Naomba linki ya mangi wa kibosho aliyetapeliwaHeshima ya mchaga inazidi kushuka kuna yule mkibosho mwingine katapeliwa na mganga juzi juzi tuu, afu huyu mwingine naye ametaka mambo makubwa yamemzidi anaanza kujiteka
HahahahaaaaaaWachaga ni MATAPELI
why dude.Even the mad man canβt swallow this β¦β¦β¦..ππππππππ
why dude.Yaani unamkodisha mtu gari na documents zote!
Haya sasa wameshamuua na kumdepositi hukoKupenda sifa kunawagharimu wengi sana, sioni haja ya kufanya jambo kwa gharama ambazo zipo nje ya uwezo wako.
Sasa Massawe ni Marehemu! Semeni tena amejiuawhy dude.
mauziano yanawezafanyika mnunuzi akaambiwa docs atapewa baadaye, ukizingatia kuwa bwana Massawe ni muuzaji magari wa siku nyingi. Inawezekana aliyeuziwa gari wameshawahi kufanya biashara wakati mwingine hivyo pakajengeka trust flani. Everything is possible!!!!!!!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Ivi unamjua mchaga wewe ama unamsikia jamaa Wana akili ya kazi mno. Elewa ndio kabila la Tanzania walioko nje wengi labda na wahayaHivi kuuza gari la kukodi ni sawa na kuuza baiskeli ya kukodi
Kuna magari mengi hivi sana yana namba fake na namba hizo zingine ni za magari yanayoexist mitaani na mengi ya magari yenye namba fake ni mali ya serikaliAmesema alimpatia ushauri aingie kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa taarifa.
"Nilivyomwambia hivyo alikubali akinitajia namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini baada ya kufuatilia ikabainika gari alilolitaja limepaki eneo la Ilala," amesema Mawalla.
Amesema baada ya kufuatilia Jeshi la Polisi lilikamata gari na mmiliki ambaye alifika Dar es Salaam akitokea Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya magari ambaye alikuwa hafahamu chochote kuhusu kinachoendelea.
Haya kama u awajua wachaga polisi waseme amejiua ameuawa na ameuawa na nani! Damu za watu zitaililia hii nchiIvi unamjua mchaga wewe ama unamsikia jamaa Wana akili ya kazi mno. Elewa ndio kabila la Tanzania walioko nje wengi labda na wahaya
Polis Tanzania ni kikundi Cha wahalifu wa kulinda dolaMuliro alisema Sativa alitekwa na "washkaji" hadi leo ni miezi 6 wameshindwa kuwakamata hao washkaji.
Ila ajabu washkaji hao walielekea naye kituo cha polisi Oysterbay..
Serikali ya washkaji haiishiwi vituko.
Hapa kuna utata, yeye alikuwa anafuatiliwa akiwa wapi?"Nilivyomwambia hivyo alikubali akinitajia namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini baada ya kufuatilia ikabainika gari alilolitaja limepaki eneo la Ilala," amesema Mawalla.
Bro mtu ameshakua marehemu sasa hi haitasaidia kitu tenaHapa kuna utata, yeye alikuwa anafuatiliwa akiwa wapi?
Na aliyempigia simu aliliona hilo gari akiwa wapi?
Na huyo aliyeliona gari Ilala alijuaje kama gari hilo limetajwa kuhusika katika tukio?
Siku yao inakuja.Polis Tanzania ni kikundi Cha wahalifu wa kulinda dola
Huyu ni ulomi na yule ni Masawe mkuu ni watu wawili tofautiHaya sasa wameshamuua na kumdepositi huko
Alikodi na kuuza gari. Aliuza kitapeli bila kadi? Siamini mtu anaweza mkodisha mtu gari na kumpa kadi.Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi.
Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi Ili Kulipa Madeni na kwamba Polisi wanaendelea kukusanya taarifa Ili Kubaini kama bwana Masawe alijipoteza au ikoje.
Polisi wanadai taarifa zaidi zitatolewa.ππ
Ni utata, ndivyo unavyoweza kueleza kuhusu taarifa za kupotea bwana harusi, Peter Masawe ambaye Jeshi la Polisi linaeleza uchunguzi wa awali umebaini alikuwa na madeni na ameuza mali za watu.
Mbali ya taarifa ya Polisi, baadhi ya marafiki wa Masawe anayejulikana zaidi kwa jina la Vincent, wanaeleza wakionyesha wasiwasi kutokana na mzunguko waliotumia walipomtafuta tangu alipopotea.
Victor Mawalla, akizungumza na Mwananchi leo Desemba 15, 2024 amesema alipigiwa simu na Vincent ambaye ni rafiki yake akamweleza alikuwa Mbezi na kuna magari mawili yanamfuatilia, moja alilitaja ni Toyota Land Cruiser (Hardtop).
Amesema alimpatia ushauri aingie kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa taarifa.
"Nilivyomwambia hivyo alikubali akinitajia namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini baada ya kufuatilia ikabainika gari alilolitaja limepaki eneo la Ilala," amesema Mawalla.
Amesema baada ya kufuatilia Jeshi la Polisi lilikamata gari na mmiliki ambaye alifika Dar es Salaam akitokea Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya magari ambaye alikuwa hafahamu chochote kuhusu kinachoendelea.
Kutokana na taarifa iliyokuwa imetolewa kwenye mitandao juu ya kupotea kwa bwana harusi Jeshi la polisi limetolea taarifa
na taarifa inathibitisha kuwa bwana harusi huyo aliuza gari alilokodi kwa ajili ya harusi huku akimtumia mkewe pesa nyingine apunguze madeni .
My Take
Polisi tunaomba Haki itendeke Kwa matukio yote Ili kuondoa hofu na mashaka kwenye jamii.
Mambo ya kutekana hayafai.
View attachment 3177369
Sijapata vema muunganiko wa hii habari kuna vitu haviko sawaJeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi.

mjjini shuleWatu tunapenda sifa sana, sasa unaingia kwenye madeni kisa fahari tu ya sherehe na saiv tayari upo kwenye head lines.
Kumbe hizi sherehe mjini hapa zina mambo mengi nyuma ya pazia..
Kule kenya nako mke na mme baada ya sherehe wakafanya tathmini wakagundua wamevuna hela ndogo na waliingia gharama kubwa, wote wakafariki tukaambiwa walijinyonga
Kwamba alipokodi gari walimpa na kadi ya gari kabisa?Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi.