Jeshi la Israel lahuzunika sana kulikosakosa gaidi la Hamas lenye roho Tisa kama ya paka

Jeshi la Israel lahuzunika sana kulikosakosa gaidi la Hamas lenye roho Tisa kama ya paka

Hamas wamebondwa

Screenshot_20210521-010349_Chrome.jpg
 
Ingekuwa kuuwa viongozi ni suluhu basi kifo cha Osama ugaidi ungeisha,lakini ndo umetapakaa kwa kasi mpaka kufikia idadi ya nchi zenye ugaidi kuongezeka.
Alqaeda ilienda na mwendazake bin laden face that
 
hilo neno gaidi mpk Leo sijafahamu inamaanisha nn maana wanaofanya ugaidi wao ndio wanaitae wenzao magaidi hata Nelson Mandela alikua kwenye list ya magaidi wakati anapambana kuikomboa South Africa Leo Tena Israel anaita wenzake magaidi.
 
Hivi tafsiri ya neno gaidi hua nani anaitoa na ni vigezo gani hutumika mtu fulani kuonekana gaidi au tendo fulani kuonekana la kigaidi?
 
Back
Top Bottom