Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Mayahud na makafiri na wakristu mtachomeka siku ya kiyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakumzuia Netapaka asifanye jambo lake anapodhamiria!? Labda busha tu ndio lina uwezo wakumchelewesha!iran hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. ila yawezekana myahudi anachokoza tu ili atafute sababu ya kupigana na iran kwa sababu hamas, hezbollah na huthi sasaivi sio threat tena., ila iran akibaki hai israel hatakuja kulala usingizi. wanaamini ni muhimu vita hii ianze mapema ili trump akiingia aikute, na aendelee kuunga mkono, kuliko kuja kuianza trump akiwa ameanza asije akawazuia.
Kwani AL HAMASI hawajalemazwa? Na Bado unasikia wanarusha maroketi Israel?Bado amjasema tuliwasikia mkisema Iran imelemazwa!!
Wayahudi wao wanamwita mwanaharamu,unalizungumziaje hilo
Labda wayahudi wa Mwombeki-TogwaWayahudi wao wanamwita mwanaharamu,unalizungumziaje hilo?
Mlianza kusema Hamas si Hezbollah wamepigwa sasa hivi mmegeuka na kuanza kubwabwaja kuwa Iran si Jordan. Kwa taarifa yako tu Iran keshakatwa mikono baada ya Hamas na Hezboullah kupigishwa magoti huko Gaza na huko Lebanon kusini na Hezboullah kuomba kusitishwa mapigano. Hata huko Syria ambako Iran alikuwa akipitisha silaha zake kwenda kwa magaidi wa Hezbollah mambo yamebadirika Iran hana njia tena ya kupitisha silaha zake kuwapa magaidi.Umeamua kujitoa ufaham tu aliyeanza kumchokoza mwenzake ni Nani . Israeli ili awe na adabu inabidi uende Nate hivyo tick for tati akiachwa atavimba kichwa na kujiona eti ni super power wa Middle East safari hii ni jino kwa jino tuone Iran sio jordan na wala sio syria
Hakuna kitu kama hicho unafikiri Tel Aviv ni Gaza? Hizo ni propaganda za Houthi hawana uwezo wa kushambulia Tel Aviv. Endeleeni tu kujifariji lakini kipigo kiko palepale kwa magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houthi.Kwasasa kila siku Telaviv inapigwa kutokea Yemen jumapili ya jana imepigwa tena kituo cha umeme kambi ya JESH kimsingi Israel kwenye technology kunaseem kazidiwa na Iran ndio mana Iran inajipigia tu kutokea kwake Iran au kutokea Yemen niwakati kwa Israel kugeukia Amani vita inaenda kuwacost kwenye vifo zaid.
wavalishwa pampers mnapenda mipashoKobaaz bhana! Hiyo ahadi ya mabikra 72 na mito ya pombe itawaponza sana.Hawajastuka ni ahadi hewa? Hakuna hata mmoja aliyekwenda huko halafu akaleta mrejesho.
Mipasho ni pale mnaposhindwa vita unakuja na visingizio lukuki. Ni aibu kwenu kupigwa na hao wewe unaowaita wavalishwa pampers!!!wavalishwa pampers mnapenda mipasho
Mvalishwa pampers umekasilika hukosi mipashoMipasho ni pale mnaposhindwa vita unakuja na visingizio lukuki. Ni aibu kwenu kupigwa na hao wewe unaowaita wavalishwa pampers!!!
Jina lenyewe vagina looooo acha Hamas wapigwe tu maana hakuna namna nyingine!!Mvalishwa pampers umekasilika hukosi mipasho
Utumbo mwingine una kerairan hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. ila yawezekana myahudi anachokoza tu ili atafute sababu ya kupigana na iran kwa sababu hamas, hezbollah na huthi sasaivi sio threat tena., ila iran akibaki hai israel hatakuja kulala usingizi. wanaamini ni muhimu vita hii ianze mapema ili trump akiingia aikute, na aendelee kuunga mkono, kuliko kuja kuianza trump akiwa ameanza asije akawazuia.
Jina lenyewe vagina looooo acha Hamas wapigwe tu maana hakuna namna nyingine!!
Hasira Za nini mvalishwa Pampers? Naona unaharisha sana leo
View: https://youtube.com/shorts/VNNYcIJPAfs?si=xIqg5PPZCYjc8tqO
Heri ya mwaka mpya broo.wavalishwa pampers mnapenda mipasho
kobaz huwezi kuelewa ninachosema, kuna sehemu akili zenu mliziacha kuna mtu akaweka mfukono akaondoka nazo na huko alikoenda akafa. sio kosa lako.Utumbo mwingine una kera
Hivyo unavyoandika unauanika uvalishwaji wako wa Pamperskobaz huwezi kuelewa ninachosema, kuna sehemu akili zenu mliziacha kuna mtu akaweka mfukono akaondoka nazo na huko alikoenda akafa. sio kosa lako.
Huo ni Umama na hautazuia sisi kuwaambia ukweli kuwa Hamas ni Magaidi na Mwaka huu wa taki ona cha moto!!
sasa wewe ndo umetokea wapi sasa, au unataka nikuchangie kununua kobaz?Hivyo unavyoandika unauanika uvalishwaji wako wa Pampers
Iran hana wasiwasi maana anajua kabisa mpaka sasa atumie kombara lipi baada ya October 1 kutoa majibu aina makombara yanayomfaa mwisraeli maana siku ile kila wave lilikuwa na aina ya makombora. Kwa hiyo iran imeshaakusany taarifa za kinteligencia ni kombora lipi linamfaa mwisraelKwasasa kila siku Telaviv inapigwa kutokea Yemen jumapili ya jana imepigwa tena kituo cha umeme kambi ya JESH kimsingi Israel kwenye technology kunaseem kazidiwa na Iran ndio mana Iran inajipigia tu kutokea kwake Iran au kutokea Yemen niwakati kwa Israel kugeukia Amani vita inaenda kuwacost kwenye vifo zaid.