Jeshi la Kenya ladumisha uongozi wake Afrika Mashariki na Kati

Zile tanks ni za nchi flani,ngoja nikakuletee ripoti, zilizokuja hapo kwenye fukwe lenu ufanya zoezi,wacha kutuchukulia watoto.
Jaribu kuwa na kaaibu kidogo angalau wakati mwingine unaposema uongo.
Yaani mazo yako madogo sana. Haya leta hiyo report tuione.

Vilevile jeshi lenu linaitwa Kenya Defence Force KDF yaani kikundi cha watu fulani tu.
Wakati sisi letu linaitwa Tanzania People's Defence Force yaani ni jeshi la wananchi. Huoni tofauti ya ideologies hapo!?
 
Wikipedia?.....seriously?...hujaachanga huu uboya?..haha!
Angalia sasa ulivyo na akili ndogo kama za kunguni. Yaani kwa mawazo yako nikuletee kita physical online.
Nimekupa hiyo link japo upate idea uweze kujifunza na kufanya utafiti wako binafsi kuhusu African Socialism
 
Wikipedia ndio VITABU?..hahhaha
Soma mambo dogo. Nakuhakikishia huna uwezo wa ku argue na mimi. Uzuri wangu huwa naenda na references huwa sikurupuki.

Nakusubiri uniletee hiyo report uliyoahidi kuhusu Tanks za jeshi letu tukufu.
 
Yaani mazo yako madogo sana. Haya leta hiyo report tuione.

Vilevile jeshi lenu linaitwa Kenya Defence Force KDF yaani kikundi cha watu fulani tu.
Wakati sisi letu linaitwa Tanzania People's Defence Force yaani ni jeshi la wananchi. Huoni tofauti ya ideologies hapo!?

Nyie mna DEMOKRASIA IPI?..hahahh,husinifanye nicheke...Umewahi sikia Jeshi la Uingereza likiwa na jina "people".ama hata Marekani?..ama India lilio demokrasia kubwa duniani?....mmeliweka PEOPLES kama baba lenyu katili mkomunisti China ili muonekane nany mpo katika demokrasia lakini wapi?.UZURI WA MKAKASI NDANI KIPANDE CHA MTI....sufuri ,tupu, mna DIKTETA wote tunamjua kila siku hutoa AMRI na chama kimoja tangu jadi.
 
Naona povu limeanza kukutoka. Hujui kuwa Tanzania ni sovereign state!?

Wewe unaongea saaana tena unaongea kwa mihemko. Mimi nakupa taarifa za uhakika. Kati ya Tanzania na Kenya unaweza ukaleta ushahidi kuonesha kenya ni more democratic than Tanzania!?

Nyie uchaguzi wa Rais mmeanza mwaka 2002 tangu nchi yenu ipate uhuru.
Tanzania imekuwa na utaratibu hio miaka na miaka.
Nchi yenu inaongozwa na elites wale wale na familia zao. Na most of them ni Kikuyus.
Mfano: Jommo kenyatta kikuyu
Mwai kibaki kikuyu
Uhuru kenyata kikuyu.

Democrasia ipi waisema?
 
Nyie mna DEMOKRASIA IPI?..hahahh,husinifanye nicheke...Umewahi sikia Jeshi la Uingereza likiwa na jina "people".ama hata Marekani?..ama India lilio demokrasia kubwa duniani?....mmeliweka PEOPLES kama baba lenyu katili mkomunisti China ili muonekane nany mpo katika demokrasia lakini wapi?.UZURI WA MKAKASI NDANI KIPANDE CHA MTI....sufuri ,tupu, mna DIKTETA wote tunamjua kila siku hutoa AMRI na chama kimoja tangu jadi.
Nakushauri kama huna information za uhakika ni vyema ukakaa kimya ninaweza kukutoa povu na baadae ukaabika hapa.
 
Back
Top Bottom