BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Ety wamarekani wa buza kiko wapi sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisema hivi utakosea.Fuatilia technolojia China waliipatia kutoka wapi?
Tumia akili,sio unapayuka payuka tu kufurahisha genge!Wagner Group ndio walikuwa front line Bakhmut wakaishiwa ammunitions wakatishia kuachia position bt boss wao akaweka mambo sawa ila vita vya ukraine ni proxy war against Russia kinachofanyika hapo ni kuimaliza nguvu Russia waishiwe silaha alafu Marekani aje amalizie mzoga kama kawaida yake
hakuna utawala wa kibinadamu usiokuwa na mwisho ....utawala wa muumba ndio wa milele...full stop kaa kwa kutulia ........Sijui umeshiba maharage ya wap ww unaropoka tu.. anyway lakin wanaongoza Dunia.tuishie hapo!!!
Kama mtu anakupa pesa na silaha hiyo si proxy war? Akili gani unazungumzia Mkuu?Tumia akili,sio unapayuka payuka tu kufurahisha genge!
Unadhani USA Yuko tayari Kwa kupigana vita ya nuclear?Ukilijua Hilo basi utajua kuwa ulichoandika ni pumba!
IlSijui umeshiba maharage ya wap ww unaropoka tu.. anyway lakin wanaongoza Dunia.tuishie hapo!!!
Dunia ipi mkuu wale wataongoza bahari na anga ila nchi kavu sahau.Sijui umeshiba maharage ya wap ww unaropoka tu.. anyway lakin wanaongoza Dunia.tuishie hapo!!!
Hizo proxy war baina ya US na Russia zimetokea kwenye migogoro mingi tu!Wala sio jambo geni na kinachofanyika Ukraine!Kama mtu anakupa pesa na silaha hiyo si proxy war? Akili gani unazungumzia Mkuu?
Proxy war ni nini?Hizo proxy war baina ya US na Russia zimetokea kwenye migogoro mingi tu!Wala sio jambo geni na kinachofanyika Ukraine!
Labda utueleze,unamaanisha Nini kusema US anasubiri Russia adhoofu aje ammalizie?Au unamaanisha US ataingia front kumpiga Russia?Je,US Yuko tayari kupigana vita ya nuclear for the sake of Ukraine?
Tafakari kabla ya kuandika unless unafurahisha genge tu!
Google!Proxy war ni nini?
Sasa elimu ya sayansi imetoka Asia kwanini Asia wanaitegemea US? Zanzibar wanazalisha mashada ya karafuu unataka kunambia hawanunui products za karafuu zilizosarifiwa toka nje, kwanini hawasarifu wenyewe??Ukisema hivi utakosea.
Marekani nae katoa elimu ya sayansi Ulaya, Egypt na Asia.
Kwani Algebra zimetokea wapi kama siyo Ghuba ya Uajemi?
Utatengeneza mitambo mingi au vifaa vya kielektroniki bila kutumia hesabu za Algebra?
ni kweli Kila utawala una mwisho wake but utawala wa marekani mwisho wake ni Yesu atakaporudi..hvo bado wapo wapo sana!!hakuna utawala wa kibinadamu usiokuwa na mwisho ....utawala wa muumba ndio wa milele...full stop kaa kwa kutulia ........
us mwisho wake umefika..
Yesu alisharud kitamboni kweli Kila utawala una mwisho wake but utawala wa marekani mwisho wake ni Yesu atakaporudi..hvo bado wapo wapo sana!!
Ndivyo nchi ambavyo nazo haziwezi kukwepa uhitajiH
Hiyo sio sababu ya mimi kuwapenda wamarekani
Unaliwa tigo wewe dogoJeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Naomba connection ya anayekuuzia mibangiJeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
USA on top of the world.hakuna utawala wa kibinadamu usiokuwa na mwisho ....utawala wa muumba ndio wa milele...full stop kaa kwa kutulia ........
us mwisho wake umefika..
Zanzibar kama yalivyo mataifa mengine duniani, ni wahanga wa uwezo mdogo wa kufikiri.Sasa elimu ya sayansi imetoka Asia kwanini Asia wanaitegemea US? Zanzibar wanazalisha mashada ya karafuu unataka kunambia hawanunui products za karafuu zilizosarifiwa toka nje, kwanini hawasarifu wenyewe??
Ndivyo yalivyo mataifa kama hao China na Asia wataalamu walitoka US kwenda China kuwafanyia mapinduzi ya kiuchumi, uchumi wa viwanda, silaha na kila kitu, Taiwan kote huko wamepewa technologia na mnyama hata Urusi uchumi wao walisaidiwa na Western countries ndio akawa na kiburi ndio mana sasa mirija ya kiuchumi wameikata Urusi inaenda kuanguka gesi yake ataenda kuuza Uganda na IndiaZanzibar kama yalivyo mataifa mengine duniani, ni wahanga wa uwezo mdogo wa kufikiri.
IlSijui umeshiba maharage ya wap ww unaropoka tu.. anyway lakin wanaongoza Dunia.tuishie hapo!!!
Dunia ipi mkuu wale wataongoza bahari na anga ila nchi kavu sahau.Sijui umeshiba maharage ya wap ww unaropoka tu.. anyway lakin wanaongoza Dunia.tuishie hapo!!!
US wapo desperate sana kama mnyama aliye jeruhiwa wana poteza infuence kila sikuHizo proxy war baina ya US na Russia zimetokea kwenye migogoro mingi tu!Wala sio jambo geni na kinachofanyika Ukraine!
Labda utueleze,unamaanisha Nini kusema US anasubiri Russia adhoofu aje ammalizie?Au unamaanisha US ataingia front kumpiga Russia?Je,US Yuko tayari kupigana vita ya nuclear for the sake of Ukraine?
Tafakari kabla ya kuandika unless unafurahisha genge tu!
Wewe agent tuu assetNaomba connection ya anayekuuzia mibangi