Jeshi la Israel larudi nyuma tena Gaza. Ni mbinu za kivita au ni kuzidiwa na mzigo?

Jeshi la Israel larudi nyuma tena Gaza. Ni mbinu za kivita au ni kuzidiwa na mzigo?

Takriban kwa wiki tatu sasa jeshi la Israel limekuwa likipigana vita vikali vya mtaa kwa mtaa maeneo ya kaskazini ya Gaza.

Mwishowe jeshi hilo lilitanga hapo juzi kuwa limedhibiti kambi yote ya Jabalia ambayo imewapa shida kuishida tangu mwanzo wa vita.

Watu wengi walikufa kwenye mji huo na waliofukiwa chini ya vifusi haikuwa rahisi kuwaokoa kwani kwa kutumia helkopta maalum aina ya qudrapt jeshi la Israel liliwafukuza waliosogelea maeneo yaliyobomolewa.

Kwa mshangao leo tena jeshi hilo limeonekana kuachia maeneo hayo na kurudi nyuma huku wapalestina waliobaki hai wakionekana kusonga mbele kwenda kuwatafuta wenzao waliofukiwa

Hilo linatokea kabla ya jeshi hilo halijafanikiwa kuichukua mitaa ya Beit Zeitoun iliyotangaza kuwa na mpango wa kuidhibiti maeneo hayo hayo ya kaskazini ya Gaza.

Hali hii si ishara nzuri kwa Israel kwani kweli wanafanikiwa kuua na kubomoa majumba kutokana na kumiliki vifaa vya kisasa vya kivita, lakini kama ilivyotabiriwa mwanzoni hakuna uwezekano wa kutawala maeneo ya Palestina kama inavyokuwa kiutawala wa kawaida kwenye maeneo yanayokaliwa na nchi.

Kwa maana hiyo vita kati ya Israel na Palestina chini ya Hamas havitaweza kutangazwa kuwa vimemalizika.

Israeli military continues pullbacks in northern Gaza

Defense is the offense too. Sema you don't know the game of war. Hizi ni professional za watu tuacheni kuingiliana kimajukumu shida ya ubongo unataka uonekane Kila unajua kwa ajili ya Ego. Ila Ile kukubali mie Sipo ama sifahamu chochote kuhusu ichi Wala sio kuwa hufai , hustahili kuishi ama huna thamani Kama huyo anayejua Naye Kuna eneo hajui..
 
Elimu enzi hizi iko wazi wazi.Kule maprofesa wanakosoma na sisi sote tunafika.Usijaribu kushindana na hata darasa la saba kwa fani uliyoisoma miaka 5 darasani.Anaweza akakugaragaza hadharni.
 
Elimu enzi hizi iko wazi wazi.Kule maprofesa wanakosoma na sisi sote tunafika.Usijaribu kushindana na hata darasa la saba kwa fani uliyoisoma miaka 5 darasani.Anaweza akakugaragaza hadharni.
Comforting yourself.
Namie naongelea iyo iyo elimu ama huelewi Mana ya elimu ,umekariri kuwa lazima uende darasani upewe mavyeti mkuu.
Mtu aka dedicate Maisha yake ku acquire a certain craft day in day out mpaka iyo elimu imekuwa second nature.

Ngoja darasa la saba wakafanye Neuro surgery Mana elimu Iko wazi wazi.

Brain ina mechanism ya kujifariji yaani kuziba gap/pengo Fulani ivi. Mfano mtu hakusoma akaja akapata pesa atataka kuziba lile gap alilokosa elimu kuwa waliosoma Wana nini,ama waliokuwa wanakuwa wa kwanza darasani ivi na kwenye Maisha bado ni WA kwanza , Sasa huyu anayeongea anaajaribu ku relieve and get rid off emotions trauma pain.

Kiuhalisia aliitafuta iyo nafasi akaikosa enzi hizo sio kuwa alikuwa na huo uwezo Ila akawa anakataa kuwa nisiwekwe wa kwanza.

Pia aaliyekuwa anakuwa wa kwanza ilikuwa inatokea naturally tu anakuwa wa kwanza na sio kuwa alikuwa anaitafuta sema alijikuta Yuko ivyo.

Ishu hapa ni ego inafanya kazi
 
Back
Top Bottom