relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Ikiwa kdf imechemka kwa wavaa makobazi labda corona itaiweza,hawaaminikagi hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1] Niwie radhi jombaa, imenibidi nisome kwa mara ya pili ulichoandika. Mimi niliona tu gun kwenye mada hii kuhusu KDF kisha nikaona kwenye avatar yako umeshikilia Konyagi. Basi, nikajijazia kwamba ni mastimu. Thermometer gun nakumbuka zilikuwepo hata wakati ule wa Ebola. Kesho lazima nihame Sangamwalugesha. 😀 Peace bro.Ha ha ha,mkuu zile wanazokuwekea usoni kupima joto zinaitwa hivyo, thermometer gun,sijasema watapima corona kwa bunduki ,,wewe utakuwa mshamba wa sangamwalugesha
Mbona unajaza jaza mambo yasio lenga swali langu? 😂😂 Nimeuliza kama kuna kit maana mara ya mwisho mimi kusikia uwezo wa ku test ni SouthAfrica.Kenya kwa sasa ina uwezo huo. Kama kawa chuki inakupofusha, ila umenoa, sijui utaambia nini watu we mkikuyu wannabe. Mwanzoni ilikuwa ni nchi mbili tu za Afrika ndio zilikuwa na uwezo wa kufanyia 'testing' sampuli ambazo zinashukiwa kuwa na virusi vya COVID-19(corona). S.Afrika na Senegal, mapema mwezi huu Kenya ilifanikiwa kuwa kati ya nchi zingine kumi za Afrika ambazo zimeweza kuwa na lab, kits na uwezo wa kufanya 'testing' ya virusi hivyo. Bofya hapa ujisomee mwenyewe; https://www.nation.co.ke/news/Kenya...r-coronavirus/1056-5452158-mpdtt9z/index.html Tena kuna lab mbili, za KEMRI(Kenya Medical Research Institute), kumaanisha kwamba wanaweza wakalinganisha 'results' zao ili wawe na uhakika kuhusu uwepo wa virusi hivyo. Endeleeni kutuponda na kutubeza tu, Mungu atuepushe sote ila angalau Kenya tunajaribu.
[emoji1][emoji1][emoji1] Niwie radhi jombaa, imenibidi nisome kwa mara ya pili ulichoandika. Mimi niliona tu gun kwenye mada hii kuhusu KDF kisha nikaona kwenye avatar yako umeshikilia Konyagi. Basi, nikajijazia kwamba ni mastimu. Thermometer gun nakumbuka zilikuwepo hata wakati ule wa Ebola. Kesho lazima nihame Sangamwalugesha. 😀 Peace bro.
😎😎😎Mbona unajaza jaza mambo yasio lenga swali langu? Nimeuliza kama kuna kit maana mara ya mwisho mimi kusikia uwezo wa ku test ni SouthAfrica.
Pambaneni na hali yenu..ila mwaka huu wakenya wengi watakufa njaa kuliko korona
https://www.the-star.co.ke/news/202...gets-test-kits-to-send-no-more-samples-to-sa/Does KDF have a lab to test? Nope the only lab that can do that is in SA.Just drama
Sawa sawa 😂😂😂Nilisomea huko shule ya msingi na nimeishi huko pia. Kama kawa walianza kwa kunifunza matusi. Nchabo longu'i, shomo noo nchopirik. 😀 Baada ya hapo mengine yakaja naturally. Olmorani kamili roi, nimekunywa damu moja kwa moja kutoka kwenye shingo hadi na kiloriti nimekula. [emoji1] Tapala roi apaaiya, ukinijaribu, unichokoze au unishtue kwa kutokelezea ghafla napandwa na mori na nakumaliza. Hahaha! [emoji38]
Jamaa mhuni sana huyo, nimejaribu kutafuta Sangamwalugesha kwenye Google Maps nikaikosa kabisa.Huyo Elungata sio baadhi ya waongea ovyoo wa Tanzania, huwa nasoma bango zake, hushirikisha ubongo kabla hajaandika.
Sanga iko meatu,,zamani ikiitwa sangamwalugesha sababu washamba walikua wengi hukoJamaa mhuni sana huyo, nimejaribu kutafuta Sangamwalugesha kwenye Google Maps nikaikosa kabisa.
Wale wanajeshi wezi wanaoiba cheni fake za gold Westgate?Iwe mpakani, bandarini au kwenye viwanja vyote vya ndege, lazima upitie kwenye mikono ya jeshi letu, safi sana hiki kirusi kinaleta kiama dunia hii, ni muda wa ndugu kwa ndugu kupoteana, baba kwa mwanaye kukimbiana, majirani kuonana wabaya, siku inakaribia utatamani urudi kwenye tumbo la mama yako, haya yalitabiriwa kwenye vitabu vya kidini......
Tulisubiri vita vya tatu vya duni tukidhani vitakua vya kupigana mabomu, lakini kiaina naona kama vinakuja kivingne, Armageddon, muitazame movie ya World War Z
Majirani endeleeni kucheka na nyani muone kama hamtavuna mabua...vihela vya watalii visiwapofushe kwa umaskini.
------------------------
UPDATE: 3:07
The Kenya Defence Forces officers will now take charge of all entry points in the country where they will monitor the screening of passengers getting into the country from other nations.
The officers will, therefore, monitor all airports, maritime ports and every border point in the country.
The communication was made by the Head of Public Service Joseph Kinyua who termed the move as a measure taken to prevent the spread of Coronavirus disease.
https://www.kenyans.co.ke/news/5024...paign=Govt+Sued+Over+Chinese+Flights+to+Kenya
Itabidi Tz mtuazime hizo 'modern equipment' kwa moyo wa ujirani, na tiba pia, maanake hata hiyo labda mnayo. Case ya kwanza ya virusi hivyo S.S.Africa imeripotiwa leo hii Nigeria, baada ya zile za awali kule Algeria na Egypt. https://www.bbc.co.uk/news/world-africa-51671834Wale wanajeshi wezi wanaoiba cheni fake za gold Westgate?
Hao hata Mimi nikipita namanga nawanunulia chang'aa wananipa pass bila kunikagua Corona coz hata modern equipment hawana.
Kunya republic. [emoji41][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
The CMMG Mk47 Mutant is an American-made semi-automatic rifle chambered in 7.62×39mm calibre, made by CMMG Inc. It can accept all types of Kalashnikov pattern magazines, including steel, polymer and drum magazinesMK47 no Nini bro? Tanzania mnajipanga vipi?