Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Akizungumza kwa masikitiko sana mkuu wa majeshi wa Israel southern command Eliezer Toledano amesikitika kwa kumkosa kumuua mara mbili wiki iliyopita gaidi bishi la Hamas Mohammed Deif, 55 pichani hapo chini.
Deif ambaye ni gaidi zoefu ameponea na kukoswakoswa kuuawa mara kadhaa 2011, 2013, 2017, 2018 na mara mbili wiki iliyopita.
IDF imekubali jamaa ni mbishi na janjajanja nyingi katika nyanja ya ugaidi kwasababu company yake muda wake wote ni wanawake na wa watoto na imewawia vigumu sana kumuua kwasababu kila wakijaribu.
Pia licha ya hana miguu yote miwili, mkono mmoja na jicho moja ambavyo vilisavabishwa kutoweka kwenye mashambulio ya awali bado anambinu za kujificha na kutoweka kabla ya kushambuliwa.
Mohammed Deif ni commander wa Hamas Qassam Brigade ambayo imejiusisha sana na mashambulizi mengi sana Israel.
Lakini licha ya IDF kusikitika kumkosakosa Gaidi bishi zoefu la Hamas Mohammed Deif imefarjika kumuua gaidi lingine katili hapo chini pichani Yahya Sinwar akijulika kwa jina lautani 'butcher of Khan Younus'.
IDF inadai inafaham kila nyendo zake wakati wake urafika tu hivi karibuni.