Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Jeshi la nchi ya Congo DR limeonyesha uborekaji wa hali ya juu kwasasa . tangu waasi wa M23 wafanikiwe kutwaa mjii wa mpaka wa Bunagana nimekua nikifuatilia kwakaribu sana mapigano ya kila siku ya vita hii.
Mwazoni ni kama Jeshi lilishitukizwa na mashambulio lakini baada ya wiki mbilijeshi limeweza kusimamisha jitihada za waasi kusonga mbele
Kubwa zaidi ambalo FARDC wameonesha tofauti ni kuweza kuwachambua viongozi wa M23 na kuwashambulia mahususi kupoteza cordination ya waasi.
Juzi ililipotia kifo cha kamanda wa pili wa juu ya M23 (col Yusuph Mboneza) alishambuliwa katika mapigano na kuuwawa, aidha juzi hiyo hiyo ikalipotia kamanda mkuu wa M23Bw Bri Gen Sultan Makenga ameshambulia na kujeruhiwa vibaya.
Leo tarehe 29 june 2022 imeripotiwa tena kuwa asikari wa Rwanda waliokua ndani ya kikoasi cha m23 wameuwawa kwa wingi na mmoja wao akiwa asikari wa cheo cha juu cha luteni kanali akiiwa Col Davidi Kiiza.
Huko Rutchuru wameuawa asikari wengi wa M23 wakiwa na Uniform za Rwanda