Jeshi la Israel lajiweka kwenye tahadhari ya hali ya juu kabisa likihofia shambulizi la kijeshi kutoka Iran linaloweza kutokea muda wowote

Shia ni swala tatu na siyo tano kama nyinyi na pia wanaamini Hussein ndo mtume wa mwenyezi Mungu kwa kizazi cha Waislam na si Muhammad, endelea kubisha.
Yaani ulivyoenda kumuuliza ndiyo kakuongezea uongo mwingine na kukuhakikishia hoja ya Hussein kuwa ndiye mtume wa mashia! Kweli wewe kiazi.
Ni kwamba hakuna Muislamu anayeswali chini ya swala tano kwa siku,Wao Mashia wanachokifanya kuna baadhi ya swala wanaziunganisha mfano wakiswali swala ya adhuhuri wanaswali na swala ya alasiri na kuhusu Hussein si kama wao ndiyo wanaamini ndiye mtume badala ya mtume Muhammad isipokuwa wao wanaamini baada ya Mtume kufariki aliyestahili kuwa badala yake yaani kiongozi wa umma wa Waislamu(Khalifa) ni huyo Hussein mjukuu wa mtume kwa mtoto wake kipenzi Fatma lakini wengine waliona waliostahili kuchukua nafasi ya Mtume ni maswahaba wake kina Othman,Omar,Abubakar na wengineo, hivyo ndivyo ilivyo asikuongopee mtu.
 
Usifananishe assessnation na mashbuliz ya jeshi kwa jeshi tramp alivyokoswa koswa na ile bullet unafikri usa ni weak
 
Na mara nyingi assassination inafafanywa na mamluki waliofadhiwa fedha na kitu kigum sana kukigundua
 
pamoja na yote, waisrael jana wamelala usingizi mororo kama pono. hapo unasemaje? adui pekee anayeweza kumfanya israel apoteze usingizi walau ni iran, ila sio hao wavaa kobaz hawana hata maji ya kuoga kisima cha maji kimepigwa na myahudi.
 
wanafanya mauaji ya kikatili ila hawamfikii myahudi. myahudi anapiga bandari, anapiga airport, anapiga kinu cha kufua umeme, anapiga matanki ya maji, anapiga visima vya kuhifadhia mafuta, anapiga maeneo muhimu tu yanayoingiza pesa za nchi. ila UK na US wanaweza kupiga maeneo yenye silaha au zile strategic areas zaidi. cha muhimu nilichoeleza awali, mashambulizi yote ya israel Yemen wamekuwa wakieleza kwamba hapa katupiga myahudi, hapa ni US na UK. lila wayemen wa mbagala wanaamini israel hana uwezo hata kurusha bom pale yemen ila uK na US.
 
Iran iache ubabaishaji kama inaiweza Israel ipeleke vikosi vyake mpakani na Israel alafu atoe amri Israel ashambuliwe
 
Unawezaje kutofautisha myahudi na US? Kwanini US mara nyingi huwa wanapiga baada ya houth kushambulia Israel? Gaza imechakazwa majengo bro Kuna fighters zaidi ya 30k pamoja na reserve ya hamas walio active ni 20k+ Hilo IDF wenyewe wamekiri Kama wew unangalia kuchaza majengo na kuua viongozi ambao wako open wanaishi maisha yao ndio ushindi wa vita Bado unashida ambayo hatuwezi kukusaidia,
 
Duniani kote kama nchi iko vitani kuna sheria zinazolinda Usalama wa Taifa si kila kitu lazima kiripotiwe lakini kuna vitu lazima viripotiwe mfano kituo cha umeme,Mafuta,Majengo Mhimu au watu wamekufa hivyo lazima vitolewe maelezo kwa umma pia ielewwke kwa Utandawazi uliopo hakuna kitu utaficha lazima watu hata wakiwa majumbani kwao watapiga picha na kusambaza hizo habari. Kwa hiyo hiyo Diana ya kusema Israel inaficha habari hiyo ni uongo mkubwa.Mfano Iran Oct iliyopita aliishambulia Israel alirusha makombola zaidi ya 400 mengi yaliangukia sehem za wazi jangwani mengine yalipopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel na hakuna mtu aliyekufa toka Israel bali yaliua gaidi mmoja aliyejipenyeza huko kwa njia haramu. Lakini Iran imekuwa ikitamba uongo iliposhambuliwa na Israel walidai hakukuwa na madhara lakini baadaye tuliona misafara wakienda kuzika wanajeshi wao waliouwawa na mashbulizi ya ndege-Vita za Israel. Kwa kifupi nchi za kiarabu na Iran zinategemea sana uongo ili tu zionekane zinapata ushindi dhidi ya Israel uzuri mambo ya kijeshi ni FACTS ndizo zinaonyesha kuwa unapigwa au hupigwi majibu yanapatikana kwenye uwanja wa vita wala si kwa kutoa visingizio visivyp na maana yoyote. Shambulio la Iran kwa Israel lilikuwa halina madhara kwa Israel angalia Mapipa yao yaliyopopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Safari hii Iran akijaribu ungese wake itakula kwake!!
 

Attachments

  • VID-20241004-WA0050.mp4
    1.1 MB
  • VID-20241005-WA0030.mp4
    1.2 MB
kwa hiyo mmeaminishwa kwamba israel ameshindwa vita lebanon na Gaza. hivi akili mnakuwaga mmepeleka wapi aisee?
 
Sisi ni waumini ahadi yetu siku zote ni ya kweli hata mkiona tumechelewa kuitekeleza msifikiri tumewaacha
 
Kuna kipindi watu mnaongea utafikiri akili mmewekeza kwa waarabu!! Unawezaje kutofautisha magaidi wa Hamas na Hezbollah au Houthi? Magaidi ni magaidi tu. Nakushangaa wewe unayejua hata idadi ya magaidi ambao wewe unawaita fighters ambao Oct 07,2023 walibaka,walitesq watu,waliteka nyara watu na kuua watu huko Israel. Uimara wa Nchi,Vikundi au jumuia ni viongozi na vita ni pamoja na kuwaua hao viongozi maana ndiyo wanaoongoza na kuhamasisha ujinga unaoendelea na kwa sababu walitangaza vita lazima viongozi wauwawe tu maana ndiyo waliopanga mauaji ya Oct 07,2023 na sasa wanavuna walichopanda. Kitendo hamas walikitenda watakijutia maishani mwao milele na ni ujinga kufikiri Israel inaweza kushindwa na Magaidi wa Hamas.
 

Attachments

  • VID_20240711_135322_209.mp4
    16 MB
  • VID_20240519_171816_334.mp4
    4.2 MB
Ndiyo maana wanadanganywa kuwa wakifa wakifanya Ugaidi wataenda kupewa Mabikira 72 huko Jehanamu nao kwa ujinga nao wanaukubali uongo huo.
 



View: https://youtube.com/shorts/e4JmEtMvt1I?si=bfe5bVpcKoAnes33
 
Kwanza tukio la Oct 7 linautata Hata waisraeli wenyewe wanajua hamas hawakuua wala kubaka raia ukweli unaenda unfichuka IDF waliua watu siku hio, kutokana na paniki au ndio mpango wa netanyau kuvamia Gaza utimie, hamas alivamia jeshini na baadhi ya open space walichukuliwa lakin wengi ni wanajeshi. Idf walilipua Kwenye sherehe hao 1200 ni Idf wenyewe waliua watu wao
 
Ni mjinga na mpumbavu tu kama wewe ndiye ataweza kuamini huu UHARO wako. Hata hivyo haitasaidia kupunguza kipondo wanachopata magaidi wa Hamas. Ismail Hanniyeh na Yahya Sinwar walipanga na kutekeleza Mauaji hayo na wao walisema na kuyapongeza mpaka wakaita Al-Agsa Floods cha ajabu wewe mmatumbi mwenzangu unasema shambulio la Oct 07,2023 lina utata hapo umeonyesha ni jinsi gani ulivyo zuzu. Kwa akili hata ya chekechea tu nani anaweza kuua watu wake mwenyewe? Mna matatizo makubwa sana mliofakamia UHARO wa waarabu,wao wanaongozwa na uongo kwao ni ( TAQIYYA ) ni kawaida sana wao kusema uongo hasa wakicharazwa mboko na Israel. Kumbuka magaidi hao waliua wananchi wetu waliteka nyara wanawake ili wawabake na mpaka sasa bado wanawashikilia ni aibu kwa Mmatumbi kama kushabikia wauaji kama HAMAS,HEZBOLLAH,HOUTHI au Iran.
 

Attachments

  • VID_20240617_121758_207.mp4
    1.1 MB
  • VID_20240522_193720_001.mp4
    36.1 MB

At least umeiona mpaka Viongozi wa Marekani wanaujuwa ukweli , nyinyi masalia endeleeni kuvalishwa Pampers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…