Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekudanganya hivyo alikubeba malenge sana. Labda wabungua korosho ambao huwa ni madrop out wa darasa la saba. KDF kila mwaka kwenye recruitment yao huwa wanachukua cadets ambao ni specialists na hata servicemen huwa wana makaratasi yao, sio watu ambao hawajahitimu. Madaktari, engineers walimu hadi na surgeons ambao huwa wanawatibu wasomali ambao walikuwa wamekandamizwa na magaidi kwa muda mrefu.Jeshi lako linaweledi kama china?
Wenzetu wataalam wengi wapo jeshini wewe jeshi lako linajua kushika SMG, MK47 na mizinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mna ushamba mwingi sana nyinyi viumbe. Sasa ni nani amesema kwamba KDF watapima corona wakitumia bunduki? Unaona sifa kutumia kichwa chako kwenye shughuli moja tu ya kubebea meno?Kukagua corona kwa kutumia gun thermometer Ni kujidanganya tu,,bila kutumia testing kit,,thermometer siyo reliable
Jwtz pia wapo madaktari, engineers na wataalamu wa aina mbalimbali,KDF kila mwaka kwenye recruitment yao huwa wanachukua cadets ambao ni specialists na hata servicemen huwa wana makaratasi yao, sio watu ambao hawajahitimu. Madaktari, engineers walimu hadi na surgeons ambao huwa wanawatibu wasomali ambao walikuwa wamekandamizwa na magaidi kwa muda mrefu.
Ndaguo, hebu soma pumba za huyu long'ui ndio utaelewa kwanini nimemjibu hivyo.Jwtz pia wapo madaktari, engineers na wataalamu wa aina mbalimbali,
Punguza mapovu.
Jeshi lako linaweledi kama china?
Wenzetu wataalam wengi wapo jeshini wewe jeshi lako linajua kushika SMG, MK47 na mizinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mna ushamba mwingi sana nyinyi viumbe. Sasa ni nani amesema kwamba KDF watapima corona wakitumia bunduki? Unaona sifa kutumia kichwa chako kwenye shughuli moja tu ya kubebea meno?
Samiaki tigirai.Ndaguo, hebu soma pumba za huyu long'ui ndio utaelewa kwanini nimemjibu hivyo.
Ha ha ha,mkuu zile wanazokuwekea usoni kupima joto zinaitwa hivyo, thermometer gun,sijasema watapima corona kwa bunduki ,,wewe utakuwa mshamba wa sangamwalugeshaMna ushamba mwingi sana nyinyi viumbe. Sasa ni nani amesema kwamba KDF watapima corona wakitumia bunduki? Unaona sifa kutumia kichwa chako kwenye shughuli moja tu ya kubebea meno?
😂😂😂Kwani nyie mlipokwenda kushughulikia korosho kwa kutumia JWTZ mliambiwa wakulima wana bunduki??
Haya mambo ni ya usalama wa taifa, hiki kitu sio cha kucheka nacho tena....
Nenda pale Namanga ujaribu kuingia humu kihivi hivi uone mziki wake.
Kaemoda pi ene long'ui, mpuusu! [emoji1] Nimepata hilo neno la mwisho? Kimaa nilijifunza mwenyewe, kuongea na kuandika. Kule maeneo jirani na Longidoni. Koree iyee olmorani? Arusha au?Samiaki tigirai.
Does KDF have a lab to test? Nope the only lab that can do that is in SA.Aliyekudanganya hivyo alikubeba malenge sana. Labda wabungua korosho ambao huwa ni madrop out wa darasa la saba. KDF kila mwaka kwenye recruitment yao huwa wanachukua cadets ambao ni specialists na hata servicemen huwa wana makaratasi yao, sio watu ambao hawajahitimu. Madaktari, engineers walimu hadi na surgeons ambao huwa wanawatibu wasomali ambao walikuwa wamekandamizwa na magaidi kwa muda mrefu.Hivi kuna nchi hapa Afrika ambayo ina wataalamu wa virusi vya corona? Kila nchi ipo kwenye mikakati ya kuwafunza wahudumu wa afya. Kuna tatizo lipi KDF wakiwa kwenye frontline? Wakishapewa vifaa waanze kazi.![]()
Nani alikufundisha 😂😂😂Kaemoda pi ene long'ui, mpuusu! [emoji1] Nimepata hilo neno la mwisho? Kimaa nilijifunza mwenyewe, kuongea na kuandika. Kule maeneo jirani na Longidoni. Koree iyee olmorani? Arusha au?
Kenya kwa sasa ina uwezo huo. Kama kawa chuki inakupofusha, ila umenoa, sijui utaambia nini watu we mkikuyu wannabe. Mwanzoni ilikuwa ni nchi mbili tu za Afrika ndio zilikuwa na uwezo wa kufanyia 'testing' sampuli ambazo zinashukiwa kuwa na virusi vya COVID-19(corona). S.Afrika na Senegal, mapema mwezi huu Kenya ilifanikiwa kuwa kati ya nchi zingine kumi za Afrika ambazo zimeweza kuwa na lab, kits na uwezo wa kufanya 'testing' ya virusi hivyo. Bofya hapa ujisomee mwenyewe; https://www.nation.co.ke/news/Kenya...r-coronavirus/1056-5452158-mpdtt9z/index.html Tena kuna lab mbili, za KEMRI(Kenya Medical Research Institute), kumaanisha kwamba wanaweza wakalinganisha 'results' zao ili wawe na uhakika kuhusu uwepo wa virusi hivyo. Endeleeni kutuponda na kutubeza tu, Mungu atuepushe sote ila angalau Kenya tunajaribu.Does KDF have a lab to test? Nope the only lab that can do that is in SA.Just drama
Bravo bravoIwe mpakani, bandarini au kwenye viwanja vyote vya ndege, lazima upitie kwenye mikono ya jeshi letu, safi sana hiki kirusi kinaleta kiama dunia hii, ni muda wa ndugu kwa ndugu kupoteana, baba kwa mwanaye kukimbiana, majirani kuonana wabaya, siku inakaribia utatamani urudi kwenye tumbo la mama yako, haya yalitabiriwa kwenye vitabu vya kidini......
Tulisubiri vita vya tatu vya duni tukidhani vitakua vya kupigana mabomu, lakini kiaina naona kama vinakuja kivingne, Armageddon, muitazame movie ya World War Z
Majirani endeleeni kucheka na nyani muone kama hamtavuna mabua...vihela vya watalii visiwapofushe kwa umaskini.
------------------------
UPDATE: 3:07
The Kenya Defence Forces officers will now take charge of all entry points in the country where they will monitor the screening of passengers getting into the country from other nations.
The officers will, therefore, monitor all airports, maritime ports and every border point in the country.
The communication was made by the Head of Public Service Joseph Kinyua who termed the move as a measure taken to prevent the spread of Coronavirus disease.
https://www.kenyans.co.ke/news/5024...paign=Govt+Sued+Over+Chinese+Flights+to+Kenya
Etii.....mini hahaaaaShida moja kubwa ya jeshi la Kenya ni kukosa nidhamu.
Jeshi la Kenya ni jeshi la vibaka na wakwapuzi.
Badala ya kupima Corona watakuwa wanakagua mifuko ya waathirika ili wapate chochote.
Jeshi hovyo kabisa! Vibaka watupu!
Nilisomea huko shule ya msingi na nimeishi huko pia. Kama kawa walianza kwa kunifunza matusi. Nchabo longu'i, shomo noo nchopirik. 😀 Baada ya hapo mengine yakaja naturally. Olmorani kamili roi, nimekunywa damu moja kwa moja kutoka kwenye shingo hadi na kiloriti nimekula. [emoji1] Tapala roi apaaiya, ukinijaribu, unichokoze au unishtue kwa kutokelezea ghafla napandwa na mori na nakumaliza. Hahaha! [emoji38]Nani alikufundisha Nipo Dsm.