Jeshi la Israel latangaza msako mkali wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aliyeuawa Oktoba 17, 2024 Gaza

Jeshi la Israel latangaza msako mkali wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aliyeuawa Oktoba 17, 2024 Gaza

Kweli hapa no ule wimbo wa kasongo eee, mobali na ngaa. Kutumia baibui na hijabu hazijasaidia. Sasa kaka mtu mohamed inabidi atumie vazi la kimasai tu.
 
Kweli hapa ni ule wimbo wa kasongo eee, mobali na ngaa. Kutumia baibui na hijabu hazijasaidia. Sasa kaka mtu mohamed inabidi atumie vazi la kimasai tu.
 
duh! Kiama cha magaidi kimewadia.
Sponsor wao 😆
Ayatollah-Ali-Khamenei0601.jpg
 
Daaaah hawa kobasi wamepigwa Kipigo cha Mbwa Koko.

Wajisalimishe tu Mambo yaishe,vita na myahudi wakiri hawaiwezi tu,wasijifanye majasiri wakati wanakufa kama Mbwa
 
duh! Kiama cha magaidi kimewadia.
Kiama cha wakristo kimekaribia hata mkifurahi NATO yote kufa kwa Yahya Sinwar msidhani ndio mtashinda vita. Palestine wako zaidi ya kina Yahya Sinwar.

Makafiri walio kuwa wanapoteza Mamilioni ya pesa zao kumsaidia israel kwa silaha, mali na askari wanadhani ndio watashinda vita hawajui Israel ndio bye bye hapo Middle East

View: https://youtu.be/DZ3cY85ulyc?si=WP5V16kky44awW-v
 
Kiama cha wakristo kimekaribia hata mkifurahi NATO yote kufa kwa Yahya Sinwar msidhani ndio mtashinda vita. Palestine wako zaidi ya kina Yahya Sinwar.

Makafiri walio kuwa wanapoteza Mamilioni ya pesa zao kumsaidia zisrael kwa silaha, mali na askari wanadhani ndio watashinda vita hawajui Israel ndio bye bye hapo Middle East

View: https://youtu.be/DZ3cY85ulyc?si=WP5V16kky44awW-v

Bado Ayatolah naye apigwe Kitofali cha Kichwa.
 
Kiama cha wakristo kimekaribia hata mkifurahi NATO yote kufa kwa Yahya Sinwar msidhani ndio mtashinda vita. Palestine wako zaidi ya kina Yahya Sinwar.

Makafiri walio kuwa wanapoteza Mamilioni ya pesa zao kumsaidia israel kwa silaha, mali na askari wanadhani ndio watashinda vita hawajui Israel ndio bye bye hapo Middle East

View: https://youtu.be/DZ3cY85ulyc?si=WP5V16kky44awW-v

Huyoooo huyoooo yanajifariji kula siku mnapuputika tu Allah na mudi wamekula kona na kuzama chaka nakuacha mnalialia kama mikondoo mipumbavu.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE MAAMAEE

NO MERCY

Nyau de adriz
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jeshi la Israel limetangaza kuwa msako wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas aliyeuawa jana unaendelea kwa kasi kubwa.

Taarifa zaidi kumuhusu Mohamed Sinwar hapo chini kwa kimombo:

Pia soma > Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

==

Mohammed Sinwar is the brother of the most wanted man in Gaza. And the younger Sinwar may, in fact, be running Hamas operations in Gaza while his brother tries to avoid an untimely demise.

Mohammed Sinwar joined the self-professed military wing of Hamas, the Izz al-Din al-Qassam Brigades, in 1991. The Palestinian Authority arrested him during one of its half-hearted crackdowns on the terrorist group. These crackdowns were largely conducted under duress during the Clinton administration, which was still chasing a peace deal.

After serving three years, Sinwar somehow managed to escape prison. Sinwar and the aforementioned Mohammed Deif were behind several suicide bombings in in the mid-1990s that claimed dozens of Israeli lives.

In 2005, after flying below the radar for several years, Mohammed Sinwar became the commander of the Khan Yunis Brigade in southern Gaza. The pro-Hamas Qatari television network Al Jazeera announced his appointment in September 2005.

The following year, Mohammed Sinwar was involved in the Hamas kidnapping of Israeli soldier Gilad Shalit. Shalit was subsequently held in Gaza for five years. Mohammed Sinwar was part of the secretive Hamas cell responsible for holding Shalit, who was released in a prisoner swap with Israel in 2011.

Mohammed Sinwar is said to be in close contact with the aforementioned Muhammed Deif and his deputy, Marwan Issa. According to Israeli media, Mohammed Sinwar “is a central figure” within the Hamas command structure. The IDF confirmed that it attempted to target Sinwar during the May 2021 Gaza war.
Nov 5 tu amalizana nae
 
Huyoooo huyoooo yanajifariji kula siku mnapuputika tu Allah na mudi wamekula kona na kuzama chaka nakuacha mnalialia kama mikondoo mipumbavu.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE MAAMAEE

NO MERCY

Nyau de adriz
Haha kizungu chako hata mtoto wa primary anakushinda 😄

Ongea tu kiswahili bora ili ufiche aibu zako. Tabu upo kutengeneza majina kila kukicha hapa JF sa ngapi utapata akili.
 
Haha kizungu chako hata mtoto wa primary anakushinda 😄

Ongea tu kiswahili bora ili fiche aibu zako. Tabu upo kutengeneza majina kila kukicha hapa JF sa ngapi utapata akili.
Vipi Mademu ya huko Ahera yamejazajaza?!
 
Mtu kupigania haki yake amekuwa gaidi?
Kila mmoja pale myahud Israel na Arab Palestine ana amini anapigania haki Yake ndo shida ilipo, Kuishi kwa Amani na Upendo hawataki na kila mmoja kwa upande wake akahamia kwenye sheria za musa jino kwa jino Kibaya Zaid ktk Sheria za Musa hakunaga mshindi Zaid NI kumalizana tuuu
 
Kiama cha wakristo kimekaribia hata mkifurahi NATO yote kufa kwa Yahya Sinwar msidhani ndio mtashinda vita. Palestine wako zaidi ya kina Yahya Sinwar.

Makafiri walio kuwa wanapoteza Mamilioni ya pesa zao kumsaidia israel kwa silaha, mali na askari wanadhani ndio watashinda vita hawajui Israel ndio bye bye hapo Middle East

View: https://youtu.be/DZ3cY85ulyc?si=WP5V16kky44awW-v

Pole sana! Msako unaendelea mpaka mashariki ya Kati isiwe tena kitovu cha ugaidi
 
Ningekua mm ninge sepa nje ya nchi. Nikafie mbele.
All the best
 
Myahudi ni balaa nyingine, kaweza haya mazombi yapo kimya, ukiyaona hata huku mitaani yamenyon'gonyea.
 
Mashariki ya kati mpaa aondoke gaidi mkubwa US, Europe na Israel ndio patakuwa na amani.

Israel wako Somalia? Msumbiji? Kote huko mumechafua kisa ujinga, ila nimependa sana Myahudi, anatembeza kichapo hadi ninaumwa.
 
Back
Top Bottom