “For your own protection, do not return to your homes until further notice. Do not go south; anyone who goes south may put his life at risk.”
Wadau hamjamboni nyote?

NassraAllah ni pigo la kuondokewa na binadam kama bina dam yeyote anapotangulia. Siyo kikwazo cha kuwacha mapambano.Hezbollah intel yake imekuwa dhaifu hadi Nasrallah anauawa, wanajitahidi kukabiliana lakini sidhani kama wataweza kuhimili mapigo.
Ukweli usemwe.
Hata kama ni militia, sio kawaida yak kuwa wanyonge hivi.
Wajipange tena vyema na wasiishi kwa mazoea, waboreshe zaidi intel yao na mifumo yao kiuongozi n.k..
NassraAllah ni pigo la kuondokewa na binadam kama bina dam yeyote anapotangulia. Siyo kikwazo cha kuwacha mapambano.
Ndiyo nikakwambia wewe unafikri ni sinema ya hollywood hiyo, mbabe akifa ndiyo mwisho wa mchezo. Uhalisia hauwi hivyo.
Binadamu kwanzaHakuna jeshi duniani linalojali raia kama IDF.
Mnapewa kabisa taarifa na muda wa kuhama ili kuepusha maafa; uliona jeshi la wapi linafanya hivyo zaidi ya IDF?
Unamtenganisha vipi muiran na Hezbollah au Hama's na wale wa Yemen?.Hiyi si
Si tunaita mfa maji haishi kutapatapa.
Anaonea wanawake na watoto vijijini huko.
Mbona kagwaya kwa Muiran?
Dear virgin, your argument lacks substance because the same people you're depicting to have been battered are the same people currently active in the battle and humanely telling the Lebanese civilians to vacate the war zone for their own safety.Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.
Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.
Ujanja umewaishia.
Muongo hata gaza ulisema hivi hivi mbona tunaona magofu tuHasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.
Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.
Ujanja umewaishia.
Huwa sikisii, kijana.Muongo hata gaza ulisema hivi hivi mbona tunaona magofu tu
Usisikilize BBC wala CNN na wanaofanana nao .hao hawawezi kuonesha Mauaji ya watoto na wanawake kule GazaMmmmmh sio kweli kwa sasa vyombo vya habari vingi vinaripoti mabaya ya Israel mpk BBC