Jeshi la Israel lajiweka kwenye tahadhari ya hali ya juu kabisa likihofia shambulizi la kijeshi kutoka Iran linaloweza kutokea muda wowote

iran hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. ila yawezekana myahudi anachokoza tu ili atafute sababu ya kupigana na iran kwa sababu hamas, hezbollah na huthi sasaivi sio threat tena., ila iran akibaki hai israel hatakuja kulala usingizi. wanaamini ni muhimu vita hii ianze mapema ili trump akiingia aikute, na aendelee kuunga mkono, kuliko kuja kuianza trump akiwa ameanza asije akawazuia.
Kuna wakumzuia Netapaka asifanye jambo lake anapodhamiria!? Labda busha tu ndio lina uwezo wakumchelewesha!
 
Kwasasa kila siku Telaviv inapigwa kutokea Yemen jumapili ya jana imepigwa tena kituo cha umeme kambi ya JESH kimsingi Israel kwenye technology kunaseem kazidiwa na Iran ndio mana Iran inajipigia tu kutokea kwake Iran au kutokea Yemen niwakati kwa Israel kugeukia Amani vita inaenda kuwacost kwenye vifo zaid.
 
Wayahudi wao wanamwita mwanaharamu,unalizungumziaje hilo
Wayahudi wao wanamwita mwanaharamu,unalizungumziaje hilo?
Labda wayahudi wa Mwombeki-Togwa

Umeamua kujitoa ufaham tu aliyeanza kumchokoza mwenzake ni Nani . Israeli ili awe na adabu inabidi uende Nate hivyo tick for tati akiachwa atavimba kichwa na kujiona eti ni super power wa Middle East safari hii ni jino kwa jino tuone Iran sio jordan na wala sio syria
Mlianza kusema Hamas si Hezbollah wamepigwa sasa hivi mmegeuka na kuanza kubwabwaja kuwa Iran si Jordan. Kwa taarifa yako tu Iran keshakatwa mikono baada ya Hamas na Hezboullah kupigishwa magoti huko Gaza na huko Lebanon kusini na Hezboullah kuomba kusitishwa mapigano. Hata huko Syria ambako Iran alikuwa akipitisha silaha zake kwenda kwa magaidi wa Hezbollah mambo yamebadirika Iran hana njia tena ya kupitisha silaha zake kuwapa magaidi.
 
Attachments

  • IMG_1193.jpeg
    IMG_1193.jpeg
    103.6 KB · Views: 2
Kwasasa kila siku Telaviv inapigwa kutokea Yemen jumapili ya jana imepigwa tena kituo cha umeme kambi ya JESH kimsingi Israel kwenye technology kunaseem kazidiwa na Iran ndio mana Iran inajipigia tu kutokea kwake Iran au kutokea Yemen niwakati kwa Israel kugeukia Amani vita inaenda kuwacost kwenye vifo zaid.
Hakuna kitu kama hicho unafikiri Tel Aviv ni Gaza? Hizo ni propaganda za Houthi hawana uwezo wa kushambulia Tel Aviv. Endeleeni tu kujifariji lakini kipigo kiko palepale kwa magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houthi.
 
Mipasho ni pale mnaposhindwa vita unakuja na visingizio lukuki. Ni aibu kwenu kupigwa na hao wewe unaowaita wavalishwa pampers!!!
Mvalishwa pampers umekasilika hukosi mipasho
 
iran hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. ila yawezekana myahudi anachokoza tu ili atafute sababu ya kupigana na iran kwa sababu hamas, hezbollah na huthi sasaivi sio threat tena., ila iran akibaki hai israel hatakuja kulala usingizi. wanaamini ni muhimu vita hii ianze mapema ili trump akiingia aikute, na aendelee kuunga mkono, kuliko kuja kuianza trump akiwa ameanza asije akawazuia.
Utumbo mwingine una kera
 
Utumbo mwingine una kera
kobaz huwezi kuelewa ninachosema, kuna sehemu akili zenu mliziacha kuna mtu akaweka mfukono akaondoka nazo na huko alikoenda akafa. sio kosa lako.
 
Hivyo unavyoandika unauanika uvalishwaji wako wa Pampers
 
Kwasasa kila siku Telaviv inapigwa kutokea Yemen jumapili ya jana imepigwa tena kituo cha umeme kambi ya JESH kimsingi Israel kwenye technology kunaseem kazidiwa na Iran ndio mana Iran inajipigia tu kutokea kwake Iran au kutokea Yemen niwakati kwa Israel kugeukia Amani vita inaenda kuwacost kwenye vifo zaid.
Iran hana wasiwasi maana anajua kabisa mpaka sasa atumie kombara lipi baada ya October 1 kutoa majibu aina makombara yanayomfaa mwisraeli maana siku ile kila wave lilikuwa na aina ya makombora. Kwa hiyo iran imeshaakusany taarifa za kinteligencia ni kombora lipi linamfaa mwisrael
 
Back
Top Bottom