Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

Ulipokuja kusema kuhusu jwtz apo ndo sijakubaliana na wewe,ni kweli taliban,vietcong n.k wote walikua na morali na utayari wa kujitoa kupambania nchi zao ndio maana walishinda,wanajeshi wengi wa US hawakua na utayar kabisa na izo vita
Sio kwamba hawakuwa tayari vita ni strategy na sio mavifaa mbona al Shabaab hawana vifaa na Marekani kashindwa
 
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
duh! nimekimbilia kusoma nilijua kuna cha maana kumbe ni hisia zako
 
Hizi sio hisia ni facts embu niambie Marekani kashinda vita mara ya mwisho lini embu niambie ni lini Marekani kapigana vita bila msaada wa nato na Uingereza?
Marekani ni military industries complex ili dola iwe na nguvu lazima watumie vita ndio siri ya uchumi wao fake.
 
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Maneno mengi kumbe hata huna ufahamu wowote ule juu ya aina tofauti za vita?!!mi huwa nasema hata kama huipendi US,ni kujizima data tu.
 
Kwani kama wewe unaipenda US lazima na mimi niipende? Nipe ufahamu tafadhali kama kuna chochote nimeandika hapo cha uongo nirekebishe kwa hoja
 
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Us army unalinganisha na uchsfu (jwtz?
NATO yote bila US,hawawezi kitu,
Ndio jeshi la kwanza kutumia nuklia,
Unajua program za kijasusi ambazo US wamefsnya?jeshi SI kupiga risasi puuu puuu,inahitaji intelijensia,
 
Mbna kila siku mpo huko kuwalamba miguu hao mashoga wawape mikopo na misaada, kwann msiende kwa ma straight??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama tunashindwa kutumia rasilimali zetu unategemea nini? Angalia nchi za Asia kama wanahangaika na mikopo kama Africa. Tuna kila aina ya natural resources ila tunakosa watu wa kuzisimamia.
 
Us army unalinganisha na uchsfu (jwtz?
NATO yote bila US,hawawezi kitu,
Ndio jeshi la kwanza kutumia nuklia,
Unajua program za kijasusi ambazo US wamefsnya?jeshi SI kupiga risasi puuu puuu,inahitaji intelijensia,
Hizo programu za kijasusi za karatasi au nato ni kundi la waoga jwtz walivyo mpiga idd amini alishirikiana na nani au alisimama kiume mwenyewe hao nato ni taasisi ya waoga wasiojua vita wanajificha nyuma ya technologia

Wangekuwa majasusi kweli
Us army unalinganisha na uchsfu (jwtz?
NATO yote bila US,hawawezi kitu,
Ndio jeshi la kwanza kutumia nuklia,
Unajua program za kijasusi ambazo US wamefsnya?jeshi SI kupiga risasi puuu puuu,inahitaji intelijensia,
Programu gani wewe ya kijasusi mambo ya movie usilete kwenye uhalisia wewe unajua aibu Marekani aliyopata pale Afghanistan kukimbia na kuacha mali na vifaa vya kijeshi grade one na pesa mamilioni ya dola niambie huo ujasusi imeisaidia Marekani kushinda vita gani. Na pia nato yote muungano wa nchi karibu 29 ni jumuia ya waoga tuu usilinganishe na JWTZ

Mfano juzi Trump mwenyewe kawaambia kuwa nchi inaishiwa ammunition kuusaidia ukraine sasa ujasusi gani usiozingatia amount of amory in the stock.
 
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Hebu tuwaambie JWTZ na wale makomandoo wetu wakajaribu kufyatua tu hata baruti au kurusha risasi moja pale ubalozi wa marekani au kwenye kambi yao ya jeshi ndio tuje tujadili hii mada hapa maana tutajua kama wapo overated au laa
 
Nimeweka wazi aya ya kwanza kuwa Marekani wana vifaa na technologia. Lakini kwenye uwanja wa vita ni kazi bure hawajui vita nikauliza swali anaejua
Marekani kashinda vita vipi na mara ngapi aniambie nimeona kimya kuwa haijawahi tokea Marekani kashinda vita hadi waungane na nato kama walivyo mchangia Gadaffi na sadam Husseni unajua Gadaffi alichangiwa na nchi zaidi ya 20? Ndio wakashinda ile vita?
 
Kuna watu mambo ya duniani yamewapita kushoto yaani mpaka Leo unaamini taleban imewakimbiza marekani[emoji848].

Watu wamekamilisha mission zao kwa kutokomeza magaidi, kumuua Osama na wkt wanaondoka wameenda kwa Amani tu bila shuruti huku talebani wakibeba mabegi ya wageni wakiwasindikiza uwanja wa ndege halafu leo unasema usa ameshindwa vita na taleban.

Usa wapo makini sn mkuu.
Mission ilikuwa kuwaondoa Talibani ktk utawala. Wameondoka wamewaacha talabani ktk utawala. Sasa hapo mission gani iliyokamilika
 
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.

Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.

Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.

Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league

Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.

Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.

Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.

Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.

Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.

JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Marekani iliwai kushinda kwenye Mexican War (1846-1848). Ilikuwa ni vita kati yake na Mexico ya leo.

Cc: Yoda
 
Source yako ya Haya maandishi umetoa wapi, au ni hisia zako tu? Pambana na hali yako ya kujihudumia na kuhudumia familia Hilo lipo ndani ya uwezo wako.
 
Source yako ya Haya maandishi umetoa wapi, au ni hisia zako tu? Pambana na hali yako ya kujihudumia na kuhudumia familia Hilo lipo ndani ya uwezo w
Si
Source yako ya Haya maandishi umetoa wapi, au ni hisia zako tu? Pambana na hali yako ya kujihudumia na kuhudumia familia Hilo lipo ndani ya uwezo wako.
Sina cha kupambana kaka my life is good
 
Marekani iliwai kushinda kwenye Mexican War (1846-1848). Ilikuwa ni vita kati yake na Mexico ya leo.

Cc: Yoda
Hahaha lazima alisaidiwa mvimbo yule silaha nyingi lakini kuzitumia 0
 
Back
Top Bottom