Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ha ha ha..... Haya maneno tulianza yasema toka Day one... Naona wayahudi wanasonga tu mbele. Tulisema wakigusisha tu wanabanwa. Sasa wameingiza kichwa... Tukasema wakiingiza kichwa tu wanabanwa. Sasa wameingiza mashine yote. Tukasema wakiingiza mashine yote tu wanabanwa. Sasa wana pump ... Wanakolekea watafika kileleni. Na wataacha tu nanii zao ndani kisha wajiondokee.Umejazwa ujinga ukakujaa.
Watu wasiohusika hakuna aliyepigana nao, walitekwa ili wapalestina waliojazwa majela ya Israel kwa maelfu waachiwe.
Halafu kama haitoshi hao ndiyo imekuwa mtego wa kuwaingiza mazayuni wachezee kichapo mpaka Palestina waipate haki yao. Na mazayuni hapo wamingia kichwa kichwa, sasa hawana pakuytokea, wacha waingie kote wapiga picha za utalii, zitakuwa ukumbusho kwa wenzao, hao unafikiri wote watachomoka hapo walipojiingiza?
Au hilo hulijuwi wewe?