Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Amka usije jikojolea Bure!!
 
Amka usije jikojolea Bure!!
Sikia wewe uliye lala dunia inajuwa na wewe ni zamu yako kujua. Marekani wanatawala bahari na anga ndio mana kupitia jeshi lao wanaweza kuweka vikwazo nchi yoyote waitakayo. Ila kwa kuwa Mungu hakupi vyote vita vya ardhini Marekani mtupu sana ukilinganisha na JWTZ ambao vita vya ardhini tupo juu sana. Nipe vita ambavyo Marekani kashinda
 
JWTZ bado sana kam talebani waliweza kupelekana na marekeni sas jwtz???
Taleban waliweza kwasababu Marekani udhaifu wao hawawezi vita vya muda mrefu na pia Marekani vita vya ardhini hawawezi wanategemea technologia ya anga na baharini. Wakija ardhini wanakaa tuu
 
Mnajua hizi stori zenu mnazodanganyana redio imani? Sio mnakuja kutuletea uzi za hovyo huku jf
.
20230322_121857.jpg
 
Kuna watu mambo ya duniani yamewapita kushoto yaani mpaka Leo unaamini taleban imewakimbiza marekani[emoji848].

Watu wamekamilisha mission zao kwa kutokomeza magaidi, kumuua Osama na wkt wanaondoka wameenda kwa Amani tu bila shuruti huku talebani wakibeba mabegi ya wageni wakiwasindikiza uwanja wa ndege halafu leo unasema usa ameshindwa vita na taleban.

Usa wapo makini sn mkuu.
hii mijitu ya hovyo ikiambiwa na marekan fulani mbaya nayo inapokea hivyo hivyo ni mbaya
kwa hiyo wew upo zako huko MPANDA katavi unaleta habari zako za afughan stan kuna magaidi kama mlivyo ambiwa na hao marekan wenu sijui russia
dah.!
 
Hizo programu za kijasusi za karatasi au nato ni kundi la waoga jwtz walivyo mpiga idd amini alishirikiana na nani au alisimama kiume mwenyewe hao nato ni taasisi ya waoga wasiojua vita wanajificha nyuma ya technologia

Wangekuwa majasusi kweli

Programu gani wewe ya kijasusi mambo ya movie usilete kwenye uhalisia wewe unajua aibu Marekani aliyopata pale Afghanistan kukimbia na kuacha mali na vifaa vya kijeshi grade one na pesa mamilioni ya dola niambie huo ujasusi imeisaidia Marekani kushinda vita gani. Na pia nato yote muungano wa nchi karibu 29 ni jumuia ya waoga tuu usilinganishe na JWTZ

Mfano juzi Trump mwenyewe kawaambia kuwa nchi inaishiwa ammunition kuusaidia ukraine sasa ujasusi gani usiozingatia amount of amory in the stock.
Na dollar inaseleleka,hili hawakuliona?

Kinachoniacha mie mdomo wazi,S.Korea ni mshirika mkubwa wa USA,Kwa Nini waachane na dollar?
20230504_191957.jpg
 
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Alisikika Mrusi wa Manzese.
 
Urusi kakimbia Bakhmut
Wagner Group ndio walikuwa front line Bakhmut wakaishiwa ammunitions wakatishia kuachia position bt boss wao akaweka mambo sawa ila vita vya ukraine ni proxy war against Russia kinachofanyika hapo ni kuimaliza nguvu Russia waishiwe silaha alafu Marekani aje amalizie mzoga kama kawaida yake
 
Hayo ni maoni yako wewe muhimu Russia amerudishwa nyuma
 
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.

Hujaandika why and how, no technical details, no tacticts, nothing yaani. Rudi kasome upya
 
Kuna vita ambayo Marekani kapigana kashinda? Mimi sipo hapa kufundisha weakness, tactics wala nini nipo hapa kuleta hoja tuu. Unaweza ukawa na silaha nyingi lakini mbinu huna.

Swali ni moja ushawahi kuskia Marekani kapigana akashinda vita peke yake bila msaada wa nato? Mfano kama vietnam war nk
 
Unachouliza ni history, unataka hoja yako iwe mashiko? Lazima uweke hivyo vitu, hamaanishi unafundisha vita nope, bali una shed light of why and how ni overrated. Otherwise unauliza mawaswali mepesi sana, go deep bro
 
Unanitoa kwenye mada mkuu. Na wewe weka hoja ukisema kwamba Marekani kashinda vita dhidi ya nchi gani superiority ya Marekani inashuka kwa kasi sana
 
Kuijua marekani kuna hitaji kutuliza akili yako nasio kuongozwa na mahaba na hisia zako mwenyewe za kile ulichokiona na kutoa hukumu kwamba jeshi lao Mara liko hivi Mara liko vile, hayo ni mambo ya kawaida tu Wala yasikuchanganye.

Bali unachopaswa kufahamu ni kujua yaliyo nyuma ya pazia kuhusu taifa la marekani, hapo ndio unakutana na invisible government, ambapo mipango yao niya mda mrefu na Yale ambayo wamesha yatekeleza, yanatugusa na kutuumiza sote duniani.
 
Back
Top Bottom