Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Hizo ni Propaganda za Wafuga Midevu na Majini Ngoja nikupe somo kwanza kabisa hakuna kitu kinachoitwa Genocide huko Gaza waarabu wanaitwa hivyo ili tu wapate kuonewa huruma na jumuia za kimataifa. Pili Israel haijashindwa lolote Kuhusu kuwarudisha mateka kwa asilimia kubwa wamefanikiwa kwanza ieleweke kuwa Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 na kuua watu 1200 baadhi ya mateka walikombolewa na wengine walirudishwa kwa mazungumzo kubadirishwa na magaidi waliokuwa wamefungwa nchini Israel kwa hiyo waliobaki mikononi mwa magaidi hao ni 100 tu kwa hiyo Israel imeweza kukomboa zaidi ya nusu ya mateka kwa hiyo hayo ni mafanikio na ni Ushindi kwa Israel. Tatu kuhusu Kijeshi Israel imeweza kupigana na maadui kutoka pandę Saba yaani Hamas,Hezbollah,Houthi,Syria,Iraq na Bwana wao Iran na imeweza kuwashinda kabisa. Tukianza na Hamas sasa hivi anapigwa kama Ngoma na anaendelea kupigwa hadi mateka wote wamerudishwa nyumbani na Hamas si tishio tena kwa Israel huo pia ni us Hindi kwa majeshi ya Israel. Tukija kwa magaidi wa HEZBOLLAH waliwekwa akiba kwa Mwaka mzima walikuwa Wakiishambulia Israel baadaye Israel ilipoamua kuwashughulikia kwanza viongozi wao wote waliuwawa akiwemo Hassa Nasrallah walipopigwa sana Ilibidi waombe kusitishwa mapigano kwa siku 60 huo pia ni ushindi kwa majeshi ya Israel. Tukija upande wa Syria ambako Iran ilikuwa ikipitisha silaha zake kwenda kwa Hezbollah walipigwa mpaka kupelekea Assad kupinduliwa huo pia ni ushindi kwa majeshi ya Israel.Naona niishie hapo tu Israel Kijeshii hakuna nchi yoyote ya mashariki ya kati na uajemi unaweza kuleta nyokonyoko!!