badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
- Thread starter
- #21
😂Kuna watu mambo ya duniani yamewapita kushoto yaani mpaka Leo unaamini taleban imewakimbiza marekani[emoji848].
Watu wamekamilisha mission zao kwa kutokomeza magaidi, kumuua Osama na wkt wanaondoka wameenda kwa Amani tu bila shuruti huku talebani wakibeba mabegi ya wageni wakiwasindikiza uwanja wa ndege halafu leo unasema usa ameshindwa vita na taleban.
Usa wapo makini sn mkuu.