Thubutu yake huyo hakaagi Gaza huyo hukaa Qatar tena akiishi kianasa huku akipiga mihela ya misaada kwa wapalestina kwa ufupi damu za wapalestina ndo ndago yake.Ismael haniyeh anaishi wapi? Yupo katika uwanja wa vita au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu yake huyo hakaagi Gaza huyo hukaa Qatar tena akiishi kianasa huku akipiga mihela ya misaada kwa wapalestina kwa ufupi damu za wapalestina ndo ndago yake.Ismael haniyeh anaishi wapi? Yupo katika uwanja wa vita au?
Hivi wakati misaili zao zinaua watoto na wanawake na wanapiga Mahospitali tu wanaume wa kipalestina na wapiganaji wa hamas, hezbollah, iran, na majini, na hata allah huwa wanakuwa wapi kuwalinda wanawake na watoto wa kiislamu wasidhulumiwe haki yao ya kuishi? Maana dah wanauliwa si mchezo yaani aljazeera ina kazi ya kutoa updates za vifo vya wapalestina kila baada ya dakika kadhaaNdege zao na misaili zao zinaua watoto na wanawake na wanapiga Mahospitali tu, kwa sababu Hamas wakishashambulia ki komandoo wanayeyuka, mpaka mazayuni wanalia wanashambuliwa na majinni.
Wanatakiwa wawepo hapo, wachezee kichapo. Wananusa wakiona vijana wa Hamas watawamaliza wanaondoka ili ndege zao zije kushambulia. Ndege zao na misaili zao zinaua watoto na wanawake na wanapiga Mahospitali tu, kwa sababu Hamas wakishashambulia ki komandoo wanayeyuka, mpaka mazayuni wanalia wanashambuliwa na majinni.
Tazama kichapo wanachochezea mazayuni wakibaki hapo:
View: https://youtu.be/8-txW-QEmOo?si=_jkIKh2VdWb7aBhA
Waisrael Washathibiti mpaka na misriWenyewe wapalestina akina Ismael Haniyeh wanarudia msemo huo.Wao wanajua zaidi na itakuwa wamejipanga.
Kuna dalili ya uwezekano huo kwani ilisemwa zamani na wachambuzi wengine wasio wapalestina.
Ili kutawala maeneo hayo Israel itabidi iongoze jeshi lake mara dufu ili kila wapalestina kumi kuwe na askari mwenye bunduki kuwalinda wasilipize kisasi.
Upande mmoja maana wanapigana na ukuta, au siyo?Mkuu, vita ni vita tu, Ni mwendo wa kuUana - ni lazima vifo vitokee. Kichapo kilichosemwa na koneshwa clip yake (edited clip)hapo juu; ni upande mmoja wa shilingi. Ngoja tujionee na upande wa pili ngoma ikoje.
Sio. Tuone na jinsi IDF wanavyojibu au kama hayo ndo majibu wanayotoa HAMAS basi tuone maswali. (Offensive vs Counteroffensive) au ulielewaje mkuu?Upande mmoja maana wanapigana na ukuta, au siyo?
Wajibu nini zaidi ya kushambulia kwa ndege za ki vita na misaili kutokea mbali? Mbona tunayaona kila siku.Sio. Tuone na jinsi IDF wanavyojibu au kama hayo ndo majibu wanayotoa HAMAS basi tuone maswali. (Offensive vs Counteroffensive) au ulielewaje mkuu?
Ina maana IDF hawathubutu kakaribia au kusogea hapo?Wajibu nini zaidi ya kushambulia kwa ndege za ki vita na misaili kutokea mbali? Mbona tunayaona kila siku.
Misri ana kumbukumbu za kipondo cha mazayuni hivyo lazima akae nao kwa akiliMisri ni mshirika katika kuwakandamiza wapalestina.Israel haina ubavu wa kufika Rafah kama hawkuachiwa na Misri.Sijui Misri inapata nini katika unafiki wake huo.
Ni unafiki tu lakini Israel hawezi kuwa na kipondo kwa nchi kama Israel baada ya kulazimika kupigana na Hamas waliofungwa mikono na miguu kwa miezi 8 sasa.Misri ana kumbukumbu za kipondo cha mazayuni hivyo lazima akae nao kwa akili
Ni wazi kwamba Misri hapati chochote cha maana (Tangible) hapo ila Misri hataki kujiingiza kwenye machafuko(Vita) au migogoro na majirani zake. Misri anajua madhara yatokanayo na vita hii iliyoanzishwa kibabe bila yeye (Misri) kushirikishwa ili walau atoe ushauri. Kwa hiyo amewaachia wahusika walinywe kama walivyoligema.Misri ni mshirika katika kuwakandamiza wapalestina.Israel haina ubavu wa kufika Rafah kama hawkuachiwa na Misri.Sijui Misri inapata nini katika unafiki wake huo.
Sio haswa kivile ila Misri hataki ushabiki maandazi. Game ulianzishe ww mwenyewe HAMAS halafu sasa unataka kuwajumuisha na wengine - wapi na wapi. Misri hawezi au hataki kuota moto ambao hakuhusika kuuwasha.Misri ana kumbukumbu za kipondo cha mazayuni hivyo lazima akae nao kwa akili
Jambo la maana alilofanya Misri ni kutokubali kuhongwa ili wapalestina waingie Sinai.Msimamo huo amekomaa nao mwanzo mpaka mwisho.Sasa ndio hivyo isemwavyo amewaachia mayahudi mzigo wao wenyewe .Ni wazi kwamba Misri hapati chochote cha maana (Tangible) hapo ila Misri hataki kujiingiza kwenye machafuko(Vita) au migogoro na majirani zake. Misri anajua madhara yatokanayo na vita hii iliyoanzishwa kibabe bila yeye (Misri) kushirikishwa ili walau atoe ushauri. Kwa hiyo amewaachia wahusika walinywe kama walivyoligema.
Kwaa uchumi upi hao wanajeshi unajua posho yao kwa siku na ghsrma za kundesha vita kws siku mojMkuu; asikundanganye mtu kwa kauli laini-laini na ukasema .....so kama IDF wana pull back ni suala la kumshukuru Mungu ikibid kuomba waondoke kabisa, maana kwa akili za neta nyahu anaweza akaa hapo gaza maisha yake yote mpaka atakapo kuja waziri mkuu mwingine na ...........
Hiyo haitokaa itokee kamwe -NEVER. IDF ku pull back ni mojawapo ya mbinu za medani tuu. Kazi bado ipo.
Nasema hivyo kwa sababu Israel (IDF) wameingia gharama kubwa kufika hapo walipofikia na bado wataendelea kutoa mapigo hadi wahakikishe kiapo (Oath) chao kimetimizwa cha kuifuta kabisa HAMAS kwenye uso wa dunia.
Wakikamilisha mission yao itafuata kulipia gharama na usumbufu uliotokana na tukio la tarehe 7 Okt. 2023 ambalo kwalo ndilo lililosababisha maafa hayo yote kutokea. Je, malipo (Fidia au compensation to the damage) unadhani yatafanywa na nani? 1. Palestina? -hapana kani hatakuwa na uwezo huo.2. HAMAS? -hapana kwani atakuwa hayupo tena duniani.
3. Mataifa yanayoitambua Palestina kama Taifa? Hapana kwani hizo ni gharama binafsi kwa Wapalestina waliokubali Ulaghai wa HAMAS. Hili linaweza kujadiliwa na Mataifa au Jumuiya za kimataifa.
4. Mwishoni itaonekana Israel ataachiwa mzigo wake (Palestina) ajue mwenyewe ataupeleka wapi.
Hamas ndio imewatokeaHawatakaa kwa amani hao wanazan kuua ndio suluhisho