Jeshi la Israel, IDF limemuua Mkuu wa Hamas nchini Lebanon Fatah Sharif, mke pamoja na watoto wake

Jeshi la Israel, IDF limemuua Mkuu wa Hamas nchini Lebanon Fatah Sharif, mke pamoja na watoto wake

Wadau hamjamboni nyote?

Shughuli inaendelea kama ilivyopangwa na kukusudiwa

Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hamas huko nchini Lebanon ameuawa na shambulizi la IDF

Katika shambulio la angani lililolenga, kundi la Hamas lilipata pigo kubwa Jumatatu wakati kiongozi wake nchini Lebanon, Shahidi Fateh Sharif – Abu al-Amin, aliuawa pamoja na mkewe, mwanawe, na binti yake nyumbani kwao katika kambi ya wakimbizi ya al-Buss huko Kusini mwa Lebanon.

Shambulio hilo, linalodaiwa kuwa ni la uchokozi kutoka kwa Israel, lilikuwa ni la kwanza kutokea kwenye kambi hiyo tangu kuanza kwa shambulio la Israel dhidi ya Lebanon, kulingana na Shirika la Habari la Kitaifa la Lebanon (NNA).

Awali, ‘Israel’ pia iliwaua wanachama watatu wa Fronti ya Ukombozi wa Palestina, wakiwemo viongozi wawili, katika shambulio lililolenga jengo la makazi ya ghorofa nyingi katika eneo la Cola, Beirut.

Hii itakuwa mara ya kwanza kwa ‘Israel’ kushambulia mji mkuu wa Lebanon, isipokuwa sehemu ya Kusini mwa mji huo.

================================================

Hamas on Monday announced that its leader in Lebanon, Fatah Sharif, also known as Abu Al-Amin, was killed alongside multiple members of his family in an Israeli strike on the south of the country.

Hamas described Sharif as “leader of the Islamic Resistance Movement Hamas in Lebanon and a member of the movement’s leadership abroad.”

The group said his wife, son and daughter were also killed in the same strike, which it said took place in the El Buss refugee camp, on the outskirts of the city of Tyre.

It was not immediately clear how senior Sharif was within Hamas. CNN has reached out to the Israeli military for comment.

Source: CNN, Al Manar
We neta nyau,umepigaje hapo
Tukurukuduuunduuunduuu...kobasi Zina Isha asee
 
Mkuu ; unashindwaje kutofautisha kwamba JWTZ ni jeshi la wananchi wa Tanzania. HAMAS ni kikundi cha KIGAIDI chenye uelekeo wa kidini na kinachoendesha harakati zake ndani ya nchi huru ya Palestina kwa kufadhiliwa na nchi ya Iran. Huoni kuna tofauti kubwa sana???
JWTZ linawajibika kwa waTz na linapendwa na wananchi wote. HAMAS inawajibika kwa hao wanaouawa na hawapendwi na Wapalestina wote ila wapo hapo kiubabe. Ni hadi waishe kwa mkono wa Myahudi kama hawatashtuka mapema na kuomba kujisalimisha.
HAMAS INAPENDWA NA WAPALESTINA KULIKO JWTZ INAYOWALINDA CCMU NA SIO WANANCHI , HAMAS NI JESHI IMARA SANA SIO KAMA JWTZ INAYOSHINDWA HATA WAMALIZA PANYA ROAD, TUACHE UNAFIKI
 
Kwa maana kwamba JWTZ siyo kubwa kama Hamas kwa sababu hao Hamas wamefanya mission za maana na zenye matokeo mazuri kuliko JWTZ?

Nakuona wewe ndiye mwenye dharau.
Mission gan jwtz imefanya ? Hv unakuwa hz panyaroad za Africa zko funded na hao hamas ? KIUFUPI Hamas wakipewa Tx haimaliziki wiki wanakuwa washaiteka Tz ,karibu robo tatu ya walinz wetu wa taifa wanakuwa wamelewa Kila siku kuanzia saa 2usk
HAMAS WAMEKUTANA NA KIDUME IDF ILA HAMAS SIO LEVEL ZA JWTZ
 
Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi inayozungumzia kifo chake, ambayo inaonyesha jinsi alivyokabiliwa na hali hiyo.

Maelezo ya Kifo cha Khalid bin al-Walid​

  1. Kifo Kitandani:Khalid bin al-Walid alikufa kitandani mwaka wa 642 CE (AH 21) baada ya kuugua, ingawa alikuwa mmoja wa wapiganaji wakuu na aliyejulikana kama "Saifullah" (Upanga wa Allah) kwa sababu ya ujasiri na mafanikio yake kwenye vita. Hadithi inasema kwamba alihisi huzuni kwa sababu hakuweza kufa vitani kama alivyokuwa akitamani. Alisema:
  2. Kuhusiana na Ujasiri:Ingawa alikufa kitandani, Khalid bin al-Walid alijulikana kwa nguvu na ujasiri wake, na alikuwa na mchango mkubwa katika kuimarisha Uislamu katika kipindi cha mapema. Aliongoza vikosi vya Kiislamu katika vita mbalimbali, ikiwemo Vita vya Mu'tah na Vita vya Yarmouk, ambavyo vilichangia kuimarisha uhusiano wa Kiislamu katika eneo kubwa la Mashariki ya Kati.
  3. Wasiwasi wa Kifo:Alipokuwa akiongea kuhusu kifo chake, Khalid bin al-Walid alionyesha wasiwasi kuwa alikufa kwa njia isiyo ya heshima. Alijitahidi kwa bidii kuhakikisha kwamba maisha yake yamejawa na matendo mema na ushindi vitani. Hata hivyo, alikubali kuwa hatima yake ilikuwa mikononi mwa Allah, na mwisho wa siku ni Allah pekee anayeamua jinsi mtu atakavyokufa.
Hadithi yako inafundisha nini mkuu.
 
Back
Top Bottom