Jeshi la Kongo DRC sasa linaweza kuidhibiti M23 na majirani wabaya

Jeshi la Kongo DRC sasa linaweza kuidhibiti M23 na majirani wabaya

Toka wale akina Brigedia Mwakibolwa walivyoenda Congo, huyu jamaa alihusishwa sana na kufa ila bado anaendelea na kazi.

Inaonekana huyu ni askar haswa.
Huyo jamaa kapigana rwanda civil war 1990 -1994 , kapigana first and second congo war 1996-2002 , na bado yupo mpaka leo, anauzoefu wa mapigano.
 
Hakuna jipya zaidi ya waasi kuondoka.

Kipindi cha JK, hawa M23 walikuwa kama 600 kwa idadi ila walileta balaa zito. M23 wala sio wengi sana sababu Rwanda sio nchi tajiri kuweza kuwagharamia.

M23 ina silaha nzuri kwa sehemu sababu zinatoka Rwanda, ukijumrisha na mafunzo walopokea jeshini Rwanda ndo ikawa fimbo kwa Congo. Jeshi la Congo nidhamu hakuna kabisa, hata JKT ya kwetu ikipewa silaha inainyoosha vizuri tu Congo.

Kwahiyo Idadi yao kuwa chache, silaha pia walikuwa nazo kwa sehemu, ikapelekea SADC kuunda kikosi kipana zaidi kuelekea vita ile. SADC ikatoa Brigade moja, askari wasiopungua 3,000 wakipewa baraka zote na UN pia, wakaenda Goma. M23 hawakuweza kutumia silaha kali zaidi kwani ingezidi kudhihirisha wanapewa msaada na Kagame na kumbuka kipindi hiko Kagame ndo alikuwa mshukiwa namba 1 kufadhili genge hilo, mpaka UN ikamtaja Kagame ndio anawafadhili jamaa hao.

Sasa hapo endapo EAC ikaunda majeshi yake kwa idadi kubwa kama ya kwanza na silaha pia. M23 watakimbia kama walivyokimbia mara ya kwanza. Kipindi kile walipoona vita imekuwa ni nzito, hasa mizinga iliyokuwa inapigwa na JWTZ wakaamua waachie Goma, hasa ule mlima waliougeuza kuwa ngome yao. Hawapendi kufa, wanapoona wamezidiwa huwa wanakimbia, idadi ya vifo kwao sio kubwa sana, hawataki kufa sababu wakifa wanajua wanatia hasara kwa serikal ya kwao Rwanda.
Mkuu hapo mwanza sio kweli m23 kipindi cha jk walikuwa wengi sana kumbuka m23 kipindi kile kilitengenezwa na Rwanda pamoja na rafiki yake uganda m23 ya jk walikuwa , zaidi ya askari 5000, hao tena Wales waliokuwa front line ukiachana na waliokuwa nyuma, sio kweli kwamba walikuwa 600, hapana,
Maana Tanzania tulipeleka askari 5000.
Na m23 walikufa zaidi ya askari 1200+
 
M23 ya jk walikuwa wengi tena wengi sana sio kweli kwamba askari wa m23 askari 600 walishinde jeshi la congo wenye askari zaidi ya 20,000.
M23 walikuwa wengi sana bro tena wengi sana tuu bro.
 
Back
Top Bottom