Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Siku moja baada ya Israel kumuua kiongozi wa Hizbullah, Hassan Nasrallah jeshi la nchi hiyo limekuja juu na kutoa matamko ya kuwahamasisha raia kujiandaa kwa vita na Israel.
Katika tamko lake hilo jeshi limewataka wananchi kuhifadhi vyakula na matumizi ya lazima na kuwa wamoja kuliko muda wowote ule wakati jeshi ovu la Israel likiazimia kuingiza vikosi vyake nchini humo.
Kwa upande wa wanachi wamesikika wakisema hata wakipigwa namna gani hawataondoka na hawatarudi nyuma kuitetea nchi na miji yao.
China nayo imesema vita vinavyoendelea Lebanon ni muendelezo wa vita vilivyoanza Gaza na kwamba nchi hiyo inaiunga mkono Lebanon katika kulinda heshima ya nchi yao.
Aljazeera live