Jeshi la Israeli limetoa video kuonyesha Magaidi wa Hamas wanaitumia hospitali ya Adwan kigaidi

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Jeshi la Israeli limetoa taarifa mpya na picha zinazoonyesha kwamba Hamas inaendelea kutumia Hospitali ya Kamal Adwan huko Jabalia, kaskazini mwa Gaza, na maeneo yanayoizunguka kwa shughuli za kijeshi, licha ya kituo hicho kwa sasa kufanya kazi kama kliniki ya matibabu ya mchana.

Magaidi wa Hamas wanapanga mashambulizi na kujenga upya uwezo wa kijeshi huku wakitumia uwepo wa wagonjwa, wafanyakazi wa matibabu na raia kama kinga.

Hospitali hiyo hapo awali ilikuwa ikitumiwa na Hamas na Palestina Islamic Jihad kwa madhumuni ya kijeshi. Katika operesheni ya Desemba 2024, vikosi vya Israeli viligundua silaha na vifaa vya kijeshi na kuwakamata zaidi ya magaidi 240.

1792426012025.png

=============

The IDF released footage on Sunday that appears to show Hamas terrorists operating in the Kamal Adwan Hospital in Beit Lahia, the northern Gaza Strip.

According to the IDF, the footage shows how the terror group uses the hospital's grounds as an operations center.

The military said that the footage shows that Hamas is still exploiting the presence of patients, medical staff, and civilians as human shields, which is a violation of international law.

"The hospital and its surrounding area have been used by Hamas and the Palestinian Islamic Jihad (PIJ) over the past few years to advance terror plots against Israeli civilians and IDF soldiers," the military said. "This was done while exploiting a medical facility and despite repeated calls by Israel and the IDF to refrain from the military use of medical facilities."

Back in August, intelligence revealed that Hamas had established an ambush against IDF soldiers using a structure located some 70 meters from the hospital.

Source: The Jerusalem Post
 
Kwani Waisrael hawana hospital ya kijeshi

Waisrael Kenge tu kama Kenge wengine!!!!
 
Jeshi la Israeli limetoa taarifa mpya na picha zinazoonyesha kwamba Hamas inaendelea kutumia Hospitali ya Kamal Adwan huko Jabalia, kaskazini mwa Gaza, na maeneo yanayoizunguka kwa shughuli za kijeshi, licha ya kituo hicho kwa sasa kufanya kazi kama kliniki ya matibabu ya mchana.

Magaidi wa Hamas wanapanga mashambulizi na kujenga upya uwezo wa kijeshi huku wakitumia uwepo wa wagonjwa, wafanyakazi wa matibabu na raia kama kinga.

Hospitali hiyo hapo awali ilikuwa ikitumiwa na Hamas na Palestina Islamic Jihad kwa madhumuni ya kijeshi. Katika operesheni ya Desemba 2024, vikosi vya Israeli viligundua silaha na vifaa vya kijeshi na kuwakamata zaidi ya magaidi 240.
Mzee Ibrahimu alifanya kosa kubwa sanaaa kuzaa na yule dada wa kazi maana matokeo yake alimzaa Ishmael na Ishmail kizazi chake kimeleta mabalaa na malaana kibao duniani hata shetani dini lake lake kalipitishia kwa Ishmael.
 
Cc Lwiva
 
Back
Top Bottom