MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #81
Duh, hivi huwa mnareason vizuri kweli?
Do u really think USA can't stop terrorism?
Hata hao alshabab mnachezewa tu Akili zenu. Poor you !
Ugaidi hauwezi kumalizwa kihivi hivi, maana ni vita vya kiitikadi na vinahusu watu wa kujitoa mhanga. Hadi Marekani amefikia kwenye hatua za kuwazuia watu kutokea mataifa fulani wasiingie kwake, maana adui kwenye vita hivi ni huyo mliyeketi naye hapo, hana sare wala chochote cha kumtambulisha, ila akizidiwa na uzombi analipuka, japo kwenu huwa mnawaita eti 'majambazi wa Mkuranga'.
Mrusi amerusha hadi ICBM lakini wapi, Marekani akalipua MOAB lakini mazombi yanaptea tu, sasa Mwahili kanyamba nyamba wa Dar ndio utafanya nini na magobole yenu hayo.