Jeshi la Israel, IDF limemuua Mkuu wa Hamas nchini Lebanon Fatah Sharif, mke pamoja na watoto wake

Jeshi la Israel, IDF limemuua Mkuu wa Hamas nchini Lebanon Fatah Sharif, mke pamoja na watoto wake

Wadau hamjamboni nyote?

Shughuli inaendelea kama ilivyopangwa na kukusudiwa

Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hamas huko nchini Lebanon ameuawa na shambulizi la IDF

Taarifa kamili hapo chini:

Hamas says its leader in Lebanon killed alongside family members in an Israeli strike​

From CNN's Abeer Salman
Hamas on Monday announced that its leader in Lebanon, Fatah Sharif, also known as Abu Al-Amin, was killed alongside multiple members of his family in an Israeli strike on the south of the country.
Hamas described Sharif as “leader of the Islamic Resistance Movement Hamas in Lebanon and a member of the movement’s leadership abroad.”

The group said his wife, son and daughter were also killed in the same strike, which it said took place in the El Buss refugee camp, on the outskirts of the city of Tyre.
It was not immediately clear how senior Sharif was within Hamas. CNN has reached out to the Israeli military for comment.

Simple tu
Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi inayozungumzia kifo chake, ambayo inaonyesha jinsi alivyokabiliwa na hali hiyo.

Maelezo ya Kifo cha Khalid bin al-Walid​

  1. Kifo Kitandani:Khalid bin al-Walid alikufa kitandani mwaka wa 642 CE (AH 21) baada ya kuugua, ingawa alikuwa mmoja wa wapiganaji wakuu na aliyejulikana kama "Saifullah" (Upanga wa Allah) kwa sababu ya ujasiri na mafanikio yake kwenye vita. Hadithi inasema kwamba alihisi huzuni kwa sababu hakuweza kufa vitani kama alivyokuwa akitamani. Alisema:
    "Nimepigana katika vita kadhaa, lakini sasa ninakufa kitandani kama kifaranga. Hili ni jambo la aibu kwa mtu kama mimi."
  2. Kuhusiana na Ujasiri:Ingawa alikufa kitandani, Khalid bin al-Walid alijulikana kwa nguvu na ujasiri wake, na alikuwa na mchango mkubwa katika kuimarisha Uislamu katika kipindi cha mapema. Aliongoza vikosi vya Kiislamu katika vita mbalimbali, ikiwemo Vita vya Mu'tah na Vita vya Yarmouk, ambavyo vilichangia kuimarisha uhusiano wa Kiislamu katika eneo kubwa la Mashariki ya Kati.
  3. Wasiwasi wa Kifo:Alipokuwa akiongea kuhusu kifo chake, Khalid bin al-Walid alionyesha wasiwasi kuwa alikufa kwa njia isiyo ya heshima. Alijitahidi kwa bidii kuhakikisha kwamba maisha yake yamejawa na matendo mema na ushindi vitani. Hata hivyo, alikubali kuwa hatima yake ilikuwa mikononi mwa Allah, na mwisho wa siku ni Allah pekee anayeamua jinsi mtu atakavyokufa.
 
Kwan jwtz Ina viongoz 20 tu ,waafrika mnapenda kudharau watu , unahis jwtz ni kubwa kuliko Hamas
Mkuu ; unashindwaje kutofautisha kwamba JWTZ ni jeshi la wananchi wa Tanzania. HAMAS ni kikundi cha KIGAIDI chenye uelekeo wa kidini na kinachoendesha harakati zake ndani ya nchi huru ya Palestina kwa kufadhiliwa na nchi ya Iran. Huoni kuna tofauti kubwa sana???
JWTZ linawajibika kwa waTz na linapendwa na wananchi wote. HAMAS inawajibika kwa hao wanaouawa na hawapendwi na Wapalestina wote ila wapo hapo kiubabe. Ni hadi waishe kwa mkono wa Myahudi kama hawatashtuka mapema na kuomba kujisalimisha.
 
Huyu myahudi ni noma aseee!!!

Waarabu ni km nyumbu wapo kimya Wanaangalia tuu!!
Waarabu wamegawanyika kwenye Sunni, Shia, Ukristo. Bahati mbaya hawa Hezbollah wanaibrand hii vita kama ya kidini which automatically unakosa support ya hao kina Sunni na Wakristo. Hasa ukifuatilia mwenendo wa hivi vikundi vya Shia dhidi ya wale wa madhehebu wa Sunni. Yaani unawaita watu makafiri tena upo na nchi moja halafu wakusupport? Wewe ungeweza?

Lazima umoja ukosekane.

Tazama Myaudi yeye hana hizo mambo, anaungwa mkono na Wakristo, Waislamu, Wahindu, Buddha hadi wale wanaoabudu ng'ombe. Since agenda yao iko wazi, tunajilinda dhudi ya uvamizi. Tena hawasemi tumevamiwa na Waislamu wao wanasema sisi tumevamiwa na ni haki yetu kujilinda.

Kuleta Umoja inabidi kukataa Udini kwanza.
 
Umewaambia ukweli japo mchungu, na kama kawaida yao watakubishia na pengine labda watakutukana- ila message sent and deliverd.
 
Umewaambia ukweli japo mchungu, na kama kawaida yao watakubishia na pengine labda watakutukana- ila message sent and deliverd.
Ndio kaka. Anachowin Myaudi ni nguvu ya ushawishi katika kila nyanja kwa sababu aina ya mlengo wake upo very clear. Kulilinda taifa letu kwa gharama yoyote na sio kumlinda Myaudi japo wao ndio wengi.
 
Back
Top Bottom