Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Na wote tuseme ameenNataka kwenda Israel kuongeza nguvu ya Taifa teule la Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wote tuseme ameenNataka kwenda Israel kuongeza nguvu ya Taifa teule la Mungu
Tunaizungumzia Lebanon au Syria?Golan heights iko wapi kwani?
Naongea kwa msisitizo.Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza opereshenk nchini Israel.
Siku ya leo jeshi la Israel limepeperusha vikaratasi vikiwasihi wananchi kuondoka katika makazi yao katika Lebanon Kusini.
Tutarajie mengi kuendelea
Silaha na msaada wa udunguaji ni nani anatoa kama sio US!?Kwa sababu kwa enzi na enzi NATO na USA huwa wanapigana na wakinzani wa Israeli mstari wa mbele?
GOLAN HEIGHTS iko SYRIA kijana.Golan heights iko wapi kwani?
Huendi mbinguni ujue 😁
Sasa kama wanataka wenyewe waacheni wanyoshane tushawachoka...Huendi mbinguni ujue 😁
Civil wars sio poaaa kabisa loSasa kama wanataka wenyewe waacheni wanyoshane tushawachoka...
Tofautisha vitu viwili kuwa na ujuzi na kuutumia ujuzi...Yaani mfano unaweza kuwa unajua kitu Fulani ili kiende sawa kinatakiwa kipitie hatua hii ,hii na hii ili kifanikiwe,ila kuna MTU ana ujuzi WA jambo Hilo Hilo kwa muda mrefu hivo ana mbinu nyingi za kukushinda wewe unatumia hatua kutoboa.Waarabu wameshagundua, vita ya muda mrefu ni stress kwa mataifa ya magharibi, Israeli awe makini asiende kichwakichwa inaweza kuwa vita ngumu yenye stress na isiyoisha kwake..
Wahouth tayari wapo mdomoni hapo Syria na Lebanon, wapiganaji wengi kutoka Afghanistan wapo maeneo hayo wanasubiri vita ya chini kwa chini.
taifa la mashoga...saidianeni mtashindaNataka kwenda Israel kuongeza nguvu ya Taifa teule la Mungu
Tamaa ya ushindi ni mbayaVita vina ulevi mbaya Sana,
Hitler nae alianza hivihivi akaishia kubaya
Hawa wavaa kobaz cjui ni kwa nini hawajifunzi. Gaza walionywa hivo hivo wakashupaza shingo au Hamas akawalaghai eti anaumudu huo mtanange - hakuna sababu ya kuondoka. Lakini ngoma ilipoanza tukasikia vilio vikitamalaki oh' IDF anatuonea/anaua raia wasio na hatia, IDF anaua wazee, akina mama na watoto na kubomoa miundombinu ya kijamii. Baadaye tukasikia Hamas anajificha nyuma ya makalio ya akina mama na kuvaa hijab. Tusubiri tuone yatakayojiri mtifuano ukianza.Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza opereshenk nchini Israel.
Siku ya leo jeshi la Israel limepeperusha vikaratasi vikiwasihi wananchi kuondoka katika makazi yao katika Lebanon Kusini.
Tutarajie mengi kuendelea
Myahudi hakopeshi ujue.Mkuu; Katika vita huwaga hawaangalii eti umesaidiwa na nani kwani nayo hiyo ni mbinu mojawapo. Ukiweza kama na ww unataka siutumie?-daadek. Atakayekamatiwa chini kisawasawa na kubanwa koo a.k.a kabali ndio atakuwa na jukumu la kutoa sauti ya kilio au sauti ya kuomba msaada. Kuwa mpole; Tusubiri IDF waliamshe ndipo tutajua atashinda vipi.Israel alisha chakazwa vibaya sana kwenye ground force hawezi kupigana na Hezbullah ikiwa Gaza kakusanya wahindi, wafrica, wa Philippines WA european, American na Latin na bado hajashinda vita sijui huko atashinda vipi 😄