Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza full details zangu na tunajua humu ndani wakuda wengi na wazee wa kitengo wengi. SWALI JE KAMA NIKIHARIBU HUMU NDANI NAWAZEE WA KITENGO WAKINIDAKA MTAKUJA KUNITETEA AU NDO NYINYI MTAANZISHA NYUZI KUSEMA NILIKUA NAJIFANYA MJUAJI NA KUNIPA POLE NYINGI ZA KINAFIKI
Msimamo wangu ni kwamba ongeen chchte tu mkatacho ila usalama wangu muhimu kuliko kuwafurahisha nyinyi watu wachache
Nb: Sijawahi post nyuzi au comment yeyote ile inayooshiria mm ni mwanamke au nmeleft group sku zote nipo kama wanaume wengine humu jf na wambea tu ndo ufatilia personal details za watu