Jeshi La Israel, IDF,Sasa Hivi Latumia "Suicide Drones" Kuua Magaidi Wengi Wa Hamas Huko Gaza

Jeshi La Israel, IDF,Sasa Hivi Latumia "Suicide Drones" Kuua Magaidi Wengi Wa Hamas Huko Gaza

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
Mytake:Sasa wavaa vipedo, misuli na makobazi wanapigwa kotekote,ardhini,majini na angani.
.....
The IDF revealed a shift in Gaza warfare: suicide drones now kill most Hamas terrorists. The “Atalef” drone is standard issue across ground forces, with platoons equipped with their own intel drones.
FB_IMG_1756916658719.jpg
 
Yale ya kule Yemen yametulia tuli kama maji ya mtungini baada ya dafrau lisilotegemewa la juzi kati.
 
Kafika jehanam akapokelewa kwa shangwe na nderemo na majini kuwa bikra kaingia akaanza kutinduliwa tena mtungo na majini
Hilo la kufika jehanam mi sijuwi labda umuulize bim mkubwa wako
 
Kitu ambacho haukijui mvaa misuri na kobazi maarufu alikuwa Yesu

Au unadhani Yesu alikuwa anavaa suti , Tai na moka kama wewe?
 
Back
Top Bottom