Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Wamewaonea tuu, hakuna vipimo vya kujua nani ni shoga, kujua mtu ni shoga lazima mtu akubali yeye ni shoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzetu unapimwa kinyesi,,Wamewaonea tuu, hakuna vipimo vya kujua nani ni shoga, kujua mtu ni shoga lazima mtu akubali yeye ni shoga
Watapigwa had wapate kichaa🤣🤣Wale jamaa wanaotetea haki za binadamu humu JF wameiona hii habari? Inatakiwa waende huko Ilamba wakamuone Mkuu wa wilaya na huyo Kanali wa JKT; wakawaelezee kuwa wasiwache hao "Mashoga" - sababu haki za binadamu haziruhusu. Wasiwe tu wanatetea haki za binadamu kupitia keyboard tu; waende Ilamba "physically" wakawatetee....
Kwa hiyo Dr hajui bawasiri ila wewe ndo unaijuaSitetei ushoga ila hii nchi ina watu wenye imani za hovyohovyo sana.
Mwanasiasa anajiona na yeye ni daktari.
Kuna wengine masikini wana matatizo ya bawasiri, ikitokea kwenye ukaguzi kama huo iwe ni jeshini au jela na yeye moja kwa moja anaingizwa kwenye hilo fungu l
Siwafikirii hao nane ambao wanahisiwa ni mashogaMkuu wa wilaya ya Iramba Selemani Mwenda amesema vijana hao nane kati ya thelathini waliyokosa sifa ya kujiunga na mafunzo ya JKT ni kutokana na vipimo kubaini kwamba wanajihusisha na vitendo vya ushoga.
Kijana mmoja alioneka akikimbia kwa kukata viuno na jinsi alivyokuwa akiweka mikono na vidole vyake ikaweka hali ya kutiliwa mashaka kuwa huenda anajihusisha na vitendo vya ushoga, alisema Kamanda Kanali wa JKT.
View attachment 2410072
Kwa hyo ni busara wao wanavyofirwa?Angesema tu hawana sifa kusema wanajihusisha na vitendo vya ushoga si busara.
Hicho kipimo nmekisema humu naona wadau wanashangaa ndy nn hiyoNikishashuhudia interview ya jkt hatua ya awali ,,
Ni mtihani mtupu.
-- kuvuliwa nguo.
--inama geuka.
Huu ni udhalilishaji haswa Kwa Dunia ya Leo ya technology.
Wenzetu unapimwa kinyesi chako na kukifanyia analysis.
Hivi utajisikiaje? Mwanaume mwenzio aliyekuchungulia tundu kwenye ukaguzi ,,
Halafu baadae akununulie soda na chips.
Huo sio ndy mwanzo wa ugomvi.
Na no. Zao za sim pia msisahau ili tuwapigie tuwafanyie maombi waacheushoga hauruhusiwi ki utu na hata kijamii wewe ulitaka leo tuwe proud kwa jeshi letu kuwa na idadi fulani ya mashoga?
na unajua nguvu na muda gani ulotumika kujenga heshima iliyokuwepo leo katika jeshi letu?
Hujiulizi why miaka yote watu wanarudishwa sababu hizo hizo za miili kutokuwa sawa ila sasa hivi imetangazwa?
ni kwamba hali kwa sasa inatisha janga la ushoga linaangamiza vijana ni wakati wa jamii ilostaarabika tupinge huu ushetani live na syo vyumbani tutapaza sauti zetu mpaka na next time hatutatoa idadi bali majina na sura zao kabisa ili iwe fundisho kwa vizazi kuwa jeshini vitendo vya ushoga ni marufuku.
Mimi huwa nafurahi sana vijana kuwa hivyo ili mbususu zipatikane kwa wingiVijana 8 kati ya 30 inamaana karibia 27% ikimaanisha kwenye wanaume 100, 27 ni mashoga. Tuombe sana isee Hali ni mbaya .
Kwenye zile data za sensa tutoe 27% ya mashoga ndio tupate idada ya wanaume Tanzania.
Wanatokea pwani wanakimbilia mikoa ya watu maana hakuna wanaomjua huko mikoaniTusisahau kitu hapo, hao vijana mchele mchele wanatokea mkoani. Kuna siku nilikuwa namwambia mtu kuwa mashoga wengi wapo mikoani hasa Iringa na Arusha akakataa kabisa yeye akabaki kuitaja Tanga na Pwani.
Nadhani ataufikiria upya mtazamo wake. Ukitaka kufahamu wingi wa mashoga na ushoga fanya utafiti kwenye mtandao wa facebook, utashangaa shoga yupo kijijini sana hadi utajiuliza maswali amekuwajeshoga, kipi kimemshawishi?.
Tatizo ni hatutaki kufanya tafiti za hili tatizo na hatutaki kulijadili kwa kisingizio cha ukijadili unauchochea. Kumbe sivyo ni lazima tuifahamu jamii yetu inaelekea wapi.
Waahahitaji kuhubiriwa habari njema sio kutengwa na kukataliwa. Huji aliingiaje kwenye ushoga. Wengine walibakwa wakiwa watoto na kuzoea. InUshoga ni roho ya shetani, ni moja ya uovu ulioiangamiza sodoma na gomora, ole wa kizazi hiki, maana hukumu ipo karibu,
Warumi 1:23
wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
Warumi 1:24
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
Warumi 1:25
Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
Warumi 1:26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
Warumi 1:27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
Warumi 1:28
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Warumi 1:29
Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
Warumi 1:30
wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
Warumi 1:31
wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
Warumi 1:32
ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
Hili si kweli ni nadharia tu imejengekaWanatokea pwani wanakimbilia mikoa ya watu maana hakuna wanaomjua huko mikoani
Dah, Mungu atusaidie kwa kweli. Yaani baba umepambana kulea ukijua ni kidume alafu anakuja wa namna hii? Inauma sana, Mungu atusaidie kwa kweli.
Na ya kwako pia ni nadharia vile vile maana mashoga wapo tanzania nzimaHili si kweli ni nadharia tu imejengeka