Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa

Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa

Wakitoka Beirut waende na vifaru vyao Tehran kama kuna atakayerudi
 
The Israeli army is ending its "ground operation" in Lebanon. They're calling it a "strategic withdrawal" after a "successful" mission. 🙄 Just kidding, they got their butts kicked and are scrambling to save face. 😜
Sio hivyo tu na Askari wao wamegoma hawataki kwenda Beirut mana wanarudishwa kwenye helicopta kila nusu saa na ambulances zingine zinaenda mochwari zingine ICU
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.

Huku ni kushindwa kwa aibu.

Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================

View: https://x.com/syed_1109084/status/1850007934580695224?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mwanzoni kabisa walisema ni "limited operation" na imeshawatoa Hezbollah karibu na mpaka wake. Pamoja na vipigo vyote kuna mtu atakuambia Hezbollah kashinda hii vita.
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.

Huku ni kushindwa kwa aibu.

Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================

View: https://x.com/syed_1109084/status/1850007934580695224?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

kwa bahati mbaya, walebanon wengi ndio wataanza kujenga majengo upya, hawana nasraah, hawana kamanda yeyote wa hezbollah, barabara zimechakaa, magorofa yamedondoka, kila kitu kwisha. walebanon wameshinda.
 
Lakini hawako chini ya mzayuni
 
Haya wametangaza kuondoka wakati ndio kumekucha kundi lingine la shia kutoka saudia ndio linaanza kazi mzayuni akae kwa kutulia, mtoto kautaka lengo tukae miaka 10 kwenye masikio na koromeo lake

— ❗️🇸🇦/🇵🇸 The Islamic Resistance in the Land of the Two Holy Mosques (Saudi Arabia) has released a statement:

'This military operation is an expression of the living will of the people of the Arabian Peninsula, and it will be followed by other diverse operations in the face of the Zionist occupation.

We affirm that our jihadist contribution to the Resistance Axis in combating the Israeli aggression in these sensitive historical times is a testament to the character of our noble and honorable resistance, and an affirmation of its Jihad project that aspires towards truth and justice, and belongs with its spirit, mind and sacrifices to the resistant and dear nation.

We declare that the resistance will continue its jihadist activity in support of our resistant Palestinian and Lebanese people, and we will not stop until the Zionist aggression on Gaza and Lebanon stops.

@Middle_East_Spectator
 
— 🇮🇱/🇱🇧 NEW: Hebrew media reports that 63 Israeli soldiers have been injured in the past 24 hours, including a 'serious incident' in southern Lebanon where 5 were injured and 3 were killed.

@Middle_East_Spectator
 
Wanaweza kusitisha mashambulizi lakini unajua wataondoka lini kwenye maeneo wanayo kalia!!
Unaweza kuta kusini mwa Lebanon kukabaki mikononi mwa Israel kwa miaka kadhaa.
 
The Israeli army is ending its "ground operation" in Lebanon. They're calling it a "strategic withdrawal" after a "successful" mission. 🙄 Just kidding, they got their butts kicked and are scrambling to save face. 😜
hahahaaaaa "they got their butts kicked"
 
Zaidi ya udini wenu, mkiulizwa kwanini mnawatetea Iran au hezbollah nina uhakika hamjui 💯
 
Back
Top Bottom