Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

Watu waliathirika na movies za akina Anold shwazniger na Rambo wakajua ndo Makomando wa Marekani kumbe wapi
 
Watu waliathirika na movies za akina Anold shwazniger na Rambo wakajua ndo Makomando wa Marekani kumbe wapi
kipindi nipo shule ya msingi Nilipoteza pesa zangu nyingi makando bar kuangalia hizi movies kama za rambo, maiko dudikoff, komando kipensi, Anold na movies za kivietnamu sana. Lakini nikaja kugundua kila movi ya kivita zote yani nilizo angalia unakuta rambo kazidiwa sana au maiko dudikoff kazidiwa sana na wavietnam unajua kabisa hapa anakufa ghafla inatokea ndege inauwa maadui wote. Na rambo anakuwa kaokolewa sasa nikawa najiuliza kama rambo kaokolewa inamaanisha yule rubani wa ndege ya kijeshi ndiyo stelingi mwenyewe lakini humjui. Ila wamarekani noma sanaa nakubali ni wajanja sana
 
Ndo sababu Russia kapoteza
Mimi sipo upande wa Russia wala sipo upande wa yukrein ila sipendi vita wala sipendi mtu afe bure kabisa wakati mda wake haujafika wala sipendi kusikia vita.

Nataka amani sitaki watu wateseke vita ni mbaya na wajuzi wa mambo wanasema katika vita hakuna mshindi. Wote mnapoteza yule volodimir zelensky na yule vladimir putin ni ndugu.

Ila ndio hivyo wametofautiana kiimani na nyuma ya vita hivi ni vita vya kiimani kati ya vatikani na orthodox church. Siwezi kuongea hapa sana. Ila mimi sio mjusi wala samaki.
 
Urusi najua alitumia wataalamu kutoka France.
 
Marekani iliwai kushinda kwenye Mexican War (1846-1848). Ilikuwa ni vita kati yake na Mexico ya leo.


Cc: Yoda
Marekani amewabonda Mexico mara nyingi sana vita vya mpakani mpaka mwaka 1919 hadi iliposainiwa Versailles Peace Treaty baada ya WWI ndio ikapatikana amana ya kudumu mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…