CHOGOBINGO
Member
- Sep 13, 2024
- 24
- 44
mito ya pombe na migoma imechanganyikiwa huko full kwenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wawili niliwasahau mkuuApanaa bana mbona unabana maslahi wakati kwa Allah wa mtume ni Bikira 72
Wadau hamjamboni nyote?
Shughuli inaendelea kama ilivyopangwa na kukusudiwa
Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hamas huko nchini Lebanon ameuawa na shambulizi la IDF
Taarifa kamili hapo chini:
Hamas says its leader in Lebanon killed alongside family members in an Israeli strike
From CNN's Abeer Salman
Hamas on Monday announced that its leader in Lebanon, Fatah Sharif, also known as Abu Al-Amin, was killed alongside multiple members of his family in an Israeli strike on the south of the country.
Hamas described Sharif as “leader of the Islamic Resistance Movement Hamas in Lebanon and a member of the movement’s leadership abroad.”
The group said his wife, son and daughter were also killed in the same strike, which it said took place in the El Buss refugee camp, on the outskirts of the city of Tyre.
It was not immediately clear how senior Sharif was within Hamas. CNN has reached out to the Israeli military for comment.
Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi inayozungumzia kifo chake, ambayo inaonyesha jinsi alivyokabiliwa na hali hiyo.Simple tu
"Nimepigana katika vita kadhaa, lakini sasa ninakufa kitandani kama kifaranga. Hili ni jambo la aibu kwa mtu kama mimi."
Hata we ukifa atakurithi mwanao....formation ndo hioHivi hao viongozi hawaishi...
Toka nimeanza kusikia viongozi wa Hamas kuuawa wanafika 20, halafu wote viongozi wakuu...
Akiuwawa Kiongozi wa kundi, ndani ya masaa 48 anatangazwa mwingine.Kawaida namba mbili anapanda kua namba moja.Hivi hao viongozi hawaishi...
Toka nimeanza kusikia viongozi wa Hamas kuuawa wanafika 20, halafu wote viongozi wakuu...
Watasamehewa chiefu, Wayahudi nao ni watu na wanapenda sana Amani, nje na hapo, JEWS ni mfano wa Lucifer mkuuDaah! Mfano wakijitokeza na kuomba msamaha?
Mkuu ; unashindwaje kutofautisha kwamba JWTZ ni jeshi la wananchi wa Tanzania. HAMAS ni kikundi cha KIGAIDI chenye uelekeo wa kidini na kinachoendesha harakati zake ndani ya nchi huru ya Palestina kwa kufadhiliwa na nchi ya Iran. Huoni kuna tofauti kubwa sana???Kwan jwtz Ina viongoz 20 tu ,waafrika mnapenda kudharau watu , unahis jwtz ni kubwa kuliko Hamas
Exactly. Naye anatendwa kama namba moja chap' halafu ndani ya masaa 48 anasubiriwa tena mwingine na game linaendelea kama mbuzi wa Vingunguti.Akiuwawa Kiongozi wa kundi, ndani ya masaa 48 anatangazwa mwingine.Kawaida namba mbili anapanda kua namba moja.
Weee! Hao jamaa wanapenda sana bikra ujue.Kwa style hii ya kuua viongozi na familia yake Watu wataogopa kua viongozi
Mmh! Mkuu; Lini uliwahi kusikia nyumbu wameisha Serengeti?Hivi hao viongozi hawaishi...
Toka nimeanza kusikia viongozi wa Hamas kuuawa wanafika 20, halafu wote viongozi wakuu...
Waarabu wamegawanyika kwenye Sunni, Shia, Ukristo. Bahati mbaya hawa Hezbollah wanaibrand hii vita kama ya kidini which automatically unakosa support ya hao kina Sunni na Wakristo. Hasa ukifuatilia mwenendo wa hivi vikundi vya Shia dhidi ya wale wa madhehebu wa Sunni. Yaani unawaita watu makafiri tena upo na nchi moja halafu wakusupport? Wewe ungeweza?Huyu myahudi ni noma aseee!!!
Waarabu ni km nyumbu wapo kimya Wanaangalia tuu!!
Yeah. Just kneel down or stand still with ur both hands raised up waving a white flag.Simple tu
Mzee upo jimbo gani? Mimi nipo Galilaya hapa makutano ya Ponsio Pilato na Nazareth.Tutawasamehe Kwa masharti
Umewaambia ukweli japo mchungu, na kama kawaida yao watakubishia na pengine labda watakutukana- ila message sent and deliverd.Waarabu wamegawanyika kwenye Sunni, Shia, Ukristo. Bahati mbaya hawa Hezbollah wanaibrand hii vita kama ya kidini which automatically unakosa support ya hao kina Sunni na Wakristo. Hasa ukifuatilia mwenendo wa hivi vikundi vya Shia dhidi ya wale wa madhehebu wa Sunni. Yaani unawaita watu makafiri tena upo na nchi moja halafu wakusupport? Wewe ungeweza?
Lazima umoja ukosekane.
Tazama Myaudi yeye hana hizo mambo, anaungwa mkono na Wakristo, Waislamu, Wahindu, Buddha hadi wale wanaoabudu ng'ombe. Since agenda yao iko wazi, tunajilinda dhudi ya uvamizi. Tena hawasemi tumevamiwa na Waislamu wao wanasema sisi tumevamiwa na ni haki yetu kujilinda.
Kuleta Umoja inabidi kukataa Udini kwanza.
Ndio kaka. Anachowin Myaudi ni nguvu ya ushawishi katika kila nyanja kwa sababu aina ya mlengo wake upo very clear. Kulilinda taifa letu kwa gharama yoyote na sio kumlinda Myaudi japo wao ndio wengi.Umewaambia ukweli japo mchungu, na kama kawaida yao watakubishia na pengine labda watakutukana- ila message sent and deliverd.
😂😂😂 mahujumat el Kubas dadeekWallah abillah twaangamia kobazi
Wallah abillah hoi😂😂😂 mahujumat el Kubas dadeek
Wiki iliyopita Saud Arabia wamepiga marufuku Kwa viongozi wa dini kuhubiri ishu za Palestine wala kufanya maombolezoHuyu myahudi ni noma aseee!!!
Waarabu ni km nyumbu wapo kimya Wanaangalia tuu!!