Jeshi la Kenya KDF lachukua usukani, hakuna kuingia humu bila wao kukukagua Korona

Ha ha ha,mkuu zile wanazokuwekea usoni kupima joto zinaitwa hivyo, thermometer gun,sijasema watapima corona kwa bunduki ,,wewe utakuwa mshamba wa sangamwalugesha
[emoji1][emoji1][emoji1] Niwie radhi jombaa, imenibidi nisome kwa mara ya pili ulichoandika. Mimi niliona tu gun kwenye mada hii kuhusu KDF kisha nikaona kwenye avatar yako umeshikilia Konyagi. Basi, nikajijazia kwamba ni mastimu. Thermometer gun nakumbuka zilikuwepo hata wakati ule wa Ebola. Kesho lazima nihame Sangamwalugesha. πŸ˜€ Peace bro.
 
Mbona unajaza jaza mambo yasio lenga swali langu? πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimeuliza kama kuna kit maana mara ya mwisho mimi kusikia uwezo wa ku test ni SouthAfrica.
Pambaneni na hali yenu..ila mwaka huu wakenya wengi watakufa njaa kuliko korona
 

Huyo Elungata sio baadhi ya waongea ovyoo wa Tanzania, huwa nasoma bango zake, hushirikisha ubongo kabla hajaandika.
 
Mbona unajaza jaza mambo yasio lenga swali langu? Nimeuliza kama kuna kit maana mara ya mwisho mimi kusikia uwezo wa ku test ni SouthAfrica.
Pambaneni na hali yenu..ila mwaka huu wakenya wengi watakufa njaa kuliko korona
😎😎😎
Does KDF have a lab to test? Nope the only lab that can do that is in SA.Just drama
https://www.the-star.co.ke/news/202...gets-test-kits-to-send-no-more-samples-to-sa/
 
Sawa sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wale wanajeshi wezi wanaoiba cheni fake za gold Westgate?

Hao hata Mimi nikipita namanga nawanunulia chang'aa wananipa pass bila kunikagua Corona coz hata modern equipment hawana.

Kunya republic. [emoji41][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi Tz mtuazime hizo 'modern equipment' kwa moyo wa ujirani, na tiba pia, maanake hata hiyo labda mnayo. Case ya kwanza ya virusi hivyo S.S.Africa imeripotiwa leo hii Nigeria, baada ya zile za awali kule Algeria na Egypt. https://www.bbc.co.uk/news/world-africa-51671834
 
MK47 no Nini bro? Tanzania mnajipanga vipi?
The CMMG Mk47 Mutant is an American-made semi-automatic rifle chambered in 7.62Γ—39mm calibre, made by CMMG Inc. It can accept all types of Kalashnikov pattern magazines, including steel, polymer and drum magazines
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…