Jeshi la Israel waingia Gaza kusaidia wenye njaa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
jeshi la israel waingia mitaa ya Gaza kusaidia wenye njaa misaada na pesa za umoja wa mataifa inaishia kwa magaidi na family zao raia wanaopinga hufyatuliwa

Your browser is not able to display this video.

Misaada ya umoja wa mataifa inaingia Gaza lakini ni kwajili ya Hamas na familia zao, Wapalestina wa Kawaida wanalalamika njaa, Hamas wanasingizia Israel.

kwenye video hii utaona mifuko ya vyakula inayotolewa na umoja wa mataifa inaishia kwenye stoo na majiko ya Hamas na Familia zao, yamekutwa mabilioni ya pesa za misaada zinazotumiwa kifamilia.
Your browser is not able to display this video.


Magari ya misaada yanapoingia huchukuliwa na vikundi vya kigaidi



Wale wanaojaribu kuhoji au kufanya majaribio ya kuchukua misaada huuawa, juu ya lori hili la misaada gaidi wa Hamas anawafyatulia risasi raia wanaojaribu kusimamisha lori

Your browser is not able to display this video.


Hawa ni wapelestina wenye njaa waliokamatwa wakichukua chakula kwenye gari la misaada, Hamas inawafyatua risasi kuonyesha mfano
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna msemo wa kiarabu unasema wewe ndio muwaji afu unajidai kushindikiza au kubeba jeneza. Exactly ndicho anacho fanya Israel kawafungia wananchi wa Gaza kila kitu chakula, maji, umeme afu leo anajidai kwenda wasaidia 😄 Hicho chakula labda ndio sumu kabisa ili wawamalize. Mimi kama ndio raia wa Gaza bora nife kuliko kupokea chakula cha hao nguruwe.
 
Huijui njaa wewe, unaisikia tu.

Njaa haikuui kwa siku moja, inaku 'dedesa' kwa siku kadhaa hadi kukifikia kifo umesota. Ukisikia watu wanakula mende na vyura kupambana na njaa usidhani wanapenda.

Labda kama unazungumzia kujiua, na si kila mmoja anaweza kujiua.
 
Hamas wanaiba misaada kwajili yao na familia zao, wapalestina wanateseka na njaa

Hilo begi la mke wa Yahya ni milioni 87 pesa za misaada ya umoja wa mataifa zinatumika kwa tamaa za kifamilia
 
Unaa huo,uwaue,uwanyime chakula kuwafikia halafu ujitokeze k
Uwa ue uwanyime chakuka kuwafikia halafu ujitokeze kuwa saidia,huu ni ukichaa sawa na ukichaa wa wale rangi mboga mboga.unataka kuwasaidia ukichaa huu ni sawa na wa wanarangi mboga mboga
 
Pengine hicho chakula kina sumu, hao mashoga siyo wa kuwaamini kabisa.
 
watapata laana kuwasaidia haya magaidi. Kwanza yanatakiwa yote yafe na njaa.

Israel please don't sort them, just kill them all.

NO MERCY MAAMAE

R.I.P brothers Joshua Mollel na Clemence Mtenga (mromboo).

Nyau de adriz
 
Pesa za misaada ni kwajili ya familia, pochi hii ya mke wa Yahya ni shilingi milioni 86

View attachment 3131942
Propaganda za kijinga,hilo pochi abebe wapi?!.. miaka ya 2010 wakala wa adidas alikuja bongo kuangalia namna gani adidas watafanya biashara,wakakuta bidhaa feki za adidas nyingi sana,wakashindwa
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-21-21-01-50-911.jpg
    384.2 KB · Views: 4
Kama kina sumu kwanini kilikutwa kwa wingi jikoni kwa Yahaya na familia yake.

Hivi Yule kiongozi mkuu wa Hamas alietegewa bomu chini ya kitanda huko Iran ilikuwaje akakutwa na bodyguard wake kwenye kitanda, walikuwa wanacheza bao au ?
Yalikuwa yanatatuana marinda huku yakibweka alauakbar.

Malaria 2

Nyau de adriz
 
Utajiri wa haniyeh ni zaidi ya mo dewji na bakhresa kwa pamoja.
 
Kama kina sumu kwanini kilikutwa kwa wingi jikoni kwa Yahaya na familia yake.

Hivi Yule kiongozi mkuu wa Hamas alietegewa bomu chini ya kitanda huko Iran ilikuwaje akakutwa na bodyguard wake kwenye kitanda kimoja ?
Alikuwa analiwa kimykimy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…