Jeshi la IDF laagiza wakazi vijiji 22 kuhama mara moja makazi yao Lebanon kusini

Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.

Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.

Ujanja umewaishia.
Kwa hamas ulisema hivi hivi.Hao unaowaita mazayuni wanawanyoa hizbullah kwa chupa.Kituo kinachofuata ni Tehran.
Mwezi huu ukiisha kabla Ayatollah hajasindikizwa kwenye mito ya konyagi huku akitafuna mbususu za mabikra niite mbwa
 
Hezbollah hawajakosa mawasiliano, sema mazayuni na media za mabwana zao zinaleta habari za upande mmoja tu.
Kwa hiki kipindi Hezbollah uwezo wake ni duni kidogo si kama ilivyozoeleka.

IDF 2006 walichukulia like suala kwa uzito mno, ilikuwa ni aibu kuu, na Hezbollah walikuwa tishio si kidogo.

Muda wote huo Israel wametumia intel zao, wamewekeza pesa na kutumia gharama kuhakikisha wanaikabili Hezbollah, haikuwa suala la jana na leo.

Hezbollah walijisahau. 2006 vita ilichukua mwezi.

Lakini ni vyema pia ili wajipange na kufahamu walipokosea, ni uamsho.
 
Hezbollah hawajabadili mbinu zao hata kidogo, miaka ypte ndiyo hizo hizo.

Tena sasa hivi wanaibamiza mpaka Tel Aviv:

View: https://www.youtube.com/live/qKt3Seu13Xk?si=c-uxT1bTHhfkWtv-
 
Hezbollah hawajabadili mbiniu zao hata kidogo, miala ypte ndiyo hizo hizo.

Tena sasa hivi wanaibamiza mpaka Tel Aviv:

View: https://www.youtube.com/live/qKt3Seu13Xk?si=c-uxT1bTHhfkWtv-

Ndio vita ilivyo, kurusha missile kuipiga Tel Aviv sio kushinda, hata Hezbollah apige kambi za jeshi zigeuke vifusi sio kwamba ni ushindi, katika vita hasara lazima iwepo, ndio maana hao Israel licha ya hasara wanazopata bado wanapambana.

Ushindi vitani ni mmoja akubali, au arudi nyuma na kukimbia au akubali masharti yaliyopo mezani.

Hezbollah bado hawajatoa mashambulizi makali kuelekea Israel, lakini Israel hadi sasa amemaliza viongozi wengi na askari wake kukanyaga ardhi ya Lebanon sambamba na kuua mamia ya raia wa Lebanon.
 
Hezbolla ni kikundi cha mgambo tu. Siyo nchi yenye jeshi lake.

Usisahau hilo, vita vyao wanapigana tofauti na unavyofikiria wewe, ki hollywood.
 
Hezbollah intel yake imekuwa dhaifu hadi Nasrallah anauawa, wanajitahidi kukabiliana lakini sidhani kama wataweza kuhimili mapigo.
Ukweli usemwe.

Hata kama ni militia, sio kawaida yak kuwa wanyonge hivi.

Wajipange tena vyema na wasiishi kwa mazoea, waboreshe zaidi intel yao na mifumo yao kiuongozi n.k..
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jeshi la Israel laagiza kuwa wakazi wa vijiji 22 vilivyoko kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao mara moja na kamwe wasithubutu kurejea huko kwa Usalama wao

Kazi ya kuwashughulikia magaidi wa Hezbollah kwenye maeneo hayo ya vijiji kusini mwa Lebanon inaendelea

Mungu ibariki Israel

========

October 12, 2024

IDF tells 22 south Lebanon villages to evacuate, warns not to return amid fighting

By Agencies
Today, 12:19 pm

The Israeli military has ordered residents of 22 more southern Lebanese villages to evacuate to areas north of the Awali River, according to a statement.

It also warns residents of south Lebanon “not to return” to their homes as troops continue fighting Hezbollah in the area.

Israeli forces continue to “target Hezbollah posts in or near your villages,” military spokesman Avichay Adraee says on X. “For your own protection, do not return to your homes until further notice. Do not go south; anyone who goes south may put his life at risk.”
Hizbullah wenyewe wametangaza maeneo ambayo wazayuni wanatakiwa kuhama
 
US wananza bembeleza serekali ya Lebanon kuhusu ceasefire kwanza walimkataza Israel walidhani watashinda. Mimi nilisema hapa mkiona vyama vya Lebanon vinanza kuongea kuhusu ceasefire ujuwe Israel kaishiwa. Wanataka kumuokoa Kwanza Hezbullah alivyo kubali ceasefire walio poroposed wao wakajua Hezbullah anatafuta kusimamisha vita kazidiwa wakakataa. US akasema kwa sasa hakuna haja ya ceasefire 😄

Sa mbona mnanza tena bembeleza serekali ya Lebanon vita visimame? Hio serekali ya Lebanon mafala sana wakikubali kusimamisha vita. Bora waseme wacheni tuone mwisho wa Hezbullah sisi tunataka muimalize Hezbullah si US na Israel mna nguvu sisi hatumuwezi Hezbullah.

US anataka kumuokoa Israel yuko hatarini anapokea kichapo si cha kawaida sasa. Kuingia Lebanon kashindwa, Missiles zinashuka Haifa, Safed, Acre na Tela Aviv kama mvua.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jeshi la Israel laagiza kuwa wakazi wa vijiji 22 vilivyoko kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao mara moja na kamwe wasithubutu kurejea huko kwa Usalama wao

Kazi ya kuwashughulikia magaidi wa Hezbollah kwenye maeneo hayo ya vijiji kusini mwa Lebanon inaendelea

Mungu ibariki Israel

========

October 12, 2024

IDF tells 22 south Lebanon villages to evacuate, warns not to return amid fighting

By Agencies
Today, 12:19 pm

The Israeli military has ordered residents of 22 more southern Lebanese villages to evacuate to areas north of the Awali River, according to a statement.

It also warns residents of south Lebanon “not to return” to their homes as troops continue fighting Hezbollah in the area.

Israeli forces continue to “target Hezbollah posts in or near your villages,” military spokesman Avichay Adraee says on X. “For your own protection, do not return to your homes until further notice. Do not go south; anyone who goes south may put his life at risk.”

Naye Iran atoe tangazo mujarabu kama hilo
 
Hezbollah intel yake imekuwa dhaifu hadi Nasrallah anauawa, wanajitahidi kukabiliana lakini sidhani kama wataweza kuhimili mapigo.
Ukweli usemwe.

Hata kama ni militia, sio kawaida yak kuwa wanyonge hivi.

Wajipange tena vyema na wasiishi kwa mazoea, waboreshe zaidi intel yao na mifumo yao kiuongozi n.k..
NassraAllah ni pigo la kuondokewa na binadam kama bina dam yeyote anapotangulia. Siyo kikwazo cha kuwacha mapambano.

Ndiyo nikakwambia wewe unafikri ni sinema ya hollywood hiyo, mbabe akifa ndiyo mwisho wa mchezo. Uhalisia hauwi hivyo.
 
Tatizo sio kifo cha Nasrallah, hakuna binadamu ataishi milele.

Tatizo ni Nasrallah na viongozi wengine kuuawa na Israel. Ni ishara ya kufeli kwa intel ya Hezbollah, ina maanisha bado Israel wana taarifa nyingi zaidi wanazo mikononi.

Nadhani ndio inasababisha hadi sasa tunaona Hezbollah haipo kawaida.
NassraAllah ni pigo la kuondokewa na binadam kama bina dam yeyote anapotangulia. Siyo kikwazo cha kuwacha mapambano.

Ndiyo nikakwambia wewe unafikri ni sinema ya hollywood hiyo, mbabe akifa ndiyo mwisho wa mchezo. Uhalisia hauwi hivyo.
 
Hakuna jeshi duniani linalojali raia kama IDF.

Mnapewa kabisa taarifa na muda wa kuhama ili kuepusha maafa; uliona jeshi la wapi linafanya hivyo zaidi ya IDF?
Binadamu kwanza
 
Hiyi si

Si tunaita mfa maji haishi kutapatapa.

Anaonea wanawake na watoto vijijini huko.

Mbona kagwaya kwa Muiran?
Unamtenganisha vipi muiran na Hezbollah au Hama's na wale wa Yemen?.

Wakati Israel anapowachapa Hezbollah na Hama's anakuwa amemchapa muiran mwenyewe?.

Ndiomaana kipigo kinapokolea mtu mzima mwenyewe Iran anafurumuka kulipiza kisasi,na visasi vyote anavyolipiza Iran havitokani na Israel kuishambulia Iran moja kwa moja vyote vinatokana na Israel kuipiga Iran kwa kupitia Hezbollah au Hama's.
 
wakati huo huo hezbolla wamesema wao wapo tayari kujadili kuhusu ceasefire. walifikiri mzayuni anatania.
 
Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.

Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.

Ujanja umewaishia.
Dear virgin, your argument lacks substance because the same people you're depicting to have been battered are the same people currently active in the battle and humanely telling the Lebanese civilians to vacate the war zone for their own safety.
 
Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.

Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.

Ujanja umewaishia.
Muongo hata gaza ulisema hivi hivi mbona tunaona magofu tu
 
Back
Top Bottom