naona wewe umetoka usingizini,au umekula alkasusu asubuhi? Israel amechakaza gaza yote, kauwa viongozi wote wa hamas, kauwa viongozi wote wa hezbollah, kasambaratisha syria hadi jamaa kakimbia, kapiga wahuthi kwa ndege zake, halafu leo unasema hawezi kuwashinda watu ambao tayari wapo kaburini? operation zote za UK na US huwa zinatangazwa, na kwa taarifa yako US NA UK huwa hawafanyi operation za kikatili kama ya myahudi, wao huwa wanaogopa kuchafua brand.ukiona kuna ndege imepiga bandari, imepiga airport kama ile iliyopiga maeneo 30 mwezi uliopiga hadi mhuthi akaduwaa, hayo ni mashambulizi ya kikatili sana na jua ni ya myahudi, sio US wala UK. pia, wahuthi wenyewe huwa wanaweka specific kabisa, wakipigwa na myahudi wanasema hapa ametupiga myahudi, wakipigwa na UK au US wanasema ni hao. ila wewe mhuthi wa tuangoma uliyeshiba vitumbua na chai isiyotosha sukari, umejazwa matope kabisa kichwani.hata hujielewi unaongea nini.