Jeshi la Israel lajiweka kwenye tahadhari ya hali ya juu kabisa likihofia shambulizi la kijeshi kutoka Iran linaloweza kutokea muda wowote

Hizo ni Propaganda za Wafuga Midevu na Majini Ngoja nikupe somo kwanza kabisa hakuna kitu kinachoitwa Genocide huko Gaza waarabu wanaitwa hivyo ili tu wapate kuonewa huruma na jumuia za kimataifa. Pili Israel haijashindwa lolote Kuhusu kuwarudisha mateka kwa asilimia kubwa wamefanikiwa kwanza ieleweke kuwa Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 na kuua watu 1200 baadhi ya mateka walikombolewa na wengine walirudishwa kwa mazungumzo kubadirishwa na magaidi waliokuwa wamefungwa nchini Israel kwa hiyo waliobaki mikononi mwa magaidi hao ni 100 tu kwa hiyo Israel imeweza kukomboa zaidi ya nusu ya mateka kwa hiyo hayo ni mafanikio na ni Ushindi kwa Israel. Tatu kuhusu Kijeshi Israel imeweza kupigana na maadui kutoka pandę Saba yaani Hamas,Hezbollah,Houthi,Syria,Iraq na Bwana wao Iran na imeweza kuwashinda kabisa. Tukianza na Hamas sasa hivi anapigwa kama Ngoma na anaendelea kupigwa hadi mateka wote wamerudishwa nyumbani na Hamas si tishio tena kwa Israel huo pia ni us Hindi kwa majeshi ya Israel. Tukija kwa magaidi wa HEZBOLLAH waliwekwa akiba kwa Mwaka mzima walikuwa Wakiishambulia Israel baadaye Israel ilipoamua kuwashughulikia kwanza viongozi wao wote waliuwawa akiwemo Hassa Nasrallah walipopigwa sana Ilibidi waombe kusitishwa mapigano kwa siku 60 huo pia ni ushindi kwa majeshi ya Israel. Tukija upande wa Syria ambako Iran ilikuwa ikipitisha silaha zake kwenda kwa Hezbollah walipigwa mpaka kupelekea Assad kupinduliwa huo pia ni ushindi kwa majeshi ya Israel.Naona niishie hapo tu Israel Kijeshii hakuna nchi yoyote ya mashariki ya kati na uajemi unaweza kuleta nyokonyoko!!
 
sasa houth tunavyoongea hivi, hawana kisima cha mafuta, hawana airport, hawana bandari. walionyesha namna wanavyopanga folen kununua mafuta shelli zao, utawaonea huruma. na kituo cha kufua umeme hamna. vyote ivyo israel alilipua. na inawezekana akalipua hadi barabara zao wakiendelea na ugaidi.
Hio kauli wametoa wao na Kwa haki hio hio walonayo UK na US wameshindwa kuvuka baharini, na bandari ya Israel haifanyi kazi, saudia ndio anamjua vizuri Houthi
 
wamarekani na wa UK hawawezi kushindwa, ila wameamua tu kuliacha hili ili maumivu yaende kwa wengi. kama hujui, anayeathirika kuliko wote hapo wala sio israel au wazungu, ni Misri, mwarabu mwenzao. meli zinazopita mfereji wa suez zinalipa pesa kwa misri, na ilishapigwa hesabu hapo miseri kapoteza mabilioni ya dola kwa sababu ya wahuthi, na sasaivi tunavyoongea, misri ameruhusu ndege za israel kuwepo misri kwenye maandalizi ya pamoja kushambulia wahuthi. kama israel anaweza kuamka jerusalem akawasha ndege, akaenda kupiga Yemen na kurudi bila kudunguliwa na akapiga maeneo yaleyale nyeti, unafikiri kweli wahuthi ni watu wa kumshinda UK, US na israel? wameamua tu kwenda polepole na malengo mengine ni ili iran aweke pua zaidi wapate sababu. kuna mengi yanaendelea.

Israel ile majuzi alilipua bandari zote, airport zote, kituo cha kufua umeme, kituo cha kuhifadhi mafuta n.k ni kama maeneo muhimu 30. Yemen ni nchi maskini tu kama somalia tu, utaumia sana kwao kama utaenda kupigana on the ground, ila ukiwa unatoka home unapiga kwa ndege na kurudi hauathiriki maana watajitoa mhanga saa ngapi na wao wanatamani iwe hivyo ila haitakuwa hivyo. wenzao wamemaua kuwaharibia miundombinu ambayo inasemekana watachukua miaka mingi sana kuijenga tena. angalia mfano hapa bongo mtu aje apige bandari ya dsm, itachukua miaka mingapi kujenga tena? au hata airport (Mungu aepushie mbali). natoa kama mfano tu.
 
Hizo ni Propaganda za Wafuga Midevu na Majini Ngoja nikupe somo kwanza kabisa hakuna kitu kinachoitwa Genocide huko Gaza waarabu wanaitwa hivyo ili tu wapate kuonewa huruma na jumuia za kimataifa. Pili Israel haijashindwa lolote Kuhusu kuwarudisha mateka kwa asilimia kubwa wamefanikiwa kwanza ieleweke kuwa Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 na kuua watu 1200 baadhi ya mateka walikombolewa na wengine walirudishwa kwa mazungumzo kubadirishwa na magaidi waliokuwa wamefungwa nchini Israel kwa hiyo waliobaki mikononi mwa magaidi hao ni 100 tu kwa hiyo Israel imeweza kukomboa zaidi ya nusu ya mateka kwa hiyo hayo ni mafanikio na ni Ushindi kwa Israel. Tatu kuhusu Kijeshi Israel imeweza kupigana na maadui kutoka pandę Saba yaani Hamas,Hezbollah,Houthi,Syria,Iraq na Bwana wao Iran na imeweza kuwashinda kabisa. Tukianza na Hamas sasa hivi anapigwa kama Ngoma na anaendelea kupigwa hadi mateka wote wamerudishwa nyumbani na Hamas si tishio tena kwa Israel huo pia ni us Hindi kwa majeshi ya Israel. Tukija kwa magaidi wa HEZBOLLAH waliwekwa akiba kwa Mwaka mzima walikuwa Wakiishambulia Israel baadaye Israel ilipoamua kuwashughulikia kwanza viongozi wao wote waliuwawa akiwemo Hassa Nasrallah walipopigwa sana Ilibidi waombe kusitishwa mapigano kwa siku 60 huo pia ni ushindi kwa majeshi ya Israel. Tukija upande wa Syria ambako Iran ilikuwa ikipitisha silaha zake kwenda kwa Hezbollah walipigwa mpaka kupelekea Assad kupinduliwa huo pia ni ushindi kwa majeshi ya Israel.Naona niishie hapo tu Israel Kijeshii hakuna nchi yoyote ya mashariki ya kati na uajemi unaweza kuleta nyokonyoko!!
Israel hawezi kupigana Hata na hamas, achilia mbali hizbollah ndio aende Kwa Iran? Oparation za Yemen zote wanafanya mabwana zake, oparation nyingi TU za air force ni US, kilichowakuta Lebanon wanakijua, hawana displine na uwezo wa kivita combat, wanachofanya Iran anaweza kukifanya zaidi ya mara 100 yaan kuangusha majengo ya raia Kwa nchi amabayo Haina air defense? Hata haouhi wanaweza kuporosha majengo yote palee Lebanon. Government ya Lebanon ndio waliowasumbua Hezbollah wasimamishe vita na vinginevyo hezbola angekua na mamlaka Lebanon yote Leo hii vita vingeendelea na kunawezkano pia wa vita kuenedelea baada y hizo siku 60 hivyo Haina garantee yoyote. Houthi katangaza kiongozi Kwa kiongozi wakiua kiongozi wa Houthi wajiandae
 
naona wewe umetoka usingizini,au umekula alkasusu asubuhi? Israel amechakaza gaza yote, kauwa viongozi wote wa hamas, kauwa viongozi wote wa hezbollah, kasambaratisha syria hadi jamaa kakimbia, kapiga wahuthi kwa ndege zake, halafu leo unasema hawezi kuwashinda watu ambao tayari wapo kaburini? operation zote za UK na US huwa zinatangazwa, na kwa taarifa yako US NA UK huwa hawafanyi operation za kikatili kama ya myahudi, wao huwa wanaogopa kuchafua brand.ukiona kuna ndege imepiga bandari, imepiga airport kama ile iliyopiga maeneo 30 mwezi uliopiga hadi mhuthi akaduwaa, hayo ni mashambulizi ya kikatili sana na jua ni ya myahudi, sio US wala UK. pia, wahuthi wenyewe huwa wanaweka specific kabisa, wakipigwa na myahudi wanasema hapa ametupiga myahudi, wakipigwa na UK au US wanasema ni hao. ila wewe mhuthi wa tuangoma uliyeshiba vitumbua na chai isiyotosha sukari, umejazwa matope kabisa kichwani.hata hujielewi unaongea nini.
 
Israel hawezi chochote

Msikilize huyu Rabbi wa kiyahudi anavyosema , hatukusikilizi wewe mvalishwa Pampers

View: https://youtu.be/83yV7JYlTio?si=4izPkb3-zeJFHE0F
 
naona wewe umetoka usingizini,au umekula alkasusu asubuhi? Israel amechakaza gaza yote, kauwa viongozi wote wa hamas, kauwa viongozi wote wa hezbollah, kasambaratisha syria hadi jamaa kakimbia, kapiga wahuthi kwa ndege zake, halafu leo unasema hawezi kuwashinda watu ambao tayari wapo kaburini? operation zote za UK na US huwa zinatangazwa, na kwa taarifa yako US NA UK huwa hawafanyi operation za kikatili kama ya myahudi, wao huwa wanaogopa kuchafua brand.ukiona kuna ndege imepiga bandari, imepiga airport kama ile iliyopiga maeneo 30 mwezi uliopiga hadi mhuthi akaduwaa, hayo ni mashambulizi ya kikatili sana na jua ni ya myahudi, sio US wala UK. pia, wahuthi wenyewe huwa wanaweka specific kabisa, wakipigwa na myahudi wanasema hapa ametupiga myahudi, wakipigwa na UK au US wanasema ni hao. ila wewe mhuthi wa tuangoma uliyeshiba vitumbua na chai isiyotosha sukari, umejazwa matope kabisa kichwani.hata hujielewi unaongea nini.

Msikilize Rabbi anavyowaambia Wakristo

View: https://youtu.be/pMECi3OLac0?si=mkF17UT4iAmlhp1b
 
Iran kawa mbabe tangu lini?
naona wewe umetoka usingizini,au umekula alkasusu asubuhi? Israel amechakaza gaza yote, kauwa viongozi wote wa hamas, kauwa viongozi wote wa hezbollah, kasambaratisha syria hadi jamaa kakimbia, kapiga wahuthi kwa ndege zake, halafu leo unasema hawezi kuwashinda watu ambao tayari wapo kaburini? operation zote za UK na US huwa zinatangazwa, na kwa taarifa yako US NA UK huwa hawafanyi operation za kikatili kama ya myahudi, wao huwa wanaogopa kuchafua brand.ukiona kuna ndege imepiga bandari, imepiga airport kama ile iliyopiga maeneo 30 mwezi uliopiga hadi mhuthi akaduwaa, hayo ni mashambulizi ya kikatili sana na jua ni ya myahudi, sio US wala UK. pia, wahuthi wenyewe huwa wanaweka specific kabisa, wakipigwa na myahudi wanasema hapa ametupiga myahudi, wakipigwa na UK au US wanasema ni hao. ila wewe mhuthi wa tuangoma uliyeshiba vitumbua na chai isiyotosha sukari, umejazwa matope kabisa kichwani.hata hujielewi unaongea nini.

View: https://youtube.com/shorts/n1ugX2CmOdI?si=glyTFwn6dmIYeU-k
 
Iran wanskielekea kifo cha mapema ni afadhali anetumia resources zake vizuri kunufaisha ustawi wa jamii za watu wake na kuinua uchumi,vinginevyo atakuwa kama akina libya na iraq
 
Hii kitaalam ni " baba aliyenipiga ni huyu"
Anarushiwa mtu kicheche wazee wenye D moja tu ya masomo ya dini watanielews
 
Israel hawezi kupigana Hata na hamas, achilia mbali hizbollah ndio aende Kwa Iran? Oparation za Yemen zote wanafanya mabwana zake, oparation nyingi TU za air force ni US, kilichowakuta Lebanon wanakijua, hawana displine na uwezo wa kivita combat, wanachofanya Iran anaweza kukifanya zaidi ya mara 100 yaan kuangusha majengo ya raia Kwa nchi amabayo Haina air defense? Hata haouhi wanaweza kuporosha majengo yote palee Lebanon. Government ya Lebanon ndio waliowasumbua Hezbollah wasimamishe vita na vinginevyo hezbola angekua na mamlaka Lebanon yote Leo hii vita vingeendelea na kunawezkano pia wa vita kuenedelea baada y hizo siku 60 hivyo Haina garantee yoyote. Houthi katangaza kiongozi Kwa kiongozi wakiua kiongozi wa Houthi wajiandae
Inaonekana unasukumwa na Mihemko tu kudai kuwa Israel haiwezi kupigana na Hamas!!!! Ni wajinga na wapumbavu tu ndiyo wanaweza kuamini uongo wako huo.Dunia nzima wanahaha kuiomba Israel isitishe Kipondo huko Gaza wewe unakuja hapa kutuambia kuwa Hamas wana uwezo wa kupigana na Israel!!. Sishangai sana kusikia ukijifariji kwa maneno lakini kivitendo Israel imeonyesha umahiri mkubwa kwenye uwanja wa medani za kivita. Kwa taarifa yako tu hakuna nchi yoyote ambayo iliweza kupigana vita kwenye Mistari ya mbele saba ( Seven Fronts ) kama Israel ambako maadui walipigwa vizuri sana mpaka wakaomba mkataba wa usitishwaji wa mapigano. Miano Mzurki ni Hezbollah watu walivyokuwa wanasifiwa na watu walisema wana Jeshi zuri sana kuliko magaidi wote duniani Oct 08,2023 walianza kuishambulia Israel kwa makombola na kwa sababu Israel ilikuwa imevamiwa na magaidi wa Hamas kama jana yake tu majeshi ya Israel yalifanya akili ya kuacha kuingia vitani moja kwa moja na Hezbollah huko Lebanon kusini walijua kuwa kulikuwa na Mtego ili kuifanya Israel ishindwe kwenye uwanja wa vita kwa maana ya kusema ikiingia vitani na Hezbollah basi Hamas wanaweza kuwashinda kirahisi kwa sababu kikawaida Israel ilibidi igawe Military Manpower yake nyingine wapigane na Hezbollah wengine na Hamas na wengine wapigane huko Kwenye milima ya Golan na wengine wapigane na Wahouthi na wengine wapigane huko West-Bank wakati huohuo Israel inatakiwa kupigana na Iran ili kudhibiti Supply-Chain ya silaha za Iran kwenda kwa magaidi wa Hezbollah. Kipindi hicho Israel ilikuwa kwenye kipindi kigumu sana. Bahati nzuri sana Israel Ina wataalamu wazuri sana wa vita waliamua kushughulika na Hamas tu na kwa Hezbollah,Houthi,Syria,Iraq na Iran walikuwa wanafanya mashambulizi ya kujihamu (Defensive Strike )pekee huko Hamas akipata kipigo cha kufa mtu baada ya mwaka mmoja Hamas walikuwa si tishio tena kwa Israel ndipo mipango iliwekwa vizuri kuhamisha Military Manpower kutoka Gaza kwenda Lebanon kusini bila kuathiri mapigano huko Gaza hapo sana ndipo kipondo kwa magaidi wa Hezbollah kilianza kwa kutumia Opretion Beeper ikumbukwe kuwa magaidi wa Hezbollah walishaacha kutumia Simu kwenye Operation zao za kijeshi kwa hofu ya kudukuliwa na Israel wakati wakifanya mipango hiyo ya kuhama kutoka kwenye simu kwenda kwenye PAGER majasusi wa Israel waliinyaka mipango yao hiyo na mipango ya kuiingilia kati ilianza mapema sana( Miaka kumi iliyopita ) Majasusi hao walianza kutoa matangazo kuwa wao ni wasambazaji na watengenezaji wa PAGER nzuri na Magaidi wa Hezbollah waliingia kichwa kichwa bila kujua kuwa kwenye PAGER hizo kuna mkono wa Majeshi ya Israel. Ndipo sasa Israel iliamua kuingilia mawasiliano hayo ya PAGER na kusababisha maelfu ya PAGER kulipuka nchi nzima na kuwaua na kuwajeruhi Mikono,miguu na macho karibu viongozi waandamizi wote wa Hezbollah hapo ndipo IDF ilianza kuwaumiza Magaidi wa Hezbollah Shambulio la pili ilikuwa Radio-Call zote zililipuka na kuwauwa na kuwajeruhi viongozi wengi wa Hezbollah Tatu lilifuatia shambulio la kumuua Hassa Nasrallah Nne lilifuatia shambulio la kuwaua viongozi waandamizi wote wa Hezbollah kwa hiyo Ikabaki Hezbollah haina Kiongozi Mkuu kila aliyechaguliwa aliangamizwa Tano yalianza mashambulizi kwenye ghala za kuwekea milpuko na majengo yaliyokuwa mali ya Hezbollah yaliangamizwa kote Lebanon ndipo Hezbollah wakakosa namna ikabidi waombe tu Usitishwaji wa mapigano tu na kwa sababu Israel haina Ugomvina Lebanon walikubali. Kwa hayo yote wewe unaona tu Israel haina uwezo kivita? Jichunguze vizuri yawezekana Una matatizo ya afya ya Akili.
 
Attachments

  • IMG_0094.jpeg
    IMG_0094.jpeg
    148 KB · Views: 3
  • IMG_0072.jpeg
    IMG_0072.jpeg
    109.6 KB · Views: 3
  • 8409376412043538653.mp4
    920.8 KB
Hayo ni mawazo yake na hayawakilishi nchi ya Israel!! Watu kama hao hata hapa kwenu wapo. Kwa hiyo hakuna jipya hapo!!

Yaani wewe masalia wa Manzese unaijuwa zaidi Israeli kuliko Rabbi aliyezaliwa na anayeishi Israeli mwenye wafuasi kwa maelfu 😛😛😛😛😛
 
Siyo wote waitao Bwana!! Bwana!! Wataingia mbinguni na ndiyo maana Hamas walipokuwa wakibaka,Kutesa na kuua watu Oct 07,2023 walikuwa wakipayuka Allah-Akbar!!!
 
Masalia hayo maneno yako umeyatoa kitabu gani ? Yaani mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa mnafuata Kama kondoo wanaokwenda machinjioni?😛😛😛
 
Back
Top Bottom