Jeshi la Israel lajiweka kwenye tahadhari ya hali ya juu kabisa likihofia shambulizi la kijeshi kutoka Iran linaloweza kutokea muda wowote

iran hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. ila yawezekana myahudi anachokoza tu ili atafute sababu ya kupigana na iran kwa sababu hamas, hezbollah na huthi sasaivi sio threat tena., ila iran akibaki hai israel hatakuja kulala usingizi. wanaamini ni muhimu vita hii ianze mapema ili trump akiingia aikute, na aendelee kuunga mkono, kuliko kuja kuianza trump akiwa ameanza asije akawazuia.
Usizungumze kiwepesi,Iran ni mfupa mgumu sana kwasasa.
Iran sio taifa jepesi kama unavyodhani hata USA wanalijua hilo na hata Trump alishaliona hilo kipindi alivyokua rais.
Israel anakimbilia sapoti ya wamagharibi ila yeye kama yeye kamwe hawezi kupigana na Iran.
 
naona wewe umetoka usingizini,au umekula alkasusu asubuhi? Israel amechakaza gaza yote, kauwa viongozi wote wa hamas, kauwa viongozi wote wa hezbollah, kasambaratisha syria hadi jamaa kakimbia, kapiga wahuthi kwa ndege zake, halafu leo unasema hawezi kuwashinda watu ambao tayari wapo kaburini? operation zote za UK na US huwa zinatangazwa, na kwa taarifa yako US NA UK huwa hawafanyi operation za kikatili kama ya myahudi, wao huwa wanaogopa kuchafua brand.ukiona kuna ndege imepiga bandari, imepiga airport kama ile iliyopiga maeneo 30 mwezi uliopiga hadi mhuthi akaduwaa, hayo ni mashambulizi ya kikatili sana na jua ni ya myahudi, sio US wala UK. pia, wahuthi wenyewe huwa wanaweka specific kabisa, wakipigwa na myahudi wanasema hapa ametupiga myahudi, wakipigwa na UK au US wanasema ni hao. ila wewe mhuthi wa tuangoma uliyeshiba vitumbua na chai isiyotosha sukari, umejazwa matope kabisa kichwani.hata hujielewi unaongea nini.
Usitudanganye bana mkuu.
Nani amekwambia US na UK hawafanyi mauaji ya kikatili!?
Au nikutolee mifano hapa ya mashambulizi ya kikatili waliyowahi kufanya USA na UK!?
Kataa kubali operation nyingi Israel inasaidiwa kiintelijensia na kijeshi pamoja na USA na UK.
Hata kuidhoofisha Hizbollah ni USA ilihusika pia kama ulikua haujui.
Na kilichofanyika Syria sio nguvu ya Israel usitudanganye,Israel alianza kuishambulia Syria kwa wingi baada ya Assad kuanguka na Iran kuondoa jeshi.

Ila yote ya yote Iran ni mfupa mgumu,Iran ni wa kuangushwa na nchi za magharibi/USA ila sio Israel.
Israel hana huo ubavu.
 
Iran kawa mbabe tangu lini?
Yale makombora ya May kutoka Iran kwenda Israel alirusha nani!?
Yale makombora ya Oktoba mosi kuelekea Israel alirusha nani!?
Nani anayefadhili axis of resistance!?
Nani amefadhili uzuiaji wa mkondo wa baab Al mandid red sea!?
Kwa akili zako unadhani USA ni mjinga kumuwekea vikwazo vya silaha Iran!?

Shida una umbumbumbu mwingi kichwani kijana.
 
Yakaleta madhara gani? Vipi kile kipigo kitakatifu ilichokipata toka kwa marubani 6 wakike? Dharau kubwa kwa Ayatollah
 
Ulitizama ripoti ya BBC!?
Nenda katizame,Nevatim airbase iliharibiwa na baadhi ya ndege kuharibiwa,barabara ziliharibiwa na makazi 100 yaliharibiwa.

Shambulizi lenu hilo la mchongo mnalodai lilitumia ndege 100 hadi leo haijatolewa ripoti wala ushahidi wa madhara zaidi ya askari wanne kufa na Air defence system moja kulipuka.
Kama unabisha lete ripoti hapa ya chombo cha habari kikubwa na mimi nikuletee.
Wewe lete madhara ya Iran kushambuliwa na Israel mimi nakuletetea madhara aliyopata Israel kwa kushambuliwa na Iran.
 
Masalia hayo maneno yako umeyatoa kitabu gani ? Yaani mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa mnafuata Kama kondoo wanaokwenda machinjioni?😛😛😛
Peleka hayo maneno kwenye jukwaa la dini huko utaelezwa yanapatikana wapi!!
 
Usizungumze kiwepesi,Iran ni mfupa mgumu sana kwasasa.
Iran sio taifa jepesi kama unavyodhani hata USA wanalijua hilo na hata Trump alishaliona hilo kipindi alivyokua rais.
Israel anakimbilia sapoti ya wamagharibi ila yeye kama yeye kamwe hawezi kupigana na Iran.
Walokole wa hapa kwetu hawaamini kuwa Israeli sio chochote wala si lolote kwa iran . Wanachokijua na walichoaminishwa ni Israeli ni mkubwa na hashindwi chochote hata usa alivyoambiwa kuhusu missle programs ya iran walidhani ni masihara mpaka walivyooshuhudia mtoto wao pendo akicharazwa mijeledi hiyo October Mosi ndo west wakatahamaki iran yupo kwemye level nyingine kabisa ya kijeshi kwa kujitegemea kabisa na sio imported
 
Iran hana lolote kazi kusifiwa bure tu Israel wameenda kupiga huko Tehran na kuharibu air defense zote na Iran ikabaki na uchi wa Mnyama. Nawashangaa sana Inapofikia Israel imempiga mtu watu wanaanza kubwabwaja ovyo na kusema Israel inasaidiwa na nchi za Magharibi!!! Hivi kwa nini wao wasisaidiwe na nchi za Mashariki? Nchi za kiarabu zote inapofikia kupigwa na Israel hawaachi visingizio vya kipuuzi kama hivyo. Wewe endelea tu kusifia usiyoyajua mwaka jana tu mlikuwa mnawasifia sana Hezbollah matokeo yake Hezbollah walipigwa kama watoto wadogo na sasa walishaomba mkataba wa kusitishwa mapigano ili wasiendelee kupigwa!! Israel ni kidume huko mashariki ya kati mpaka Uajemi!!
 
Trump anaapishwa tar 20 Jan ikumbukwe. Na hii siku nadhani iwe Global holiday tukae majumbani na vibandani kushuhudia tukio
 
Iran hana lolote kazi kusifiwa bure tu Israel wameenda kupiga huko Tehran na kuharibu air defense zote na Iran ikabaki na uchi wa Mnyama. Nawashangaa sana Inapofikia Israel imempiga mtu watu wanaanza kubwabwaja ovyo na kusema Israel inasaidiwa na nchi za Magharibi!!! Hivi kwa nini wao wasisaidiwe na nchi za Mashariki? Nchi za kiarabu zote inapofikia kupigwa na Israel hawaachi visingizio vya kipuuzi kama hivyo. Wewe endelea tu kusifia usiyoyajua mwaka jana tu mlikuwa mnawasifia sana Hezbollah matokeo yake Hezbollah walipigwa kama watoto wadogo na sasa walishaomba mkataba wa kusitishwa mapigano ili wasiendelee kupigwa!! Israel ni kidume huko mashariki ya kati mpaka Uajemi!!
Ndivyo unavyokaririshwa hivyo na wamagharibi. Mara kiwanda cha silaha kilaharibiwa Mara AD ziliharibiwa . Metanyahau alishimdwa kuwaonyesha wayahudi wenzake alichoenda kukifanya baada ya kunyanyanyua ndege 80 lakini walishindwa Kuonyesha hata kijiti cha moto baadala yake wakaenda kuonyesha picha ya Miaka 2 huko ili kuwadangsnya wayahudi Ila wew bado upo usingizinin na Israel yako amka
 
Trump will wipe out Iran kasema wazi wazi, nadhani mtaona moto hatari sana Iran itapotea kabisa chini ya Trump, nadhani Iran inajiandalia kifo chake muda si mrefu
Mkuu Iran sio syria.
 
Ndivyo unavyokaririshwa hivyo na wamagharibi. Mara kiwanda cha silaha kilaharibiwa Mara AD ziliharibiwa . Metanyahau alishimdwa kuwaonyesha wayahudi wenzake alichoenda kukifanya baada ya kunyanyanyua ndege 80 lakini walishindwa Kuonyesha hata kijiti cha moto baadala yake wakaenda kuonyesha picha ya Miaka 2 huko ili kuwadangsnya wayahudi Ila wew bado upo usingizinin na Israel yako amka
Narudia tena kusema Iran kwa Israel hatambi anapigwa kama kawaida tu tena sehemu Netia tu. Kumbuka Ismail Hanniyeh kilichompata huko Mjini Tehran aliuwawa. Nikikuambia Israel Ina Mkono mrefu uwe unaelewa acha kujazwa propaganda na waarabu. Israel ni Level nyingine kabisa!!
 
Iran hana lolote kazi kusifiwa bure tu Israel wameenda kupiga huko Tehran na kuharibu air defense zote na Iran ikabaki na uchi wa Mnyama. Nawashangaa sana Inapofikia Israel imempiga mtu watu wanaanza kubwabwaja ovyo na kusema Israel inasaidiwa na nchi za Magharibi!!! Hivi kwa nini wao wasisaidiwe na nchi za Mashariki? Nchi za kiarabu zote inapofikia kupigwa na Israel hawaachi visingizio vya kipuuzi kama hivyo. Wewe endelea tu kusifia usiyoyajua mwaka jana tu mlikuwa mnawasifia sana Hezbollah matokeo yake Hezbollah walipigwa kama watoto wadogo na sasa walishaomba mkataba wa kusitishwa mapigano ili wasiendelee kupigwa!! Israel ni kidume huko mashariki ya kati mpaka Uajemi!!
Hili tulishalizungumza hadi ushahidi nilikuletea.
Ndio maana sikuhangaika kukujibu kwasababu niliwahi kukupa ushahidi wa yote nilokwambia.
USA ana uelewa kuhusu Iran kuliko wewe ndio maana alimuwekea Weapon embargo.
Na hilo shambulio la Israel kwa Iran LILIKUA TOTAL FAILURE.
Nimemwambia mwenzako alete ushahidi nasubiri ushahidi hapa.
 
Walokole wa hapa kwetu hawaamini kuwa Israeli sio chochote wala si lolote kwa iran . Wanachokijua na walichoaminishwa ni Israeli ni mkubwa na hashindwi chochote hata usa alivyoambiwa kuhusu missle programs ya iran walidhani ni masihara mpaka walivyooshuhudia mtoto wao pendo akicharazwa mijeledi hiyo October Mosi ndo west wakatahamaki iran yupo kwemye level nyingine kabisa ya kijeshi kwa kujitegemea kabisa na sio imported
Mtu unamuomba ushahidi wa madhara ila anabwabwaja tu.
USA mwenyewe na washirika wake wamemuwekea Iran vikwazo vya silaha halafu mswahili wa Mbagala Chamazi anamdharau Iran.
Aiseeee wanachekesha hawa.
 
naona wewe umetoka usingizini,au umekula alkasusu asubuhi? Israel amechakaza gaza yote, kauwa viongozi wote wa hamas, kauwa viongozi wote wa hezbollah, kasambaratisha syria hadi jamaa kakimbia, kapiga wahuthi kwa ndege zake, halafu leo unasema hawezi kuwashinda watu ambao tayari wapo kaburini? operation zote za UK na US huwa zinatangazwa, na kwa taarifa yako US NA UK huwa hawafanyi operation za kikatili kama ya myahudi, wao huwa wanaogopa kuchafua brand.ukiona kuna ndege imepiga bandari, imepiga airport kama ile iliyopiga maeneo 30 mwezi uliopiga hadi mhuthi akaduwaa, hayo ni mashambulizi ya kikatili sana na jua ni ya myahudi, sio US wala UK. pia, wahuthi wenyewe huwa wanaweka specific kabisa, wakipigwa na myahudi wanasema hapa ametupiga myahudi, wakipigwa na UK au US wanasema ni hao. ila wewe mhuthi wa tuangoma uliyeshiba vitumbua na chai isiyotosha sukari, umejazwa matope kabisa kichwani.hata hujielewi unaongea nini.
Weee jamaaa Yesu anakuja kweli ninamaono ya mbaali atamm nimepata picha iyo anakuja kuwashtaki waliotajilika kupitia jina lake!!!!! YEMEN JANA imewataka wakazi waisrael wote ikiwa wanataka kulala usingizi basi waondoke ktk iyo ardhi kwaiyo kazi kwao la kalala macho!!!! au wasepe wakalale kwao Ulaya
 
Ndivyo unavyokaririshwa hivyo na wamagharibi. Mara kiwanda cha silaha kilaharibiwa Mara AD ziliharibiwa . Metanyahau alishimdwa kuwaonyesha wayahudi wenzake alichoenda kukifanya baada ya kunyanyanyua ndege 80 lakini walishindwa Kuonyesha hata kijiti cha moto baadala yake wakaenda kuonyesha picha ya Miaka 2 huko ili kuwadangsnya wayahudi Ila wew bado upo usingizinin na Israel yako amka
Nimewaambia yeye na jamaa yake anaitwa Rozela walete ushahidi wa athari za Israel mimi niwaletee ushahidi wa athari za Iran kutoka vyombo vikuu vya habari.
Nipo hapa nawasubiri.
 
Back
Top Bottom