jeshi la israel waingia mitaa ya Gaza kusaidia wenye njaa misaada na pesa za umoja wa mataifa inaishia kwa magaidi na family zao raia wanaopinga hufyatuliwa
Misaada ya umoja wa mataifa inaingia Gaza lakini ni kwajili ya Hamas na familia zao, Wapalestina wa Kawaida wanalalamika njaa, Hamas wanasingizia Israel.
kwenye video hii utaona mifuko ya vyakula inayotolewa na umoja wa mataifa inaishia kwenye stoo na majiko ya Hamas na Familia zao, yamekutwa mabilioni ya pesa za misaada zinazotumiwa kifamilia.
Magari ya misaada yanapoingia huchukuliwa na vikundi vya kigaidi
Wale wanaojaribu kuhoji au kufanya majaribio ya kuchukua misaada huuawa, juu ya lori hili la misaada gaidi wa Hamas anawafyatulia risasi raia wanaojaribu kusimamisha lori
Hawa ni wapelestina wenye njaa waliokamatwa wakichukua chakula kwenye gari la misaada, Hamas inawafyatua risasi kuonyesha mfano