Jeshi la Israel waingia Gaza kusaidia wenye njaa

HAMAS kama CCM tu, kila siku PESA za, kodi ya wananchi, misaada kutoka mashirika na nchi za nje na mikopo ya kutoka mashirika ya fedha, na nchi za nje WANACHUKUA WAO..

Wanatulinda, wanatuletea maendeleo wao, allahamdulilah, hahaha.
 
Hii inadhihirisha ukweli kwamba vita sio dhidi ya raia wa Palestine bali ni vita dhidi ya magaidi yaliyojificha kwenye mgongo wa dini
 
Kobazi mfia dini ya mnyaazi huyo aka gaidi
 

Ni kawaida michawi kulia zaidi msibani
 
Kelele za Yemen zimeishia wapi?
Yemen wanaume wale mpas US na UK ndio wanapambana direct badala ya shoga wa mashoga πŸ˜„ Afu anatembeza kichapo kila kukicha hivi we hujui Yemen anapeleka kichapo Israel kila bada ya week, leo kisha wapelekea kichapo Israel, na kila kukicha pale Red Sea anampelekea kichapo US au UK
 
Upuuuzi mtupu nyie wanakondoo mna matatizo
Ni wanafiki na waongo mnoo
 
Kama kina sumu kwanini kilikutwa kwa wingi jikoni kwa Yahaya na familia yake.

Hivi Yule kiongozi mkuu wa Hamas alietegewa bomu chini ya kitanda huko Iran ilikuwaje akakutwa na bodyguard wake kwenye kitanda kimoja ?
Mambo ya sunha
 

View: https://x.com/JewishWarrior13/status/1848715891187335276
 
Wewe Chotara unafikiria kila kitu ni Mwarabu ndio maana mna chuki na Wayahudi.
Nani kakuambia mimi ni chotara bwege mmoja wewe, we kama chotara wa Kiyahudi ni wewe tu. Nenda kaoshe mbwa wa nyau upate baraka zake zo motoni.
 
Hamas wanaiba misaada kwajili yao na familia zao, wapalestina wanateseka na njaa

Hilo begi la mke wa Yahya ni milioni 87 pesa za misaada ya umoja wa mataifa zinatumika kwa tamaa za kifamilia
Misaada yanini mkuu? Kwanini msiwape uhuru wao wakujimulia mambo yao, wa kushirikiana na kufanya biashara na nchi wanazoona zinawafaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…