Tusijisahau sana
SEKUNDE 40 zilitosha kwa Israel kuwabamiza VIONGOZI 40 (Akiwemo Ayatollah)
Tafsiri :
Unaweza kufanya nini ndani ya sekunde 40 ?
Unaweza kumimina maji kwenye glasi,
unaweza kuvaa viatu,
unaweza kuandika barua pepe,
unaweza kujipulizia manukato,
Kwa jeshi la Israel,
sekunde 40 zinatosha kuwabamiza magaidi 40 wakubwa
ambao wapo umbali wa zaidi ya kilometa 2000
Yeyote ambae ni tishio kwa Israel na watu wake, atalipa gharama