Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Khabari njema hii; walah: mwisho wa Falme za KAGAME unwadia kwa kasi ya sautiHuko Rutchuru wameuawa asikari wengi wa M23 wakiwa na Uniform za Rwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khabari njema hii; walah: mwisho wa Falme za KAGAME unwadia kwa kasi ya sautiHuko Rutchuru wameuawa asikari wengi wa M23 wakiwa na Uniform za Rwanda
Hawa uliowaita wanauhusianao na CHIGALI??????????????????Mafanikio makubwa Sana haya kwa Fardc, wajitahidi kukomboa maeneo yanayoshikiliwa na hao wavamizi na mamluki wa nchi jirani.
@mtu chake @zitto junior @Moronight walker @Bukyanagandi
Jeshi la nchi ya Congo DR limeonyesha uborekaji wa hali ya juu kwasasa . tangu waasi wa M23 wafanikiwe kutwaa mjii wa mpaka wa Bunagana nimekua nikifuatilia kwakaribu sana mapigano ya kila siku ya vita hii.
Mwazoni ni kama Jeshi lilishitukizwa na mashambulio lakini baada ya wiki mbilijeshi limeweza kusimamisha jitihada za waasi kusonga mbele
Kubwa zaidi ambalo FARDC wameonesha tofauti ni kuweza kuwachambua viongozi wa M23 na kuwashambulia mahususi kupoteza cordination ya waasi.
Juzi ililipotia kifo cha kamanda wa pili wa juu ya M23 (col Yusuph Mboneza) alishambuliwa katika mapigano na kuuwawa, aidha juzi hiyo hiyo ikalipotia kamanda mkuu wa M23Bw Bri Gen Sultan Makenga ameshambulia na kujeruhiwa vibaya.
Leo tarehe 29 june 2022 imeripotiwa tena kuwa asikari wa Rwanda waliokua ndani ya kikoasi cha m23 wameuwawa kwa wingi na mmoja wao akiwa asikari wa cheo cha juu cha luteni kanali akiiwa Col Davidi Kiiza.
Huko Rutchuru wameuawa asikari wengi wa M23 wakiwa na Uniform za Rwanda
Jeshi la kijinga sana, hawatambui nafasi yao ni ipi ndani ya Taifa. Kuna clip ilirushwa humu kuna kanali wa Kongo alipata jeraha dogo mguuni, eti ameshikwa mabegani kulia na kushoto anasaidiwa kutembea. Tena anajiburuza huku anatabasamu kabisa.[emoji1][emoji1][emoji1] eti Jeshi la Congo Ni la 8 kwa ubora wa Africa,linaweza kupigwa hata na jeshi la sungusungu wa kitaa.
Toka wale akina Brigedia Mwakibolwa walivyoenda Congo, huyu jamaa alihusishwa sana na kufa ila bado anaendelea na kazi.M23 leader Gen sultan Makenga Emmanuel with spox Maj Willy Ngoma today .
After rumours of his death in recent battles View attachment 2277269
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
drc ni wapuuzi kabisa. wana raia zaidi ya 80mil, rwanda in 6mil na ni kubwa kama mkoa wa Tanga (26,000sqkm). wangeacha kuconcentrate na kujibizana na M23 wakajigawa kundi kubwa likaanzisha vita ya nguvu ya kushtukiza rwanda na wasisikilize cha mmarekani wala UN wala AU wala ye yote..Wakaze Waache Upuuzi
linchi lina Kila kitu linateswa na Rwanda Upuuzi mtupu
Hakuna jipya zaidi ya waasi kuondoka.Tusubiri tuone kikosi cha EAC kitaleta jipya gani huko Kivu.
Hahaha acha utani mkuuAisee dunia simama huyu Kiiza ninamfaham personal
Mambo hayapo rahisi hivyo mkuu. Labda wajikusanye wanunue MRLS za maana, watenge mabilioni kadhaa wanunue missiles nzito nzito kisha wakinukishe ila kuingia kwa mguu wakongo hawawezi, ni jeshi lililojaa genge la wahuni, tena walau kidoogo miaka ya hivi karibuni.drc ni wapuuzi kabisa. wana raia zaidi ya 80mil, rwanda in 6mil ni ni kubwa kama mkoa wa Tanga (26,000sqkm). wangeacha kuconcentrate na kujibizana na M23 wakajigawa kundi kubwa likaanzisha vita ya nguvu ya kushtukiza rwanda na wasisikilize cha mmarekani wala UN wala AU wala ye yote..
Uko sahihi. lakini kwa hali ilivyofikia, hata wakiingia rwanda na smg au AK47 wakafanya asault ya hata saa moja na wakaitangazia dunia kuwa ni kwa sababu ya uovu wa rwanda kupitia m23, watakuwa wamemfikishia ujumbe kagame. Baada ya hata waanze kulipua rwanda kwa makombora ya masafa.Mambo hayapo rahisi hivyo mkuu. Labda wajikusanye wanunue MRLS za maana, watenge mabilioni kadhaa wanunue missiles nzito nzito kisha wakinukishe ila kuingia kwa mguu wakongo hawawezi, ni jeshi lililojaa genge la wahuni, tena walau kidoogo miaka ya hivi karibuni.
Dawa ni kuponda kichwa na walamba asali na sio Kuuwa watu Wasio na hatiUko sahihi. lakini kwa hali ilivyofikia, hata wakiingia rwanda na smg au AK47 wakafanya asault ya hata saa moja na wakaitangazia dunia kuwa ni kwa sababu ya uovu wa rwanda kupitia m23, watakuwa wamemfikishia ujumbe kagame. Baada ya hata waanze kulipua rwanda kwa makombora ya masafa.
kumbuka rwand ani ndogo sana. milipuko miwili tu kanchi kote katatetemeka, watu hawatalala
Kila nchi ina mabaya yake. Mbona hapa TZ watu wamewahi chota fedha kwenye viroba? Ufisadi ni wa kutisha. Hata sisi tunateseka sana na huu ufisadi.Ningekuwa Rais wa Congo, ninge vamia Rwanda kwanza ili kuleta amani ya kudumu Congo! Ila kwa kuwa Wakongo wenyewe hawajaluona hilo watateseka sana
Wanajeshi gan hao? Mbna km Wanafunzi wa 4m 6 JKT kwa mujibu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajeshi wa Rwanda wanauwawa kwa wingi wengine xnx na kukimbia wanaacha vifaa vya jeshi vyenye log ya jeshi lao. Sasa hakuna utata tena kua M23 ni RDF
View attachment 2278884View attachment 2278885View attachment 2278886
Wanashindwa nn kumuua km wanaweza?Congo haiwezi kuwa na amani bila PAKA kufa.
Ajajaa 18 bado, ngoja aendelee kuukimbiza upepoWanashindwa nn kumuua km wanaweza?