Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu waliathirika na movies za akina Anold shwazniger na Rambo wakajua ndo Makomando wa Marekani kumbe wapiJeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
kipindi nipo shule ya msingi Nilipoteza pesa zangu nyingi makando bar kuangalia hizi movies kama za rambo, maiko dudikoff, komando kipensi, Anold na movies za kivietnamu sana. Lakini nikaja kugundua kila movi ya kivita zote yani nilizo angalia unakuta rambo kazidiwa sana au maiko dudikoff kazidiwa sana na wavietnam unajua kabisa hapa anakufa ghafla inatokea ndege inauwa maadui wote. Na rambo anakuwa kaokolewa sasa nikawa najiuliza kama rambo kaokolewa inamaanisha yule rubani wa ndege ya kijeshi ndiyo stelingi mwenyewe lakini humjui. Ila wamarekani noma sanaa nakubali ni wajanja sanaWatu waliathirika na movies za akina Anold shwazniger na Rambo wakajua ndo Makomando wa Marekani kumbe wapi
Mimi sipo upande wa Russia wala sipo upande wa yukrein ila sipendi vita wala sipendi mtu afe bure kabisa wakati mda wake haujafika wala sipendi kusikia vita.Ndo sababu Russia kapoteza
Urusi najua alitumia wataalamu kutoka France.Ndivyo yalivyo mataifa kama hao China na Asia wataalamu walitoka US kwenda China kuwafanyia mapinduzi ya kiuchumi, uchumi wa viwanda, silaha na kila kitu, Taiwan kote huko wamepewa technologia na mnyama hata Urusi uchumi wao walisaidiwa na Western countries ndio akawa na kiburi ndio mana sasa mirija ya kiuchumi wameikata Urusi inaenda kuanguka gesi yake ataenda kuuza Uganda na India
Marekani amewabonda Mexico mara nyingi sana vita vya mpakani mpaka mwaka 1919 hadi iliposainiwa Versailles Peace Treaty baada ya WWI ndio ikapatikana amana ya kudumu mpaka leo.Marekani iliwai kushinda kwenye Mexican War (1846-1848). Ilikuwa ni vita kati yake na Mexico ya leo.
Cc: Yoda