Jeshi la Israel lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la Bunge Gaza

Jeshi la Israel lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la Bunge Gaza

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi,

Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.

WhatsApp-Image-2023-11-13-at-20.27.04-640x400.jpeg

20231113_231933.jpg
 
Uhuru unapiganwa kwa kuuwa watu na kuteka watu wasiohusika halafu Unaacha kupigana na watu wenye nguvu na silaha ambao ndio unaamini wamechukua ardhi yako..! We bibi una matatizo
Umejazwa ujinga ukakujaa.

Watu wasiohusika hakuna aliyepigana nao, walitekwa ili wapalestina waliojazwa majela ya Israel kwa maelfu waachiwe.

Halafu kama haitoshi hao ndiyo imekuwa mtego wa kuwaingiza mazayuni wachezee kichapo mpaka Palestina waipate haki yao. Na mazayuni hapo wamingia kichwa kichwa, sasa hawana pakuytokea, wacha waingie kote wapiga picha za utalii, zitakuwa ukumbusho kwa wenzao, hao unafikiri wote watachomoka hapo walipojiingiza?

Au hilo hulijuwi wewe?
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzuka wanajamvi,

Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
View attachment 2813097
View attachment 2813098
Hao wanajeshi ni makondoo waliopotea wanatafuta ushindi wa kijinga wa picture ili waonekane walifika Gaza 😄

Kuna sehemu zingine Gaza ni km 0.6km kutumia njia ya bahari labda hata hilo bunge liko area za baharini ndio sababu wamefika, tuonyesheni mmefika Gaza city? Au hio Al Shifa Hospital mmeisha fika au bado?
 
Back
Top Bottom