Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

KDF hawajaleta maneno mkuu, wao ni wazee wa kazi kazi, hata Alshabaab wanakiri hilo.....humu JF ndio tumejaa maneno tu.

Hao M23 wasipokubali amani waandae tena pa kukimbilia.
imhotep
Alshabab waliangamizwa zaidi na zile ndege za Marekani zisizokuwa na rubani. Kenya kama Kenya haikuwa na uwezo wa kufanya lolote mbele ya wale jamaa.
Walichofanya Kenya ni kutumia nguvu ya soda tu.
 
Akili za watanzania buana....yaani badala ya kusubiri tuone itakuwaje lakini mmeanza mifananisho na kujitapa kuwa tz iliwasambalatisha ....Mi nikuambie tu Tz waliwafukuza tu ...walicho kifanya tz ni kama vile umeanika mpunga hafu kuku wamevamia na kuanza kula hafu wewe ukaja wafukuza ...unazani ukiwafukuza kuku hawatarudi? kinachotakiwa ni mfano approach wanayotumia kenya kwamba waweke silaha chini ili ipatikane suluhu....na wakikaidi maanake watachapwa na kukamatwa hao waahasi. Si kwa kumfukuza eti ukasema umewashinda....huo ni mchango wangu.
 
Mimi ni mwanafamilia wa JWTZ nina miaka 20+ kwenye hii taasisi nikwambie tuu Jeshi letu ni zaidi ya hayo majeshi yote East Afrika na huu ndo ukweli mana nimeona mengi yakutisha na yakufurahisha na yakushangaza zaidi....TPDF ni zaidi ya jeshi naongea kwa sababu nafahamu na ninajua........
 
Mkuu hebu soma post #216 tayari nishatolea ufafanuzi. Nina imani utaelewa nilichoandika na utajifunza kitu kuhusu vita hii.
 
Asante mkuu kwa kuwa mkweli katika hili. Nina imani wapo wenye akili ambao watakuelewa.
 
Mkuu hebu soma post #216 tayari nishatolea ufafanuzi. Nina imani utaelewa nilichoandika na utajifunza kitu kuhusu vita hii.
😃😃😃 Iyo vita sio ya wale wavaa kubazi ...UPDF , FRDC, Monusco yaan wote waoneka e vilaza let see the impact of KDF
 
Alshabab waliangamizwa zaidi na zile ndege za Marekani zisizokuwa na rubani. Kenya kama Kenya haikuwa na uwezo wa kufanya lolote mbele ya wale jamaa.
Walichofanya Kenya ni kutumia nguvu ya soda tu.
Unadhani ndege pekee bila 'boots on the ground' ambapo Kenya ilihusika mno ingeweza kuwarudisha nyuma Alshabaab ?
 
Watutsi Walikua wakija tabora tangu kipindi kile wanyamwezi wanakwenda pwani,ilikua wakienda pwani wanawaachia watutsi kuangalia mifugo na kazi ndogondogo za shamba,wapo na wanafunga na wanaendeleza hizo tamaduni zao za kutokula kuku na tunawaita watutsi na wanaitika
 
Ata US Navy SEAL wana pigwa ambush vita ni vita muraaaa
JW walipigwa ambush kwa masaa 9 mfululizo lkn wakameneji hawakupoteza askari wengi .......ambush waliopigwa JW ilikuwa organized na watu ndani ya Ile kambi coz waasi walivamia muda sahihi ambao askari wengi walikuwa wanaoga
 
Uongo mtupu sidhani hata kama una cheo cha staff sajent ...huwezi kujua chochote kuhusu jeshi letu dhaifu angalau ungekuwa na cheo kuanzia brigedia general
 
Acha kuogopa gadgets,bila binaadam timamu gadgets ni bure
 
JW walipigwa ambush kwa masaa 9 mfululizo lkn wakameneji hawakupoteza askari wengi .......ambush waliopigwa JW ilikuwa organized na watu ndani ya Ile kambi coz waasi walivamia muda sahihi ambao askari wengi walikuwa wanaoga
Usisumbuke sanaa mkuu, hao KDF wali pigwa ambush na wavaa kubazi aisee askari wengi wa kdf wwalipotea kule kismayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…