Usizungumze kiwepesi,Iran ni mfupa mgumu sana kwasasa.iran hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. ila yawezekana myahudi anachokoza tu ili atafute sababu ya kupigana na iran kwa sababu hamas, hezbollah na huthi sasaivi sio threat tena., ila iran akibaki hai israel hatakuja kulala usingizi. wanaamini ni muhimu vita hii ianze mapema ili trump akiingia aikute, na aendelee kuunga mkono, kuliko kuja kuianza trump akiwa ameanza asije akawazuia.
Iran sio taifa jepesi kama unavyodhani hata USA wanalijua hilo na hata Trump alishaliona hilo kipindi alivyokua rais.
Israel anakimbilia sapoti ya wamagharibi ila yeye kama yeye kamwe hawezi kupigana na Iran.